Search results

  1. L

    Tatizo kubwa la mgogoro wa Maasai na Serikali ulianza katika mikono ya Hayati Mwinyi kwa kuwapa familia kutoka falme ya Dubai

    November 11, 1992, Waziri wa Utalii, Maliasili na Mazingira wa wakati huo, Abubakar Mgumia, alitoa vitalu vya uwindaji katika Maeneo ya Pori Tengefu ya Loliondo (Kaskazini na Kusini) kwa kipindi cha miaka 10 ya kalenda, vinavyongezeka kuanzia January, 1993. Brigedia Mohammed Abdul Rahim Al...
  2. L

    Unaumizwa na maumivu ya wayahudi na waarabu kuliko Maasai?

    Ngorongoro Conservation Area (NCA) kuna eneo lenye ukubwa wa 8,292 km² (mara 3 ya eneo lote la Zanzibar, 2,462km2). Loliondo Game Controlled Area (LGCA) kuna eneo lenye ukubwa wa 4,000km². Waarabu kutoka familia ya falme ya Dubai (Otterlo Business Corporation (OBC)) ameongezewa 1,500km² kutoka...
  3. L

    Waziri wa teknolojia anatakiwa leo kuongelea mambo ya Artificial Intelligence (AI) na sio kufungia Mitandao

    Waziri wa teknolojia anatakiwa leo kuongelea mambo ya Artificial Intelligence (AI). Dunia ipo huko sasa hivi. Waziri wa teknolojia anatakiwa kuzungumza namna tunatakiwa kuanza kutumia e-commerce payment system. e-commerce payment system ni kama huduma zinazotolewa na Paypal. Sasa hizi huduma...
  4. L

    Martin Maranja Masese: Rais Samia unawezaje kukubali kudanganywa na Nape Nnauye mbele yako?

    Rais Samia unawezaje kukubali kudanganywa na Waziri Nape Nnauye mbele yako? Taarifa ya utendaji wa Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022/2023 imefafanua (tazama kielelezo). Ripoti hii ya utendaji wa kisekta iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha mambo...
  5. L

    Ubinafsi, uroho na tamaa za watawala sheria ya mafao kustaafu katika utumishi wa kisiasa

    UBINAFSI, UROHO, TAMAA, WATAWALA! Serikali imepeleka bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambayo kuna marekebisho katika sheria 10 ikiwepo sheria ya mafao ya kustaafu katika utumishi wa kisiasa. Muswada unapendekeza kiongozi aliyeshika nafasi ya ofisi ya Rais na kustaafu, mwenza...
  6. L

    Tanzania, Rais ni zaidi ya mfalme!

    Tanzania, Rais ni zaidi ya mfalme, anateua kila kitu na kila mtu kwa kufuata au kutofuata matakwa ya katiba ya kifalme ambayo iliundwa kwa kuzingatia matakwa ya kulinda chama kimoja -CCM. Kenya; Rais anateua majina kutoka katika majina yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama ambayo...
  7. L

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Nape"Bichwa kubwa" amekuwa mara kadhaa akijinasibu mbele ya vyombo vya ndani na nje kuwa awamu ya sita inazingatia uhuru wa vyombo vya habari sio kama awamu ya tano,ambapo si kweli. Jana TEC(Baraza la Maaskofu Katoliki Tz) limetoa waraka wake juu ya Mkataba wa hovyo wa Bandari, kama ilivyo ada...
  8. L

    Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

    Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha/Kupreview Album yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na...
  9. L

    Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

    Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?[emoji848][emoji848][emoji848] Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje? Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars...
  10. L

    Huyu ni Brother Peter wa Shirika la Mtakatifu Fransisko,Katoliki ambaye ameshinda tuzo ya dunia ya Mwalimu Bora.

    Huyu ni Brother Peter wa Shirika la Mtakatifu Fransisko,Katoliki ambaye ameshinda tuzo ya dunia ya Mwalimu Bora. Brother Peter ni MWALIMU wa sayansi kutoka moja ya vijiji nchini Kenya, ambaye hutoa sehemu kubwa ya mshahara wake kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi masikini zaidi, ameshinda tuzo la...
  11. L

    PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA

    PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA - Amesema yuko tayari kuwapatanisha Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido - Hata hivyo Papa amesema atafanya kazi hiyo endapo ataombwa na pande zote mbili kufanya hivyo - Aliongeza kuwa amepokea barua kutoka kwa...
  12. L

    Pope Francis arrived to Abu Dahbi, United Arab Emirates, in the first ever papal visit to the Arab Peninsula.

