Search results

  1. saidyakub

    Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

    Shetani alipewa nafasi kutawala familia hii, kidogo kidogo akajipenyeza kupitia tamaa na uvivu. Kisha akahamia kwenye mahusiano duni ya mke na mume, ndipo akamalizia kwenye hilo la ulawiti. Sasa kijana kishaharibika kabisa . Sijui kama ataweza kuacha.
  2. saidyakub

    Azam wametumika kama ngao ya Simba kwa Feisal

    Ukiwa Yanga kuna tu akili flani tunafutika kwenye ubongo
  3. saidyakub

    Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Kwa hiyo na wewe unataka kutuaminisha kwamba kile kioo ni kigumu kuliko chuma, sivyo? Ndege imekita chini, sehemu ya mbele imepinda( chuma) ila kioo hakijavunjika( kigumu kuliko chuma!)... tafiti vizuri
  4. saidyakub

    Mfumo wa usajili wa magari Tanzania

    Itakua tushalala...
  5. saidyakub

    Anayedaiwa kinara mauaji ya kukodiwa naye auawa

    Itakua ni MSUkuma tu maana hilo jina duh
  6. saidyakub

    Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

    Kuna pesa ya group stage na ya quarter final. Umeweka sawa kumbukumbu zako?
  7. saidyakub

    Mradi Wa Ufugaji Kuku Kupitia Tancet Group

    Hao watapita mitaani kwenu watakusanya pesa kiasi mtakachoweza kuchanga na miaka itaenda hakuna kitakachofanyika. Kifupi ni wezi wa kivikobavikoba. Target ni kina mama wale desperate, hawa ni rahisi kuwachukulia alfu 5 zao na kuwajaza upepo.. Nawakumbusha tu kuliwahi kuwepo na taasisi hai...
  8. saidyakub

    Jinsi ya kuzuia figo zako kuwa na mawe

    Uniti 1 ya maji ya DAWASA ni Tsh 1,679.6 sawa na lita 1000 ukinywa utatumia siku 333 hivi. Ni kuyachemsha tu na bei ya mkaa haiwezi kufika kote huko😁😁 usitafute sababu. Chemsha maji beba kwenye chupa. Zipo kibao mtaami. Ni fashion pia. Pia unaweza kupunguza matumizi ya pesa ya kununua bia au...
  9. saidyakub

    Rwanda yatuhumiwa 'kupika' takwimu za uchumi kwa manufaa ya kisiasa

    Naombeni link za sources za hii habari ili niisome kwa kina kuongeza uelewa
  10. saidyakub

    Masaada: Wenyeji wa Iringa wapi sehemu nzuri ya kula bata jioni?

    Kwani hadi leo hujajua namna ya kuepuka kupata UKIMWI? Njia iliyokuu ni ABSTAIN...till you die
  11. saidyakub

    Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumuua mpenziwe Mabibo Hostel

    Kuna watu walichelewa kuanza std1 wengine walirudia rudia sana. Wengine waipomaliza form six waliingia mitaani kusaka pesa
  12. saidyakub

    Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumuua mpenziwe Mabibo Hostel

    2005 ulikua secondari gani buloo
  13. saidyakub

    Muuaji wa watu 49 New Zealand afikishwa Mahakamani

    Angekamatwa na raia wa huko angeuawa
  14. saidyakub

    Mwenyekiti Halmashauri ya Iramba ashauri Uchangudoa uhalalishwe kuongeza mapato

    Machangu walinisaidia sana enzi zangu nipo college. Angalau nilikua na uhakika kila wikiendi napata bia mbili na bao..😂😂😂 wapo ma CEO wanasheria bankers watu wa bima masociologist ambao walijiuza na walipata huduma hii ya machangudoa anaebisha aje..
  15. saidyakub

    Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

    Duh aisee huyo jamaa roba aliitega barabara shingoni, kamanda kila alipojitahidi kufurukuta ndio roba ilivyozidi kukaza na yeye kuishiwa pumzi hadi kulegea na hatimae kufa. Huyo jamaa itakua alivyoona kalegea akajua ndio karuhusiwa aendelee kustuka anajikuta kishaua. RIP kamanda
  16. saidyakub

    Unguja: Diwani wa zamani ajinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio

    Ni kweli kabisa. Msongo wa mawazo sio kitu kirahisi kwa kweli. Ila kujiua ni uamuzi wa kikatili kuliko wote binadamu anaweza kujifanyia. Unajipa adhabu ambayo hata mahakama haiwezi kumhukumu mtu ajinyonge hado kufa
  17. saidyakub

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    Mzee wa mbwembwe Mr. SOO MUCH alikua anakamua Chemistry na Mathematics, wazee wa biology kulikua na mkali anaitwa MAKUMAKU..Physics kuna Busanji(RIP) na Ustaadh alikua yuko vizuri sana kwenye Physics..notes za Physics toka kwa Wibonele (RIP)
  18. saidyakub

    Mwanafunzi akimbiliakwa ofisa elimu kukwepa ndoa nyumbani

    Tatizo hapa hii habari inaonesha mkanganyiko mkubwa ndani ya hiyo familia. Mwandishi kajitahidi sana kulionesha hili wazi ili tupate picha ila inaonekana kila upande upo sahihi na pia una makosa yake. Mama na nduguze wapo sahihi kwa madai kwamba huyo binti alikua na mahusiano na kijana mwingine...
Back
Top Bottom