Search results

  1. manka1

    Gereji iliyoko mbagala zakhem pembezoni mwa Dar Live ni wezi wa unga wa madini yaliyo kwenye exaust ya magari

    Hilo nimeshuhudia mimhg mwenyewe magari yakiletwa pale haraka yanatolewa exaust inakatwa na kutolewa unga fulani halafu haraka wanachomea na kududishia. Kwanza nilifikiri labda kifaa hicho ni kibovu ndio maana wanafanya hivyo. Siku hiyo hiyo ndo mtu akatuma kwenye group fulani akitoa tahadhari...
  2. manka1

    Wakazi wa Mbagala tuna tabu

    Habari za asubuhi wanajamvi. Mm nimeona nitoe maoni kuhusu adha ya usafiri wanayoipata wakazi wa Mbagala. Kila mtanzania akitajiwa jina Mbagala anajua ni kuingilia madirishani kwa wasafiri wa Mbagala. Kwa sasa hali ni mbaya kupindulia ulichukukulia mvua zinazonyesha, mitaro ya maji imebomolewa...
  3. manka1

    Mbagala Rangi Tatu, Uchafu umezidi mno

    Wadau naleta kwenu changamoto ninayoiona Mbagala Rangitatu. Pale kuna biashara nyingi tena za vyakula lakini uchafu ni mwingi sana sijui hata kama tuna maafisa wa afya eneo hilo marundo ya taka, mitaro imejaa maji machafu. Ombi langu ni wahusika wafanyie kazi kero hii maisha ya watu yako hatarini.
  4. manka1

    Msaada kutokana na mateso

    Habari wana JF, Mimi ni mwanamke mwenye ulemavu na nina umri wa miaka 45 sasa, nimeolewa nina watoto wawili. Nina miaka 15 sasa tangu niingie kwenye ndoa naona kila siku inavyosonga magumu ya maisha yananizidia. Mume aliyenioa yeye huwa hayuko tayari kunisaidia shughuli yoyote iwe ya nyumbani...
  5. manka1

    Bajaji inauzwa piaggio ape

    Bajaji piaggio ape iliyo kwenye hali nzuri inauzwa serious buyer call 0625534336
Back
Top Bottom