Search results

  1. kulkat

    Mishahara Clouds Radio na Tv

    Be positive, hata kama walamba viatu vya JK kazi ni kazi bora mkono uende kinywani...jibu kama unajua..hujui bora kukaa kimya sio vema kukejeli kazi za watu
  2. kulkat

    Hii ndiyo moja ya sababu Wakenya wako dakika 5 mbele yetu

    Kwani walikuwa busy walikuwa wanafanya kazi peke yao? Maana ya kuwa na kampuni ni kwamba unatakiwa na watenda kazi, huwezi fanya kazi zote peke yako na ndio maana anakuwa busy manake anataka kazi zote afenye mwenyewe......That is not an excuse, a serious Manager who ever is anatakiwa kujua...
  3. kulkat

    Nyumba inapangishwa @ victoria

    Weka bei basi kwani wewe dalali?
  4. kulkat

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Mtanzania mwenye mtazamo wa maendeleo, asiyetetea rushwa, anayetumia akili za kuzaliwa na sio akili za kushikia na binadamu wengine, anayeweza tofautisha nchi yake na za wenzie kila mara anapoingia nchini kwakwe kutoka nchi endelevu,,,,asiyetetea uzembe wa watenda kazi wake........na nyingi...
Back
Top Bottom