    #: Pope Francis arrived to Abu Dahbi, United Arab Emirates, in the first ever papal visit to the Arab Peninsula. Francis will also be the first pope to celebrate Mass in the region. He visited Panama last week. Let's pray for his intentions! #PopeFrancisInUAE Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Hands off Venezuela gringos! Because we say so!

    *HANDS OFF VENEZUELA GRINGOS! BECAUSE WE SAY SO!* We, the *TANZANIA SOCIALIST FORUM* with the mandate from all popular movements, devoted to the cause of protecting, preserving and promoting humanity, hereby issue a statement of condemnation to the interventionism by the imperialist forces, of...
  14. L

    Ubidhaishaji maumbile ya binadamu kutoka Sarah Baartman hadi Agnes Masogange

    UBIDHAISHAJI MAUMBILE YA BINADAMU - KUTOKA SARAH BAARTMAN HADI AGNES 'MASOGANGE' TUNAISHI katika zama mpya. Zama za ubepari uliochukua sura ya uliberali mamboleo. Ipo tofauti kati ya ubepari halisi na uliberali-mamboleo. Ubepari halisi ulijikita katika kuzalisha bidhaa viwandani. Uliberali...
  15. L

    Sabatho Nyamsenda: Ombi kwa Rais Magufuli; Niteue Ubalozi wa Cuba bila mshahara

    OMBI KWA RAIS MAGUFULI: NITEUE UBALOZI WA CUBA BILA MSHAHARA NA SABATHO NYAMSENDA Mpendwa Rais Magufuli, Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Tafadhali pokea pongezi zangu za dhati kwa uamuzi wa kufungua ubalozi wa Tanzania nchini Cuba. Huu ni uamuzi wa busara na vizazi vyote vitakukumbuka...
  16. L

    Mwandishi wa vitabu, Ryan Sheffield kutoka Texas nchini Marekani akosoa sarufi (grammar) ya barua ya Rais Donald Trump

    Mtunzi na mwandishi wa vitabu, Ryan Sheffield kutoka Texas nchini Marekani ameikosoa sarufi (grammar) ya barua ya Rais Donald Trump aliyomwandikia kiongozi wa North Korea, Kim Jong Un. Sheffield ameipa barua hiyo alama ya "F" kutokana na makosa mengi ya kisarufi na kumtaka Donald Trump amuone...
  17. L

    Je, Lining'a 'jeuri' aliyewahi kuwa kitengo ni nani?

    Kumekuwepo kurushiana maneno kati ya hawa jamaa wawili wanaosemekama waliwahi kuwa watumishi wa kitengo,Lining'a 'Jeuri' na Evarist Chahali huko fb.Chahali anawatahadharisha watu wakae mbali na ex...kitengo Lining'a 'Jeuri' ambaye ni 'tapeli' alifukuzwa kitengo kutokana na sababu kubwa Chahali...
  18. L

    Dar: Upepo mkali uliombatana na mvua waleta balaa Magomeni

    Upepo mkali uliovuma majira ya jioni uliombatana na mvua wasababisha baadhi ya kaya kukosa sehemu ya kujihifadhi baada ya nyumba wanazokaa mapaa yake kuezuliwa na upepo. Hali hiyo imetokea magomeni mitaa ya kwa Bonge.Wakazi hao wameonenaka kusikitishwa sana na tukio hilo.Kutokana na nyumba...
  19. L

    Sipendi wanawake, nikishaweka natembea na sirudi nyuma

    Imefikia kipindi nimekuwa addicted na kuwaweka tu msaga sumu halafu nasepa.Sijawahi kumuweka mwanamke moyoni japo inafika hatua mwanamke mwenyewe anaona na kuwambia marafiki zake huyu ndo mwanaume wa ndoto yangu...ikishafika steji kama hii ntatengeneza mazingira huyo manzi hata niachache nae...
  20. L

    Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

    Si muda mrefu tokea tufunge chuo kwa kumaliza semester ya kwanza,natoka zangu hostel narejea kitaa kupunguza uchovu wa kudesa. Ile kufika home kuna mpangaji mpya kahamia,kumcheki mzuri na uzuri depend on ur own perception.Jioni nimetoka zangu maskani nimekaa home kibarazani,yule demu akapita...
Back
Top Bottom