Search results

  1. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  2. R

    Kinatafutwa chumba+Sebule+jiko, fully furnished maeneo ya Mwenge

    Habari wakuu Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo ya Mwenge, Dar au maeneo ambayo anaweza kupanda basi moja tu kufika maeneo ya Upanga. Anahitaji kwa...
  3. R

    Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  4. R

    Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
  5. R

    Kuombewa/maombi/maombezi - Kiini cha ulemavu wa kiroho kwa Wakristo

    Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba". Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite...
  6. R

    Swali gumu kwa Atheists

    https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
  7. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  8. R

    Car4Sale Toyota Chaser GX81 ipo Arusha kwa bei ya 1.98m

    Gari hiyo hapo. Bei ni milioni moja laki tisa na elfu themanini (1,980,000). Whatsapp 0656388678
  9. R

    Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  10. R

    Haya ni manukato/perfume gani?

    Habari wakuu Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa. Kwa wajuzi wa manukato naomba kujua ni brand gani za perfume zinaweza kudumu muda mrefu kiasi hiki. Mimi ni...
  11. R

    Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

    Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
  12. R

    Natafuta mjasiriamali anayetengeneza marashi (perfume) Arusha

    Habari, Nimejaribu google lakini napata wauzaji wa perfume tu. Natafuta wale wajasiriamali wanaotengeneza wenyewe perfumes Arusha. Whatsapp 0656388678.
  13. R

    Walimu na wanafunzi wa Fizikia - Tamkeni vema jina Albert Einstein

    Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya...
  14. R

    Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  15. R

    Je, ni kweli Serikali haina Dini?

    Huwa sielewi huu msemo kwamba serikali haina dini. 1. Kwenye Ufunguzi wa Vikao vya Bunge kuna dua ya kumuomba Mungu. 2. Kwenye Viapo vya Teuzi za Viongozi wa Serikali humuomba Mwenyezi Mungu awasaidie kutimiza viapo vyao. 3. Wimbo wa Taifa unamuomba Mungu kulibariki taifa. Au kusema Serikali...
  16. R

    Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  17. R

    Msaada Perfect Money deposit

    Habari wakuu Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka kuweka pesa kwenye akaunti
  18. R

    Mwenye wazo la biashara Arusha kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) aje hapa

    Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana. Karibuni.
  19. R

    Natafuta muongoza watalii Mpanga Kipengere Game Reserve

    Habari. Natafuta muongoza watalii mwenye uzoefu wa kuongoza hasa watalii wa ndani kwenye pori tengefu la Mpanga Kipengere niweze kupanga nae safari za utalii wa ndani kutoka mikoani. Whatsapp 0656388678
  20. R

    Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
Back
Top Bottom