Vyama vingine ni Mawakala wa CCM, Remote control zao Ipo Lumumba, wanasubiri mambo malaini kama vikao vya msajili na taskforce. Hii ya kutishiwa mara uhaini na uchochezi hawawezi.
Twende Bavicha, UVCCM wapo kwenye mipango ya kudalalia nchi, hawatumii Tena Akili Kila kitu kimewashinda hivyo tuna kazi ya kumwondoa huyu mkoloni mwesu CCM.
Akili ya MaCCM ni matope kweli, Kwani Mbowe alikiwa anakusanya Kodi? Mbowe alisemea sana haya mambo Ili maCCM yanayokusanya Kodi hayasikii ni ufisadi na kuuza Mali za imma. Uzeni na mlima Kilimanjaro mkimaliza bandari.
Ukonga hakina Mbunge anayeitwa Chacha Waitara... Pili Mbunge hakusanyi kodi ya Ukonga, kama wanaokusanya kodi ndani ya mwaka Mmoja tu 1.5T hazionekani na huenda zimenywewa Pombe na watu wa aina yako unategemea kitu gani?
Pili wabunge upinzani hawafanyi kazi zao kwa kelele za MaCCM kwani tangu...
Tunajua hizi ni hujuma dhidi ya UKAWA, walibomoa nyumba Zaidi ya 700 Kata ya Kivule
Sasa wanabomoa Pugu kwahiyo ni mambo yaleyale ya mkwajuni, na maeneo mengine yaliyobomolewa na serikali ya CCM
Mbunge hana mamlaka ya kunomoa viwanda vya watu, ni wale tu wenye jeshi la polisi
Hongera sana Kamanda Waitara, Umevunja rekodi ya Wabunge wa Dar es Salaam, Ndani na Wiki moja umeweza kukutana na Wananchi wenye migogoro ya Ardhi ndani ya jimbo la Ukonga. Mfano ni ule Mgogoro wa Mpaka wa Kazimzumbwi ulioathiri wananchi wa Kata tatu za Chanika, Zingiziwa na Buyuni.... Mgogoro...
Nyinyi kuku kabisa. Rada mlibisha. Richmond mlikataa. EPA mlikataa. IPTL mlikataa. yote haya baada ya muda mkakubali bado mnaendelea kubisha
nyinyi ni wanyama wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.