Search results

  1. M

    Elections 2010 Kwa hili,chadema muwe makini

    Katika pitapita yangu hapa jijini Mwanza nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu juu ya nani ataibuka kidedea kwenye uchaguzi wa wabunge,JIMBO LA NYAMAGANA.Kwa uhakika kabisa,pasipo ushabiki MASHA atashindwa.Kwa kuwa MASHA ameanza kuhisi hilo,amesema atatumia mbinu zote kumshinda mgombea wa...
  2. M

    Elections 2010 Yu wapi mgombea mwenza wa CHADEMA?

    NI yupi,yule aliyesoma mpaka shule ya msingi,ooh ok! AMEJITOA KWENYE KINYANG'ANYIRO.
  3. M

    Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Je leo akiondoka Dr.Slaa,CHADEMA itakuwepo?
  4. M

    Elections 2010 Wabunge wanaosubiri kuapishwa...

    Mmh,SUGU! Ukilinganisha kwa uelewa na uwezo wa kupambanua mambo(weledi) kati ya Profesa Maji Marefu na Sugu,NADHANI PROFESA ANA UWEZO ZAIDI. kwa SUGU MMECHEMSHA!
  5. M

    Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Kumbuka, 'mtu na mtu hufanya watu'.
  6. M

    Elections 2010 Sitta amdharau kikwete

    Du,kwa hili,sikutetei! Ongelea hoja,si uzuri. Je,hivi hapo ndio mwisho wa kufungua akili yako?
  7. M

    Elections 2010 Mgombea udiwani wa chadema ahamia ccm

    Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa. Source: Mwananchi,16.09.2010,ukurasa wa 8. Maoni: Chadema msikurupuke kupata wagombea,kama nina kumbukumbu sahihi huyu ni mtu wa...
  8. M

    Elections 2010 Mbunge Njombe kukosa kura kisa kasema "Mmepanua wakinga tumeingiza"

    aah ndugu yangu,mbona unatuchosha kwa kuuliza majibu!!? Yupi kwanza,yule mgombea mwenza wa Dr.Slaa?,si darasa la saba na mkondo ni B. au unataka kujua somo la Hisabati alipata nini?
  9. M

    Elections 2010 Kauli za ndg. Hashim Rungwe

    Lakini kweli,bora mgombea wa PPT-Maendeleo,Dr.Peter Mzirai(sasahivi kila mtu anaitwa Dr.) yu active kuliko Mgombea wa NCCR,Dr.Hashim Rungwe.
  10. M

    Elections 2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

    Ni kweli,kilichofanyika ni amepita kwenye kura za maoni ambazo ni wananchi ambao walengwa zaidi,wanamfahamu na wahahisi atawasaidia.kama ni kosa, basi ni la wananchi.
  11. M

    Elections 2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

    SHIBUDA hakujitokeza kugombea urais,alikuwa kwenye process na hata jina lake wala halikwenda nec!Mgombea alikuwa JK tu.Ikumbukwe kuwa Shibuda alimuunga mkono JK kwa kumchangia Tshs.200,000/= za kampeni na pia kumpamba kwelikweli.Leo amegeuka,Hivi Shibuda kweli anataka kuwakomboa wananchi au...
  12. M

    Elections 2010 Kwa nini Picha za Mgombea Urais wa CHADEMA Dr.Slaa na wabunge hazionekani?

    Kura zitatoka wapi,wakati bado wachanga na hamfamiki vijijini.
  13. M

    MissTz 2010: Mrembo kakosa umiss kwa kujibu vibaya

    Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi. Fainali ni Oktoba,31.
  14. M

    Elections 2010 Mwenyekiti wa chadema kuhamia ccm huko ndiko kunakomfaa

    mwenyekiti wa CHADEMA alipokuwa akiaga na kujiunga na CCM
  15. M

    Elections 2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Ndugu yangu wewe,ya kweli hayo?!.labda,sijui.na ya binafsi hatuyasemi.
  16. M

    Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

    [/QUO Jaribu kufikiria kwa undani zaidi na usichukulie mambo ya kisiasa kijuu juu! jiulize kwani hizi tuhuma zaja sasa kipindi cha kampeni! Je bora yupi mwizi wa mke wa mtu au mwizi wa rasilimali na pesa / kodi za nchi ambazo zimepelekea nchi hii kudumaa hapa tulipo?? Think twice Mkuu! YEAH...
  17. M

    Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

    Nakubaliana na Binti Zion na pia Mpambalyoto kwa 100%. Tunahitaji sera za vyama,si nani alifanya nini na nani ana nini. Tuna mambo mengi ya kufanya na kujadili kwa ajili ya ustawi wetu binafsi na ustawi wa jamii nzima.
  18. M

    Elections 2010 Propaganda za CCM kumpa chati Dr. Slaa

    Nadhani tukiangalia mapungufu,hakuna wa kusimama.Inawezekana mtu akawa mlevi sana lakini hard worker au anaperform zaidi kuliko asiye mlevi.Cha msingi tuangalie ni kiongozi gani ambaye atasimamia maslahi ya Watanzania. Mambo ya binafsi wakagombane nayo huko kwao,sie tunahitaji sera na jinsi...
  19. M

    Elections 2010 Ya Mwisho Wa Wiki:Mgombea ubunge Chadema ahamia CCM

    Alisema hasira ndizo zilizomfanya ahamie Chadema kwa kuwa alitamani kuwaongoza wananchi kupitia ubunge, lakini aligundua kuwa nafasi yake ya baadaye kisiasa itakuwa ndani ya CCM na si chama kingine.
  20. M

    Elections 2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

    katika wote waliochangia na kupambanua, imeonyesha kama ni wahuni na waswahili. Wewe ndio umepambanua kama Sir.Isaac Newton.
Back
Top Bottom