Search results

  1. cpb

    Ajira za TRA zina ubaguzi kwa watu wa Banking and Finance

    Hyu jamaa mbona hajielewi watu wa banking wakatengwa vipi mbona Mimi nilifanya na nime soma banking wewe utakua ulikua na challenge ingine but sio hicho ulichoandika acha upotoshji
  2. cpb

    Utumishi kupitia Ajiraportal wanatumia muda mrefu hivi kwenye kuchakata wanaoomba ajira?

    Hawa jamaa wanazidiwa mfano hizo la loan board Helsb tangu June Hadi leo na tra tangu April Hadi leo nadhani serikali waingilie kati
  3. cpb

    Kuitwa Training TAESA

    Ada ipi wanakata yaani wakulipe 150,000 bado waikate daa hii nchi ngumu sana
  4. cpb

    Kuitwa Training TAESA

    Hawatoagi ajira Hawa japo wanatoa internship
  5. cpb

    Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Usikate tamaa never never mim nmeingiaa enterview tulikua 750 utumishi nkawa wa pili kwa kupata 75 lakini kwenye practical nkashindwa kutoboa sababu nilivaa casual Mkuu never give up ipo sku tu utapata na bahati nzuri umesona afya lakin pia jaribu kufuta mtu akupe miongozo kuna mahali unaweza...
  6. cpb

    Kuitwa Training TAESA

    Huyu mpayungu simwelewi kila sehem yupo malizia story ya kidagaa ndugu
  7. cpb

    Kuitwa Training TAESA

    Mkuu wamekuita mim nimefanya nao usaili week imepita naona wako kimya
  8. cpb

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hapatakua naa usali majina yatatoka moja kwa moja
  9. cpb

    Tano bora ya watu potential JamiiForums wenye nyuzi za mikito na ushawishi

    Mpwayungi village angemalizia ule uzi wake angekua mtunzi bora na hata kitabu kingetoka angepiga hela sema alikosa sifa kwa kuzira hasira kwa kuangalia mudi za watu bila kukomaa
  10. cpb

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS)

    Kama ni multiple choice inawezekana
  11. cpb

    Ukitoka usaili wa kuongea utumishi, accout huwa inaandikaje?

    Na nafasi zilikua zinaitaji watu wangapi orol nmeingiaa wangapi
  12. cpb

    Ukitoka usaili wa kuongea utumishi, accout huwa inaandikaje?

    Hongera mkuu kama wamekuandikia shortlisted maana yake umepita kale mema ya nchi ilikua ni kada gani mkuu
  13. cpb

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Mim nimeweka na prefer kufanya KAZI abroad vip hapa nimekosea au kuna anaeweza nisaidia maaana nimeiweka kimakosa nataka kubadilisha inanigomea
  14. cpb

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Kuna kijana wangu ana 3.5 ameomba iaa na ifm na ndo vigezo walivoweka vip anaweza pata
  15. cpb

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Mbona Moccu ni university na open university na wao ni university wameweka 3.5 ache kukatisha watu tamaa kama una 3.5 omba tu hujui unaweza pata
  16. cpb

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Gpa 3.5 kea vyuo vingi vya serikali ifm iaa na mocu
Back
Top Bottom