Search results

  1. STEIN

    Watanzania Tumwamini nani kati ya Jaji Warioba na Hamis Kigwangala au Paul Makonda

    Tumesikia matusi makubwa kutoka kwa Kigwangala na kijana Mwingine Paul Makonda ambao kwa sasa kupitia BMK wamekuwa wakimuandama sana Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Jaji Warioba alikuwa Waziri Mkuu mstaafu na makamu wa kwanza wa Rais wa Muungano na ni miongoni mwa Wazee...
  2. STEIN

    Hoja Yangu: Nataka Prof. Muhongo atueleze kwa undani na Ukweli

    Kama mambo mengine yote, Watanzania tunapewa Priority, kwa nini ishindikane kwenye Rasilimali zetu?? Au wizara hii tumechaguliwa mtu na mataifa ya nje?? Watanzania ukienda Mashuleni, Vyuoni, Hospitali na hata Kazini tunapewa Priority katika kila sekta, isipokuwa kwenye Swala hili la Gesi...
  3. STEIN

    Nimechukua Maamuzi ya Msingi ya Kuelimisha Watanzania

    Naona kuna watu wanahangaika usiku na mchana kwa sababu ya matumbo yao. Kama tutakaa kimya hatutaweza kupata katiba mpya kwani kuna choko choko zinaendelezwa na wanganga njaa kuuhusu maamuzi ya CC ya chadema. Kuna waandishi wanaandika utumbo wahariri nao wamepoyea, wanaandika hata vitu ambavyo...
  4. STEIN

    Yupi anajua kuuchuna????

    YUPI ANAJUA KUUCHUNA? Juha,Zoba na Zuzu.walikua wakibishana nani anaweze kuu chuna kuliko mwenzake wasikilize. . . . . JUHA: nilimpigia SIMU mke wangu akasema: haloooo!, Mie nikauchuna sikuongea mpaka fedha yote kwenye SIMU ikaisha. ZOBA: Niligonga mlango mkewangu akafungua hakuniambia karibu...
  5. STEIN

    Makampuni Mengi hayapeleki kodi ya PAYE wanazokatwa wafanyakazi kwa TRA

    Wana JF, Nadhani umefika wakati wa TRA kuweka mfumo wa Mfanyakazi kufuatilia kiasi cha kodi anazochangi kupitia PAYE, inashangaza sana makampuni mengi hapa nchini yanakwepa kulipa kodi ya PAYE pamoja na Pensions kama NSSF, PPF etc. Makampuni mengi ya Wawekezaji huwa hayalipi kodi hii kwa...
  6. STEIN

    Natoa Tuzo Kwa Mtandao wa JamiiForums

    Wana JF, Kwa namna ya Pekee naomba kutoa pongezi kwa Jamii Forums pamoja na timu yote iliyobuni Mtandao huu... Mtandao huu ulikuwa unapigwa vita na Viongozi wengi sana wa CCM hadi JF inakuwa Agenda ndani ya CC, NEC na hadi vikao vya Wabunge CCM... Naomba kwa heshima tu ya JF nisiwataje kwani...
  7. STEIN

    Mafanikio Makubwa ya CHADEMA kwa Watanzania kwa ujumla

    Haya ni baadhi tu ya mafaniko ya CHADEMA ambayo watanzania wengi watajuvunia tokea kipindi cha Kuanzishwa kwa Vyama Vingi vya Siasa. Ni mafanikio ambayo hayawezi kupingwa na Mtanzania yeyote aliyejaliwa kuwa na uwezo wa Kawaida wa Kufikiria na si lazima uwe umesoma. 1. KUWAELIMISHA RAIA HAKI...
  8. STEIN

    Mbinu ya Kuimaliza CCM mwaka 2014/15

    Watanzania, Mbinu Pekee ya Kuimaliza CCM wakati wa Uchaguzi 2014 na 2015 ni kuanza harakati za kujiunga na kuisupport CCM kuanzia sasa, kuhakikisha vijana wengi wanapewa elimu na kuanza kujiunga na CCM kwa lengo la kuipindua 2014 na 2015 kwenye uchaguzi. Ni kuhakikisha zile Dakika za Mwisho...
  9. STEIN

    Tunahitaji Jeshi la Polisi Huru, Usalama wa Taifa Huru, Mahakama Huru

    Ndugu WaTZ, Ni lini matokeo haya ya Kiuharamia yatakwisha???, Maana kadiri siku zinavyikwenda kuna watu wanaofikiri TZ ipo kwa ajili yao wanazidi kucheza Mchezo mchafu dhidi ya Watanzania. Tunakumbuka Matukio Kadhaa yaliyopita Kwanza Kutekwa Kwa Dr Ulimboka, Pamoja na kwamba lengo lilikuwa...
  10. STEIN

    Kuna Propaganda Zinaendelea dhidi ya Matokeo CSEE 2012

    Ndugu wanaJF, Kuna watu wamepewa hela na kuzunguka kwenye Vijiwe na kwenye Daladala Kazi yao kubwa imekuwa ni kuwaponda Waalimu na Wanafunzi kwenye swala hili la Matokeo ya form four kuwa mabaya sana Mwaka huu. Tangu Mwishoni mwa Wiki iliyopita mimi binafsi nimeshuhudia mara nyingu Swala hili...
  11. STEIN

    Kama wabunge tunawapa 7Mil na Allowance kibabao kwanin Dr kutibu asipewe hata 5mil.

