Search results

  1. M

    Mkopo dar es salaam

    Heshima yenu wakuuu,,,,, Mimi ni Mt umishi Wa serikalini naomba kwa anaejua anisaidie mahali pakukopa laki nne kwa riba taacha Laptop(PC) yangu .Ntailudisha tarehe kama hii mwezi ujao . Naombeni mnisaidie natanguliza shukrani zangu za zati.
  2. M

    Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

    Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+ Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka . Unajua Mimi ninapenda kiwanja ambacho mziki unapigwa huku watoto wakike pembeni yako anakata uno...
  3. M

    Bodi ya mikopo (Heslb ) wakumbukeni hawa vijana wa chuo cha IAE.

    Igweeeeeeeeeeee,,,, Ndugu wanajamvi mpaka sasa watoto Wa masikini wanasoma chuo cha institute of adult education hawajasaini pesa zao za maraz. Ndugu zangu vijana wanateseka sana nyuso zao zimekomaaa utafikili wazeeee WA miaka 70. Bodi ya mikopo tatizo nini watoto wamasikini hawajapata...
  4. M

    Ushauri: Tatizo la kutojiamini ninapokuwa naongea mbele za watu

    Ndugu wanajamvi, Mimi ni kijana ninatatizo lakutokujiamini hasa ninapokuwa natao speech kwenye kikundi cha watu kuanzia 60 na kuendelea.Lakini kikiwa ni kikundi cha watu kama kumi huwa mimi najiamini kupita wote na hata wao hupenda kama tunaenda ofice fulani huniachia mimi kuwa mzungumzaji mkuu...
  5. M

    Mwongozo wa bodi ya mikopo kwa hela ya malazi ya mwanafunzi ikiingia Account ya chuo

    Ndugu wanajamvi,Naombeni kujuzwa chuo chetu imeingia Hela ya Heslb tangu Tarehe 26 mwezi huu kwenye Account ya chuo. Ndugu wanajamvi hiii pesa ni yangu ambayo ilienda chuo kingine na nilichohamia. Ndugu zangu mimi niliisaini tangu tarehe 18.05.2016 loan officer wa chuo namuuliza ananiambia...
  6. M

    Jipu limeiva chuo cha institute of adult education

    Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ndugu wana jukwaaa namasikitiko makubwa na chuo hiki kinavowatesa watoto wa masikini kwa kuwacheleweshea hela zao za maraz toka loan bord hata pia wakisaini pesa hizo hukaa mwezi mzima wakizisubiri. Mfano ninajamaa angu pale institute of adult education mkopo...
  7. M

    Jipu linalotesa watoto wa masikini IAE.

    Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie kwenye account yake lakini ukweli ni kwamba mpaka sasa hela yake haijaingia kwenye account . Ameenda...
  8. M

    Jipu linalotesa watoto wa masikini IAE.

    Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie kwenye account yake lakini ukweli ni kwamba mpaka sasa hela yake haijaingia kwenye account . Ameenda...
  9. M

    Mshahara jamani badooooo njaaaaa.

    Ndugu wanajamvi tupeane update za mshahara Mimi njaaaa inaniuma sanaaa
  10. M

    Idara ya malipo bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa

    Ndugu wana jamvi ,Naandika kwa masikitiko makubwa sana Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ambae mkopo wangu ulienda udsm wakati nimechaguliwa chuo kingine Cha ajabu mpaka ninavoandika uzi huu sijafanikiwa kupata pesa yangu ile Qurtor ya kwanza iliyoenda udsm. Wiki lililopita nilifatilia...
  11. M

    Idara ya malipo bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa.

    Ndugu wana jamvi ,Naandika kwa masikitiko makubwa sana Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ambae mkopo wangu ulienda udsm wakati nimechaguliwa chuo kingine Cha ajabu mpaka ninavoandika uzi huu sijafanikiwa kupata pesa yangu ile Qurtor ya kwanza iliyoenda udsm. Wiki lililopita nilifatilia...
  12. M

    Tajirika leo

    Wakuuuu wazeeeee wa mikeka mpo leo mpe Atletico Madrid ,PAOK ,Dortmund,Juventus,Barcelona &Olympiakos zinashinda ule pesa ,Byeeeeeee &wikendi njema
  13. M

    Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

    Ndugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa wahindi na wazungu Mimi nimeanza kubet nina wiki ya tatu ninaona hiii biashara inalipa kwa sababu...
  14. M

    Nahitaji binti wa kushare nae cost ya nyumba

    Ndugu wanajamvi, Nimepata nyumba nzima vyumba vitatu na sebule na kila chumba ni self, nahitaji mimi vyumba viwili tu nae achukue kimoja na sebule. Mimi nitalipa laki mbili yeye alipe laki moja tu aliyetayari kama ni binti ani pm tuendeleze maisha.
  15. M

    Wakuuu mlio dar njooni KB tabata bima kuna mziki watoto wanacheza wazuri mtasahau shida.

    Heshima yenu wakuuuu,Mkitaka kustarehe njooni KB tabata bima wakuuuu unakunywa bia kuna watoto wazuri na vijambio vyao wakuuu nilikuwa nimeacha bia mpaka Jana nimeirudia aiseee nimetembea viwanja vingi kuna Merdian ,Mango garden ,Kwetu pazuri,,Toraka uje na Nk but KB paradise kiboko yao wakuuuuu
  16. M

    Salamu zangu ziwafikie Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Ndugu wanajamvi hawa Bodi ya mikopo (HESLB) wanasikitisha sana. Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, mkopo wangu ulienda UDSM wakati mimi nimechaguliwa chuo kingine.Cha ajabu tokea nianze chuo huwa kuna utaratibu kila baada ya miezi miwili kupata pesa but mpaka sasa nimepata Mara moja tu ile...
  17. M

    Nimenawiri baada ya kuacha pombe

    Ndugu wanajamvi, Tokea niache pombe nina miezi miwili nimenawiri kila ninaekutana nae ananiambia aisee umenawiri.Halafu vile vile napiga show ya kibabe sana kwa shemeji na mawifi zenu. Ushauri wakuuu acheni pombe sio nzuri
  18. M

    Nimeacha pombe kupitia mkesha wa pasaka hii

    Ndugu wanajamvi, Nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB Tabata Bima. Aisee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St Merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna...
  19. M

    Chuo cha institute of Adult education idara ya uhadibu ni jipu linalohitaji kutumbuliwa.

    Ndugu wanajamvi Nina shemeji yangu anasoma pale institute of adult education masikini ya mungu tangia aanze chuo mkopo wake ulienda chuo kingine (transfer) nimemkuta leo kajilalia Analia nikamuliza shem kulikoni kaka kakufanyaje akanijibu wewe acha tu nimesaini boom leo nakamilisha wiki ya...
  20. M

    Ma loan officer baazi kuweni na moyo wa huruma.

    Igweeeeeeeeeeeeeee,ninawadogo zangu watatu mmoja yupo udsm huyu akisaini boom leo baada ya siku tatu mzigo huuoooooo,Sasa hawa wawili wawili sitaji vyuo vyao walienda kama transfer wakisaini wanakaa two weeks wadau kwa nini mda mrefu hivo ? Kuna kuwa kumetokea nn
Back
Top Bottom