Search results

  1. GRAMAA

    Juhudi bila kuzingatia kanuni ni kujitesa tu

    Juhudi bila ya kufuata sheria na kanuni za juhudi hizo ni kujitesa tu. Vijana wengi wanapambana sana usiku na mchana kufanya Biashara mbalimbali ili wajikwamue kiuchumi ila waliowengi wanatoka patupu. Zaidi wanaambulia madeni mazito sana na kufilisiwa. Jamani ndugu zanguni jitahidini mtoke...
  2. GRAMAA

    CCM kufanya maandamano Dar ili kuwafunika CHADEMA?

    Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema. Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini. Kiongozi huyo...
  3. GRAMAA

    Hivi huyu msanii alinionaje? Saa moja na nusu milioni tano na ushee!

    Milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili kweli! Kuna msanii mmoja wa kike maarufu sana hapa Tanzania amenishangaza sana. Msanii huyu kwenye bongo movie yupo kwenye mziki yupo ameniacha hoi sana leo. Kuna jamaa mmoja naye ni maarufu sana na anasifa ya kuongea sana na mbwembwe nyingi...
  4. GRAMAA

    Wengi hawajui kuwa ulimwengu unaongozwa kwa kuzingatia katiba, sheria na kanuni za aliyeiumba Dunia na ulimwengu

    Yaani cha ajabu mpaka leo kuna watu wengi hawajui kama dunia na ulimwengu kwa ujumla unaongozwa kwa kuzingatia katiba, sheria na kanuni za aliyeiumba dunia na ulimwengu. Watu wengi sana wamejikuta wanakumbwa na majanga magonjwa, ziki, vifo, kilema, umasikini, nuksi, mafuriko, ukame n.k kwa...
  5. GRAMAA

    Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul? Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya kiasi hiki linapotokea jambo la kuzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kiasi cha kijana mdogo...
  6. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  7. GRAMAA

    Hizi hela zimepigwa na nani ikiwa kila kiongozi anaongea kama hausiki kabisa?

    1. Rais wa nchi anasema wale wote waliohusika na matumizi mabaya ya fedha za umma walioguswa na na ripoti ya CAG lazima washughulikiwe. 2. Makamu wa Rais wa nchi naye anasema wale wote waliopiga fedha kama walivyotajwa kwenye ripoti ya CAG watakiona cha moto. 3. Waziri mkuu wa nchi naye...
  8. GRAMAA

    Hivi mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?

    Hivi mtu wa kwanza aliyejua kusoma na kuandika alifundishwa na nani? Au walimu wa kwanza waliowafundisha watu kusoma na kuandika wao walifundishwa na nani? Hivi hii kitu ilikuwaje wazee?
  9. GRAMAA

    Hivi ni kwanini wazungu wanatamani dunia iwe na mashoga wengi?

    Kumekuwa na juhuudi kubwa sana zinazofanywa na nchi za magharibi juu ya kueneza ushoga duniani. Wanatumia gharama ya fedha kubwa sana ili wafanikiwe kueneza ushoga duniani. Swali 1. Je,wao wanapata faida gani ikiwa dunia itakuwa na mashoga wengi? 2. Je, kwanini wanataka dunia iwe na mashoga...
  10. GRAMAA

    Atoa matapishi mazito kipindi ananyonya sehemu za siri za mpenzi wake

    Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana. Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana. Dada mmoja ambaye baadaye nilikuja kumfaham kwa jina moja tu la Mwantumu amezua tibwili zito lodge hapo baada ya...
  11. GRAMAA

    Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

    Mapenzi bwana. Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana. Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea...
  12. GRAMAA

    Fanya haya tafuatayo ili upone ugonjwa wowote ule unaokusumbua

    Ipo hivi wakuu, kama unaumwa ugonjwa wowote ule kwa muda mrefu bila ya mafanikio yoyote ya kupona basi ujue kuna kitu unakikosea katika matibabu yako. Sasa leo nimekuja kwenu tena kuwafunulia yasirini yaliyojificha au yaliyofichwa kwa muda mrefu juu ya namna gani unaweza ukapona ugonjwa wowote...
  13. GRAMAA

    Je, unataka kuwa kama Mungu? Basi fanya yafuatayo

    Mimi leo nataka niwafundishe kitu cha msingi sana wakuu. Ipo hivi, kinachompa nguvu Mungu ni vitu alivyotoa kuwapa viumbe hapa duniani. Dunia ina mfumo wake ule ule kwamba "Kadri unavyotoa vitu kuwapa watu na viumbe wengine ndivyo hivyo hivyo na wewe dunia inakuzawadia utakacho ikiwepo afya...
  14. GRAMAA

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu ana tatizo la HOMA YA INI(Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu. Tulienda Muhimbili akapimwa akapangiwa clinic kwa muda mrefu sana ila kila akipimwa anaonekana yupo positive. Sasa kuna daktari mmoja pale Muhimbili...
  15. GRAMAA

    Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  16. GRAMAA

    Tunaonewa sana

    Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu. Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga. Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani...
  17. GRAMAA

    Kipi kilichomchosha Mungu mpaka akapumzika siku ya saba?

    Watunzi wa biblia na vitabu vingine vya imani walijisahau na hawakujua kama Ubongo wa binadamu utakuja kuongezeka na kuanza kuhoji mambo kwa kina. Watunzi hawa wa Biblia hawakujua kabisa kama uelewa wa binadamu utaongezeka mwisho wa siku watu wataanza kuwa na wasiwasi na kile walichokiandika...
  18. GRAMAA

    Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu. Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa...
  19. GRAMAA

    Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

    Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu. Ukiangalia movement ambazo Mungu ameanzisha ili aweze kujitangaza na kumpiga vita Ibilisi ni nyingi sana ukilinganisha na zile ambazo...
  20. GRAMAA

    Yaani awekeze kwa akili nyingi na maarifa mengi ili mzaane kwa manufaa yake alafu wewe unakuwa shoga!

    Lengo kuu la kujamiana ni moja tu nalo ni kuzalisha binadamu wengine ili waje hapa duniani. Unajamiana ili uzalishe tu watoto hapa duniani ambao hata wewe mwenyewe hujui kwa nini unazaa na ulizaliwa. Ile raha au msisimko unaoupata kipindi unajamiana ni rushwa na ulaghai mkubwa uliofanyiwa ambao...
Back
Top Bottom