    Ndugu zangu wana JF, Tusifanywe kana kwamba na sisi wenye nchi hii tusifanywe hatujui hesabu za kujumlisha, kutoa,kuzidisha na Kuganya... Hivi kama misamaha ya kodi ina fikia 1.3Trilion kwa mwaka, kwanini tusiondoe hiyo misamaha na badala yake tukawapa Waalimu, madaktari hizo Hela???, Kwa nini...
  12. STEIN

    Principle ya Viongozi wa CDM inaendana na quote hii ya Mandela

    It is better to lead from behind and to put others in front, especially when you celebrate victory when nice things occur. You take the front line when there is danger. Then people will appreciate your leadership. PEOPLES POWER
  13. STEIN

    Wana Dar es Salaam tutoe maoni yetu, ili mkutano wa CDM Dar Urudiwe baada ya Bunge Bajeti

    Ndugu wana DAR, Mimi binafsi nawapongeza kwa jinsi ambavyo mlijitokeza siku ya tar 27 katika uwanja wa CDM Square... Lakini niseme tu binafsi niliona kama makamanda hawakupata Muda wa kutosha kuhutubia wananchi mfano mtu kama Wenje, Myika, Lema, Marando, Prof Safari, Mdee, Mpendazoe, Heche...
  14. STEIN

    Kama Watanzania, Target yetu kubwa ni nini?

    Wadau, Mimi nataka kufahamu sisi kama watanzania target yetu kubwa ni nini?, Maana hata wakati nyerere na wale watu wengine target yao ilikuwa ni kumg'oa Mkoloni ili aingie Mtanzania ambaye hana uhusiano hata kidogo na wazungu, walowezi etc. Sasa wakati huu na karne hii kinachoonekana ni...
  15. STEIN

    CCM, Polisi na Serikali wasijidanganye, wafikiri kabala ya Kutenda.

    Wana JF, Kuna tabia kwa sasa imeibuka ya watendaji serikalini na Wana CCM ya Kufunga macho na kufanya mambo bila kufikiria hasa Jeshi la polisi. Mfano wa Matukio yaliyotokea siku za karibuni wabunge wa Majimbo mawili kukatwa mapanga na wafuasi wa CCM kule mwanza ili kutisha wapiga kura na...
  16. STEIN

    Taarifa ya Kikao Cha Baraza Kuu- CHADEMA by Mnyika

    BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limesema kuwa mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanyika wakati wowote si suluhu ya kupunguza au kumaliza ubadhirifu serikalini kwa madai kuwa ufisadi ni sehemu ya mfumo wa utawala wa CCM. Aidha kuvunjwa kwa baraza la...
  17. STEIN

    Manaibu Mawaziri nao Wajiuzulu!!!

    Wana JF naona tumekuwa tunawasahau Manaibu mawazi katika hili sakata la wizi wa pesa na Rasilimali za WaTZ Mfana: 1. Omar Nundu anataka kufa na wa kwake pamoja na Katibu Mkuu. 2. Wa Viwanda na Biashara tunamfahamu hata hivyo no Majuzi tu alikuwa na Msala Majuzi kule Singida. 3. Kama...
  18. STEIN

    Faida ya Maamuzi ya CCM yanayokandamiza Wananchi kwa Upinzani.

    Wana JF nimeona nifanye analysis ya maamuzi ya kisanii yanayofanywa na CCM pamoja na JK wake. 1. Ni faida kwa CDM, kama CCM watakomaa na kuwang'ang'ania mafisadi wake kwani kila wakilipuliwa jukwaana lazima tuwapate wananchama wengi huko tunakoenda kwani kuanzia juzi hadi leo hii CDM...
  19. STEIN

    Watanzania tufike mahali tuachane na Kura ya Siri.... Tupige Kura ya wazi ni Nani tunamchakua.

    Wana JF, Nina sababu kwa nini nasema tuachane na Kura ya Siri, bali tupige kura ya Wazi. 1. Kwanza itapunguza Rushwa kwenye Uchaguzi. 2. Tuatapungaza sana Vilaza kwenye uwakilishi wa Wananchi, mfano jana nilifuatilia mchakato wa kujieleza tangu mwanzo hadi mwisho na nilitegemea ushauri wa Dr...
  20. STEIN

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Ndugu wana CDM, Sasa umefika wakati wa kufanya maamuzi magumi kuliko kipindi chochote, Kina sisimizi wanafanya mapambano ya chini kwa chini kutataka kuonekana wao ndiyo wana haki ya kuwa viongozi wa wananchi. Nasikita kuona kuna vijana wa juzi tu 2005 leo wanataka nafasi za juu ile hali...
Back
Top Bottom