Search results

  1. M

    Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

    Nimepokea ujumbe ufuatayo kutoka kwa Bwana Salim Said Rashid, Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi, Januari 1964 Zanzibar: MWITO KWA WAZANZIBARI Kwa muda mrefu mpaka hivi sasa hali halisi ya Zanzibar kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni hairidhishi. Wazanzibari walilazimika kustahmili kutokana...
  2. M

    Zanzibar Yadai Uhuru 2017

    Baada ya kushuhudia utawala wa kibeberu wa serikali ya Tanganyika uliojaa dhulma, madhila na idhilali ambazo zimefanya hata roho za Kizanzibari kuwa hazina thamani, na Wazanzibari kuweza kuuliwa kama mijusi, Mzanzibari yoyote mwenye akili zake timamu ni lazima ataona kuwa hakuna njia iliyobakia...
  3. M

    Zanzibar Yadai Uhuru 2017

    Baada ya wiki mbili kutoka sasa, (tarehe 10 Disemba 2016) inafika siku ya Uhuru wa Zanzibar, siku ya Zanzibar kujigomboa na makucha ya ukoloni wa Kingereza mwaka 1963. Kwa muda ya miaka 53 tumesahaulishwa siku hii tukufu ambayo walishirikiana wazee wetu wa pande zote za siasa na makundi ya...
  4. M

    Wafadhili Wapigeni Vita Viongozi wa CCM, Sio Wananchi

    Unayoyasema ni kweli. Lakini wapo huko nchi za wafadhili watu wenye ubinadamu na wanamuogopa Mungu. Hao wana sauti huko.
  5. M

    Wafadhili Wapigeni Vita Viongozi wa CCM, Sio Wananchi

    Wafadhili Wapigeni Vita Viongozi wa CCM, Sio Wananchi Kukata misaada kutoka nchi za magharibi (Marekani na Ulaya) hakuwadhurishi watawala lakini wanaodhurika ni wananchi. Watawala wanaendelea kupata mishahara yao minono, wanendelea kuiba na kunyang’anya na wanapokea chaochao yao kama dasturi...
  6. M

    Hamad Rashid na Shibuda mmevuna mlichokipanda

    Wameula huu. Tena mbichi.
  7. M

    Mapinduzi ya Pili Zanzibar

    Je, kila uchaguzi serikali ikshindwa unafutwa na ukafanya tena?
  8. M

    Mapinduzi ya Pili Zanzibar

    Kwanini CCM ikafuta na baadae ikarudisha uchaguzi Zanzibar? CCM kumnyang'anya ushindi Maalim Seif katika uchaguzi wa Oktoba 2015 wamefanya mapinduzi ya pili Zanzibar. Wameondosha dimokrasia kwa mara ya pili na kuleta utawala wa mabavu. Haya mapinduzi ya sasa yanatufahamisha maana ya ule usemi...
  9. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Unayosema Chakii ni kweli kabisa. Nilipokisoma hiki kitabu nimeona kwamba hayo ndio makusudio ya muandishi wa kitabu. Anatuonya WaTZ tusisomeshe chuki za udini watoto wetu. Ametoa mifano mingi ya haya kutokana na vitabu vya shule zetu. Chuki za udini zitatuangamiza sote.
  10. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Ndugu Jembepori, Ninasikitika unakiponda kitabu kabla hujakisoma Kwaza wewe unakosa faida pia unawakosesha wengine faida. Je huu ndio ustaarabu mpya wa wataalamu waTanzania?
  11. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Inafurahisha kuona wako watu mashujaa na wenye kupenda nchi yao wanasema kweli. Tanzania hayendi mbele kama kweli haisemwi na kushikilia maovu kuondoshwa. Hapana hatari kubwa kwa nchi kuliko kupoteza akili za vijana na wanafunzi kwa kujaza akili zao chuki za kubaguana. Profesa Ibrahim Noor...
  12. M

    Kumbukumbu za Komred Ali Shetani

    Ndugu zangu, Kitabu hiki kiitwacho "Race, Revolution and the Struggle for Human Rights - the Memoirs of Ali Sultan Issa and Seif Sharif Hamad kimetungwa na mabwana: G. Thomas Burgess, Ali Sultan Issa na Seif Sharif Hamad. Kimechapishwa na Ohio University Press, Athens, Ohio 45701 mwaka 2009...
  13. M

    Kumbukumbu za Komred Ali Shetani

    Kumbukumbu za Komred Ali Shetani I am not worried about “kibuki” because I may be an even more powerful shetani. In the streets, people sometimes even call me “Ali Shetani” as a joke. Ali Sultan Issa Jina la Ali Shetani sikuanza mimi hapa. Hili ni jina analojisifu mwenyewe katika kumbukumbu...
Back
Top Bottom