Search results

  1. C

    Nakupenda Tanzania, nawapenda Watanzania wenzangu

    Habari za wakati Kama huu ndugu zangu wana JF, katika harakati zangu za kutafuta maisha nimebahatika kuishi nchi tofauti tofauti lakini niseme ukweli sisi watanzania tupo tofauti Sana na nchi nyingine zilizotuzunguka, Naongelea nchi km Zambia, Congo, Kenya, Uganda, Malawi, Namibia, Somalia...
  2. C

    Je, mitaala ya elimu yetu inaendana na kasi ya ajira ya dunia ya leo?

    Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa nimemaliza darasa la saba nilipangiwa katika moja ya shule kongwe za sekondari (bweni) hapa nchini iliyopo mkoani Kilimanjaro, ilikuwa ni boys tupu. Kutokana na shule ilikuwa ni ya serikali, ilikuwa inachukuwa wanafunzi kutoka mikoa mbalimbali...
  3. C

    nauza suzuki escudo old model

    Kama title inavyoonesha...gari IPO inatembea namba A...bei mil 6... Anyone who is interesting anichek DM..gari ipo Dar es salaam
  4. C

    Lugha ya Kiswahili ilitakiwa iwe chaguo la pili nchini kwetu

    Habari za majukumu ndugu zangu, Nimekuwa nikijiuliza faida ya vitendawili, ngano, methali na lugha nzima ya kiswahili kwa ujumla ni nini mpaka imekuwa lugha ya taifa? Amini usiamini lugha ya kiswahili imekuwa ni mojawapo ya sababu kubwa ya kurudisha nyuma maendeleo ya taifa letu. Ni lugha...
  5. C

    Usalama barabarani

    Hellow JF, Mnaendeleaje na pilika za maisha za kujenga taifa letu..nlikuwa naomba msaada wa kujua kama dereva unapokamatwa na traffic kipi kinachoanza baina ya askari kukuambia utoe leseni au dereva kujua ni nini sababu ya traffic kukusimamisha?maana Leo nimepigwa faini baada tu ya...
  6. C

    Kibibi kizee cha Turin

    ni mpenzi wa soka ...kuna maswali huwa najiuliza na majibu sipati..Leo kuna baadhi nimeyakumbuka ningependa wajuzi wa soka mnisaidie.. ...kwa nn timu ya juve wengi hupenda kuiita kibibi kizee cha Turin au mmiliki wake ni mbibi? na kunya timu nyingine inaitwa nyambizi ya Villarreal. .....kwann...
  7. C

    Msaada: Bei ya dhahabu kwa gram

    Habari wana JF, Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri. Nipo Dsm Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
  8. C

    Wimbo wa Clouds nakusubiri dunia nani kaimba?

    Habari wanajamvi... Kuna theme naisikia sana katika radio Clouds...nani alieimba na vipi kuna nyimbo yote kamili... Mwenye nayo tafadhali...
  9. C

    Je, Watanzania tuna uzalendo?

    Huwa najiuliza maswali ambayo sijapata majibu mpaka sasa, pengine hapa ndipo sehemu naweza kuyapata. Uzalendo wa nchi Hii uko wapi? Hivi ni sisi tuna timu za wataalam (explorers)wanaochunguza nchi zingine zinaendaje kiuchumi,kiintelijensia,kielimu...n.k. Je, tunawaandalia nini vizazi vyetu...
  10. C

    MAUA....MAUA....

    Karibuni wateja wetu...tupo karibu na geti la mlimani city...tunauza maua ya aina zote...
  11. C

    Materiality concept

    habari wanajukwaa....haswa kwa wale wenye uelewa na account....nombeni kufafanuliwa zaidi kuhusu materiality concept....mchango wenu tafadhali
  12. C

    Viwanja vinauzwa Vikawe, njia ya Bagamoyo

    Viwanja vinauzwa eneo la Vikawe njia ya kwenda Bagamoyo karibu na shule ya Baobab. Umbali mfupi kutoka barabarani, ekari moja mill 22. Kingine urefu mita 60 kwa 30 mill 15. Kwa mawasiliano ni PM
  13. C

    Viwanja vinauzwa

    viwanja vinauzwa eneo la vikawe njia ya kwenda bagamoyo karibu na shule ya baobab..umbali mfupi kutoka barabarani..ekari moja mill 22..kingine urefu mita 60 kwa 30 mill 15..kwa mawasiliano ni pm
Back
Top Bottom