Pole na tatizo la appetite…kuna vyanzo vingi vya appetite kupotea. Mfano ugonjwa wa Depression (sonona) aneroxia (ugonjwa wa kuogopa kuongezeka uzito) magonjwa kwenye digestive system madawa kama antibiotics, chemotherapy, na narcotics, yanawezasababisha pia poor appetite. Magonjwa sugu...
INAWEZEKANA UNA SONONA (DEPRESSION) NENDA
INSTAGRAM: @ psychological_support_tz AU
LIKE PAGE
FACEBOOK : https://www.facebook.com/pages/Psychological-Support-and-Mental-health-Awareness/159663587434912
UTAPEWA MSAADA..PIA PAGE ZOTE ZINA NAMBA ZA MADAKTARI..KILA LA KHERI
AFYA YA AKILI
Ni mjumuiko wa hali ya mtu kuwa vizuri kihisia, kisaikolojia na kijamii. Hii inahusisha jinsi ambavyo mtu anafikiria, anavyohisi,na jisi anavyotenda/kufanya mambo yake. Inamaanisha kua, Kunapokua na tatizo kwenye afya ya akili ndipo mtu anakua na tatizo katika hisia, mawazo...
.
je una dalili hizi?????
1. Kuwa na huzuni iliyopitiliza
2.kushindwa kufurahia kazi na mambo yaliyokupa raha hapo awali mfano tendo la ndoa
3 kukosa hamu ya kula au kula na kulala sana (usingizi kupita kiasi)
4.hali ya kukata tamaa na kujiona mwenye hatia (guity) au kujiona mtu wa kushindwa (a...
yapo magonjwa mengi yanayoambatana na dalili hizo mbili. kuchoka na usingizi. hivyo sio rahisi kukupa ushauri bila kujua chanzo cha tatizo lako. ni vizuri ukaenda kuonana na daktari. kupuuzia dalili zinazoonekana ndogo kama hizi huweza kusababisha madhara makubwa baadae pale unapokuja gundua...
kiboko huzidisha tatizo na kusababisha matatizo mengine kama wizi n.k
Matibabu ya matatizo ya kitabia kwa watoto
Watoto bila kutibiwa matatizo ya kitabia wnaweza kukua na kuwa watu wazima wasioweza kufanya kazi. Kwa ujumla, KUTAFUTA MATIBABU mapema, kuna uwezekano wa kuwepo matokeo mazuri...
KITAALAM TATIZO HILI LINAITWA (ATTENTION DEFICIT HYPERACTIVITY DISORDER (ADHD)
Watoto wenye tatizo hili ni wale ambao wana shida ya kukosa utulivu, kukurupuka na kua na utundu uliopitiliza
Dalili zinazoashiria Utundu uliopitiliza (hyperactivity symptoms)ni kama
• muda wote...
Kitaalam tatizo hili linajulikana kama INTERMITTENT EXPLOSIVE DISORDER (IED) na dalili zake ni
· hasira za ghafla zilizopitiliza (explosive outbursts of anger to the point of rage)
· kupiga kelele au kurusha au kuvuja vitu anapokasirika,
· kushindwa kuzuia au kucontrol...
hapana; ugonjwa huu hauwezi kusababisaha kifo ila kutokana natsatizo hili mtu anaweza kupata sonona (itakayosababisha kujiua) na magonjwa ya moyo ambayo indirectly yanaweza kupelekea kifo
hasira iliyopitiliza ni tatizo. hata hivyo; kuna magonjwa mengi sana ya kisaikolojia ambayo mojawapo ya dalili zake ni hasira ambayo mtu anashindwa kuicontrol. kwa dalili hizo mbili tu ulizotoa sio rahisi kukuambia tatizo lake. baadhi tu ya matatizo yanayoweza kua na dalili hizo mbili ni Sonona...
Imekua ni kawaida kusikia mtu akisema ninapanic sana. Je; ni kweli kinachowatokea ni tatizo linalojulikana kama panic attack au ugonjwa wa panic? Dalili za tatizo hili la panic ni kama hizi zifuatazo
Kwanza kabisa;
Dalili hizi hutokea ghafla na hufikia kilele au ukali wake ndani ya dakika...
ZIJUE DALILI ZA PANIC ATTACK
Imekua ni kawaida kusikia mtu akisema ninapanic sana. Je; ni kweli kinachowatokea ni tatizo linalojulikana kama panic attack au ugonjwa wa panic? Dalili za tatizo hili la panic ni kama hizi zifuatazo
Kwanza kabisa; Dalili hizi hutokea ghafla na hufikia kilele au...
Masturbation kwa walio wengi huanza wakati wa adolescent baada tu ya kubalehe. Tafiti zinaonyeshea kua wanaume hufanya tendo hili (mara 3-4 kwa mwezi) nyingi kuliko wanawake.
Watu wengu pia huyatambua maumbile yao na raha ya tendo la ndoa kupitia ,masturbation. Japokua ni njia salama ya...
Asilimia ishirini (20% ) ya matatizo ya nguvu za kiume husababishwa na matatizo ya kisaikolojia. Kwa baadhi ya wanaume wenye tatizo hili (na hata wanawake wasiofurahia tendo) ni matokeo ya kifiziolojia yanayoanzia tangu utotoni baada ya KUUMIZWA KIHISIA katika tukio lolote linalohusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.