Search results

  1. manka1

    Gereji iliyoko mbagala zakhem pembezoni mwa Dar Live ni wezi wa unga wa madini yaliyo kwenye exaust ya magari

    Hilo nimeshuhudia mimhg mwenyewe magari yakiletwa pale haraka yanatolewa exaust inakatwa na kutolewa unga fulani halafu haraka wanachomea na kududishia. Kwanza nilifikiri labda kifaa hicho ni kibovu ndio maana wanafanya hivyo. Siku hiyo hiyo ndo mtu akatuma kwenye group fulani akitoa tahadhari...
  2. manka1

    Kamishna Jenerali wa Zimamoto: Changamoto ya maji Kariakoo ilisababisha kuchelewa kuzimwa kwa moto

    Hawa zimamoto ni manunda kikosi chenye hadi kamishna si wangefuata maji hapo fire. Mm naona hakuna haja ya hiki kikosi hivi waliwahi kusaidia wapi? Kariakoo kitovu cha biashara nchini hamna matoleo ya maji kweli na kamishna anazubutu kutamka haya bwana kazi iendelee
  3. manka1

    Wakazi wa Mbagala tuna tabu

    Kabisa eti wakati mwingine trafiki wanasimama na kuangalia tu hawaongozi magari kama vile wamezira jmn! Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  4. manka1

    Wakazi wa Mbagala tuna tabu

    Habari za asubuhi wanajamvi. Mm nimeona nitoe maoni kuhusu adha ya usafiri wanayoipata wakazi wa Mbagala. Kila mtanzania akitajiwa jina Mbagala anajua ni kuingilia madirishani kwa wasafiri wa Mbagala. Kwa sasa hali ni mbaya kupindulia ulichukukulia mvua zinazonyesha, mitaro ya maji imebomolewa...
  5. manka1

    Mbagala Rangi Tatu, Uchafu umezidi mno

    Wadau naleta kwenu changamoto ninayoiona Mbagala Rangitatu. Pale kuna biashara nyingi tena za vyakula lakini uchafu ni mwingi sana sijui hata kama tuna maafisa wa afya eneo hilo marundo ya taka, mitaro imejaa maji machafu. Ombi langu ni wahusika wafanyie kazi kero hii maisha ya watu yako hatarini.
  6. manka1

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Tunashukuru walao mmeanza kujibu komenti zetu mlikaa kimya kama vile hamnazo kwa vile mnakula kodi zetu boresheni huduma ss wa Dar tu tunakosa mtandao hao wa pembezoni je? Hakuna haja ya kuuliza unakaa wapi huduma ni mbovu. Nilitembelea ofisi iliyopo nyerere road mara mbili naambiwa eti cha...
  7. manka1

    Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Sote tunakumbuka jinsi Rais alivyowafagilia TTCL baada ya kupewa mgawo na kuagiza watumishi wa umma wote wanaopata muda wa maongezi wahamie kwenye mtandao huo. Ama kweli wahenga walisema mgema akisifiwa tembo hulijaza maji. Ndicho kilichotokea watu walihamia huko ila sasa mtandao wao unaboa...
  8. manka1

    Msaada kutokana na mateso

    Wa kwake mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. manka1

    Msaada kutokana na mateso

    Habari wana JF, Mimi ni mwanamke mwenye ulemavu na nina umri wa miaka 45 sasa, nimeolewa nina watoto wawili. Nina miaka 15 sasa tangu niingie kwenye ndoa naona kila siku inavyosonga magumu ya maisha yananizidia. Mume aliyenioa yeye huwa hayuko tayari kunisaidia shughuli yoyote iwe ya nyumbani...
  10. manka1

    Bajaji inauzwa piaggio ape

    Bajaji piaggio ape iliyo kwenye hali nzuri inauzwa serious buyer call 0625534336
Back
Top Bottom