Search results

  1. Ngofilo

    Kahawa: Tanzania maarufu tena Duniani

    Hello wana-jf natumaini kila mmoja wetu ni mzima buheri wa-afya. Nasubili maswari kuhusu huu uzi wetu wa kahawa ya Tanzania hapa Canada
  2. Ngofilo

    CHADEMA mumuombe msamaha Yusuph Manji ama sivyo atawashtaki

    Uko sahihi kabisa mleta mada. CHADEMA muombeni msamaha Manji. Chadema ndiyo chama cha kwanza kabisa kumpakazia Manji kuwa ni fisadi mkubwa Tanzania.
  3. Ngofilo

    Uchaguzi 2020 Kwa hii hotuba ya Tundu Lissu Segerea, amepotosha

    Uongo huo Joka kuu. Mimi ninaishi hapa Canada hakuna kitu kama hicho.
  4. Ngofilo

    CBSA officers seize heroin from suitcase at Calgary International Airport

    CBSA officers seize heroin from suitcase at Calgary International Airport Colleen Schmidt, Supervisor | Online News Published Wednesday, December 5, 2018 10:43AM EST Updated Wednesday, December 5, 2018 8:36PM EST Border services agents have seized about 1350 grams of heroin at the Calgary...
  5. Ngofilo

    Msaada jinsi ya hard reset galaxy J3 prime

    Jamani naomba mwenye maujuzi ya ku-hard reset Samsung galaxy J3, kila nikijaribu ku-break google nashindwa.
  6. Ngofilo

    Kwa mwenye uelewa kuhusu nafasi ya Cardinal Pengo kwenye ukatoliki

    Arusha siyo jimbo kuu mkuu, JImbo kuu ni Moshi. Marekebisho mkuu
  7. Ngofilo

    Hata wazungu kutoka nchi mbalimbali za Ulaya wanakimbilia USA

    Homeless huku wapo wengi mkuu tena wazawa.
  8. Ngofilo

    Hata wazungu kutoka nchi mbalimbali za Ulaya wanakimbilia USA

    Siyo US tu kamanda hata hapa Canada wa Greece kibao hapa na Italian
  9. Ngofilo

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Mwiguru hauko serious bro! Ulitakiwa ufanye press conference tena baada yakuwa umeshafanya mawasiliano ya kutosha toka kwa wasaidizi wako hapo wizarani kuanzia na IGP. Siyo kukimbilia kusema blah blah wakati huna uhakika kama huyo alikuwa askali au la na ku-post picha hapa Jamii forum. Mwiguru...
  10. Ngofilo

    Trump anaonewa bure

    Watu wa dunia hii ni wanafiki sana mkuu.
  11. Ngofilo

    ARDF Yasikitiswa na serikali kuwafanyia mambo ya ajabu mbele ya wafadhili

    Kamanda umeambiwa Ardf Lema ni moja kati ya waanzilishi sasa wewe unafikiri Ardf ni nani..!
  12. Ngofilo

    Rais Magufuli, wananchi hawakuelewi

    Hapa Canada petrol tunanunua $60cents ni kama 900/=.. Huko Bongo vipi?!
  13. Ngofilo

    Mawaziri wenye asili ya Kihindi Canada

    Hahaha unajua kuwa hata meya wa jiji analotoka Waziri mkuu mstaafu wa Canada Yaani Calgary city ni Mtanzania mwenye asili ya kihindi mtoto wa Kariakoo.
  14. Ngofilo

    Mawaziri wenye asili ya Kihindi Canada

    Kamanda hata hapa Canada karibu 7/11 na KFC zote zinamilikiwa na wahindi
  15. Ngofilo

    Kwanini mchina anatangaza bidhaa zake kuliko mjapani?

    Ulishawahi kujiuliza kwanini huyaoni magari mengi ya mchina barabarani?!
Back
Top Bottom