Search results

  1. cpb

    Natafuta bajaji ya kuleta hesabu Dodoma

    Habari wapendwa, Niko Dodoma natafuta bajaji ya kuendesha na kuleta hesabu niko Dodoma. Naomba mwenye connection tuwasiliane.
  2. cpb

    Naomba msaada wa kuapoad gari kwenye App ya Bolts account

    Account ya bolts
  3. cpb

    Ajira portal change of email adress

    Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal wakanibadilishia taarifa zangu kwenda email nyingine kama kuna aliewahi pata shida kama hii anisaidie...
  4. cpb

    Uber Jiji la dodoma

    Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga Nakaribisha mawazo yenu
  5. cpb

    Natafuta njia nzuri ya kusafirishia abiria

    Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi. Gari yangu ina uwezo wa kubeba abiria kuanzia 5 Hadi nane hivi hata kama ni rough road walau pawe...
  6. cpb

    Natafuta asali kwa mtu ambaye anauza

    Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara Asali nyuki wakubwa kwa wadogo awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto. Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara nahitaji kiasi...
  7. cpb

    TOYOYA WISH AU TOYOTA RACTS

    habari zenu wapendwa napenda mnisaidie gari gani ni ngumu kati ya TOYOTA WISH AU TOYOTA RACTS nahitaji kununua gari ila machaguo yangu ni kati ya magari hayo mawili nishaurini gari gani itaweza kudumu ambayo haitanisumbua kila siku kwenda services mawazo yenu ni muhimu sana
  8. cpb

    MASTER OF BUSINESS MANAGEMENT

    habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani
  9. cpb

    Nabadili course kutoka bachelor of science education to bachelor of nursing

    Habari wana jamvi Mimi nimechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili nmepewa masharti magumu sana. Kwamba kuna mawili naweza badili alafu nikasitishiwa mkopo na mimi hapa...
  10. cpb

    Naomba ushauri kati ya medical lab science na nursing nisome ipi

    Habari zenu wapendwa PCB niko na ufaulu huu ECC naombeni ushauri ni course gani kati ya hizo hapo juu nikisoma ni nzuri na pana katika upande wa ajira itakayonisaidia mawazo yenu ni muhimu sana nasubiri ushaur wenu nianze application
  11. cpb

    Msaada kuhusu bachelor science in nursing

    Naomba msaada kwa waliosoma bachelor of science nursing ajira zake zikoje kwa mtu aliemaliza degree maana sjawahi kuona tangazo la kazi zikiwahitaji hawa watalaam na inachukua mda gani kusoma hii kozi nahitaji ushauri wenu ili nijue kama naweza kuisoma nmefanya nimepata phy E, Chem C, Bios...
  12. cpb

    Pongezi kwa tovuti ya ajira

    Napenda kuwapongeza tovuti ya ajira kwa hatua hii kubwa kuweza kubadili mfumo wa uombaji kazi hii itatusaidia kupubguza gharama za kutuma maombi nawapongeza sana kwa kuanzisha hii system mpya vijana wengi hata wale ambao hawana uwezo watapata kazi ombi langu kwenu buni njia mbadala wa kuita...
  13. cpb

    St:joseph university dar es salaam

    habari wana jamvi Nmechaguliwa kusomea bachelor of education in mathematics kwenye chuo hapo juu lakini sjajua umuhimu wa hii course je ukimaliza unakuwa mwalimu wa hesabu tu au unajiriwa kama mkufunzi wa chuo msaada tafadhali nataka njue umuhimu wake ndo nchukue maamuzi ya kujiunga hivo ushaur...
  14. cpb

    Sehemu za kula bata moshi mjini

    wapendwa wale wenzangu niko moshi kwa mda natafuta sehemu ya kula bata nielekeze maeneo mazuri ninayoweza kula bata vizur niburudike hata na mtoto wa kichaga kidogo
  15. cpb

    Mahusiano yameisha baada ya kumtumia pesa kidogo

    Habari wanajamvi. Naomba ushauri nmekuwa na mchumba wangu takriban miaka minne lakin hatukuwa kufanya sex sababu ya umbali tulokuwa nao yeye yuko chuo ni mimi chuo baadae mimi nikamaliza chuo nikaingia mtaani. Tuliendelea kuishi vizuri lakini baadae uhusiano ulianza kuyumba nilimtumia kidogo...
  16. cpb

    Equity bank huajiri baada ya mda gani baada ya kufanya enterview zao

    Equity bank huajiri baada ya mda gani baada ya kufanya enterview zao
  17. cpb

    Kuitwa kazini Equity Bank

    Jamani kwa wale tuliofanya oral enterview ijumaa na jmosi iliyopita kuna watu wameitwa kazini maana walisema after two weeks wataita na leo ni j tatu mwenye taarifa atujuze
  18. cpb

    Tanzania Institute of Bankers

    Jamani hamjambo wote wana jamvi kwa jina naitwa miriamu mbolea . nimehitimu mwaka jana bachelor banking and finance pale ifm lakini ajira hamna kabisa naingia interview nyingi lakin wananiacha wanakuana jujuu ila kuna rafiki yangu kanishauri nkasomee professional ya bank yaan Certified...
Back
Top Bottom