Search results

  1. Gsana

    Tetesi: Lissu aomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa nchi tatu

    Ni heri. Kwa ushetani aliotendewa ni bora abaki uko kwanza.
  2. Gsana

    Usahihi wa tafsiri ya Sheria ya Ardhi na mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ili watawala wafuate sheria, cha kwanza ni kuuondoa katiba ya mwaka77. Hii katiba imemfanya rais kuwa msaidizi wa karibu wa 'Mungu'. Yaani msululu wa sheria zooooote then katiba ikaja kumpa mamlaka rais ya kufanya ' jambo lolote bila ya kushauriana na yeyote'... Huu ni msingi wa upuuzi wote...
  3. Gsana

    Usahihi wa tafsiri ya Sheria ya Ardhi na mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sheria zimewekwa vizuri sema hazifuatwi. Rais au waziri anapaswa kufuata masharti ya sheria za nchi ila tatizo wanajitwalia twalia tu kinyume na Sheria. Ukitaka kuchukua ardhi ya kijiji lazma ngazi zote zishirikishwe kuanzia chini (Soma VLA)... Tatizo bongo hawafuati sheria. Labda tutunge sheria...
  4. Gsana

    Kangi Lugola ampa Sirro wiki 2 tu, amjibu kwanini tunapewa amri na majambazi

    Uyu sasa anaanza kukaa upande wa wananchi... Safiiiii. Nadhani rais anataka mwelekeo huu ila wengi wameshindwa kutafsiri 'desire' ya mh rais. Polisi, tra, TBS,EWURA nk nk chukueni huu mwelekeo. Sio kutoa amri zinazomchonganisha rais na wananchi.
  5. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    OK mkuu n OK mkuu... Nmekupata
  6. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Above 60 mil siwezi hata kubagain
  7. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Tatizo la waweka matangazo wengi wanakuwa matapeli. Mpaka upate genuine ni kazi... Kama utaweza kuniunganisha na true owners ntashukuru
  8. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Mkuu ikizidi 60 sitaweza budget yangu iko limited.
  9. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Tayari nina viwanja uko ivo nahitaji maeneo mengine pia. Na uwa sipendi kuvuka maji. Tulishapatwa na ajali ya maji ktk familia yetu
  10. Gsana

    Natafuta banda au nyumba ya kununua

    Kama title ilivo apo juu. Naileta jukwaa Ili kwa kuwa hapa jf mimi ni mdau mkubwa wa jukwaa Ili zaidi ya majukwaa mengine yote. Kwa wale wote waliohamia mikoani kama dodoma ivo kuhitaji kuachia Nyumba walikotoka (DSM) Nahitaji kupata Nyumba yenye hati kwa kuwa tayari nishaumizwa na wajanja...
  11. Gsana

    CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

    Ah ah ah uyo ni feki. Ila zamani haikuwapo lawschool Bali bar exam.... Uenda ni wa zamani sana ila lazma alifanya LLB
  12. Gsana

    CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

    Japo mimi ni mhasibu ila kiukweli taaluma yetu imeingiliwa. Ukiwa na pesa na muda wa kupitia past papers tayari wewe ni mhasibu aliyeidhinishwa. Pia ninaye classmate yuko Tanapa nilisoma naye akafeli form 4 wakati sisi tunaenda advanced yeye akaanza ATEC. Leo hii ni mhasibu mzito huko...
  13. Gsana

    Hoja ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu inatoka wapi?

    Wakati mwenyezi Mungu anaagiza ulikuwapo? What if nayo ilikuwa instruction mojawapo ikasahaulika? Au unapenda kusikia unayoyapenda tu!
  14. Gsana

    Hoja ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu inatoka wapi?

    Ni wapi nilisema imetungwa uko Rumi? B. C au A. D unazijua ? Unajua zilianza lini kutumika? Yaani unajua zina maana gani kuanzia 1A.D? Kwa nn alipozaliwa flani miaka ikafutwa ikaanza kuhesabiwa upya 1A.D? MPAKA kufika leo ikawa 2018
  15. Gsana

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    Mm sio verified user. Kupata details zangu ni mpaka ukamshtaki maxece mahakamani, ivo siwezi toa details zangu apa. Cha msingi mnielekeze la kufanya au wa kumtafuta officially tatizo likijirudia. Toeni namba zenu tuwatafute
  16. Gsana

    Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

    Ilo ni tatizo, mwenzio akikuzidi mwendee akupe mbinu, kumfanyia visa hakukujengi ww maskini Bali kunamwongezea nguvu za kupambana.
  17. Gsana

    Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

    Ili ni kweli kabisaa.... Kuna rafik yangu alipanga Nyumba ya muarabu pale kigogo round about kituo kinaitwa kituo kipya... Miaka yote uwa namshawishi awe na usafiri aachane na adha za usafiri wa umma maana ana Nyumba nzima na parking ya magari kama 4 ivi. January akafanyia kazi ushauri wangu...
  18. Gsana

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    TANESCO... Mm nawashukuru kwa kujiunga na mabenki katika kuuza LUKU maana umeme ukiishia usiku naamka na kununua kwa simbanking ilo liko poa. Tatizo langu uwa nashangaa umeme kuzima ghafla Kwangu wakati kwa majirani unawaka, hata nikiwapigia simu uwa hamfiki mpaka Mungu ananihurumia anarudisha...
  19. Gsana

    Wanafunzi wa vyuo vya KKKT, Katoliki hawapati Mikopo?

    Acha utahaira. Wanaosoma kule ni wa tanzania wote. Fikra finyu sana ungekuwa umefika hata std7 usingekuwa na reasoning ya tahaira ivo.
Back
Top Bottom