Search results

  1. Padri

    SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

    Mbona mna presha kiasi hiki?
  2. Padri

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Raia mwema wametoa takwimu kuwa Slaa anakubalika kwa asilimia 76 source yao Jamii Forums jee walimuhoji nani? kwa kigezo kipi?
  3. Padri

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    hUYU NDIO JOSEPHINE MUSHUMBUZI MKE WA PILI WA SLAA. AMEMPORA BWANA MAHIMBO.
  4. Padri

    Elections 2010 Kinana: Wapinzani hawana jipya

    Kinana ndio hofu yao.hawa watu wa chadema.
  5. Padri

    Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

    kaka MkamaP soma gazeti Huru la tarare 1-7 September jamaa hadi cheti chake cha ndoa kakiweka analia na wizi wa kuibiwa mke wake na SLAA. MWAKA 2007 ALIPATA MTOTO NA JOSEPHINE. CHETI CHA NDOA CHA JOSEPHINE NA MAHIMBO NI 0006875.
  6. Padri

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    Wanaweweseka na kinana achana nao ndugu yangu.hawa wana zaidi ya hili. Tizama kuna thread zaidi ya nne za kinana kwanini iwe leo? Kuna kubwa hapa bwana buguruni kwa mnyamani.
  7. Padri

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    BUGURUNI tatizo Kinana ni kampeni meneja na ndio roho ya CCM, SASA WAKISHAM DISTURB KINANA WANAAMINI NDIO WATASHINDA.WATASHINDA VIPI KWA MGOMBEA KUWA NA ELIMU YA DARASA LA SABA? MBOWE ANA MADENI HADI BREWERIES. SLAA KAIBA MKE WA MAHIMBO. HAWAAMINIKI HAWA.
  8. Padri

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    Issue kinana ni kampeni meneja hapo ndio Chadema waneumia na kuanza majungu hapa JF. DJ MBOWE KASAIDIWA SANA NA KINANA LEO ANATUMIA JF KUMSAHMBULIA KINANA.
  9. Padri

    Maaskofu wasusia mwaliko wa JK

    Mbeya ni kama Nigeria kila kona kuna kanisa.hawa wanaojiita maaskofu ni waimba kwaya.maaskofu wanajulikana vizuri.wataje majina yao tuwajue.ni kundi la Mr.Sugu Hili.
  10. Padri

    Elections 2010 Kinana: Wapinzani hawana jipya

    Hao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.
  11. Padri

    Elections 2010 Sala Kwa Taifa

    Mgombea urais wa chadema amepewa milioni 520 ili agombee urais kupitia chadema. Acha shilingi milioni 12 kila mwezi huyu ndio anasema mtetezi wa wanyonge bwana slaa
  12. Padri

    Elections 2010 Kinana aomba wasilaumiwe sana - "Tusiwachanganye wananchi"

    Wameshindwa kuelewa kuwa wao wanatakiwa kutangaza sera zao.HATA mbatia alimsihi mgombea wake kuzungumzia sera za chama chake.
  13. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    katika kuondoa dhana ya UDINI kwenye chama cha Chadema mgombea mwenza wa Chadema alivyalishwa Kanzu ili kuonekana ni chama cha wote.cha kujiuliza ni kuwa siku ya Slaa anatangaza nia ya kugombea watu wote walitokea.isipokuwa wabunge wa Kiislam walisusa baada ya kuona kuwa ni mpango wa...
  14. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Ndugu yangu wasomi ni muhimu kwenye dunia ya leo.wewe mfuasi wa Chadema unatukana kwa vile Mgombea wako hana elimu ya kutosha.Kunitukana haisaidii kwani Mgombea wako bado ni darasa la saba tu.matusi yako hayampi vyeti. ndio maana Chadema wameshindwa kuzungumzia sera ya Elimu jana kutokana na...
  15. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Walisema jana kuwa Mgombea wao hana hajawahi kufanya kazi sehemu yeyote na hana elimu lakini kisiwe kigezo cha kutokumchagua then ndio wakatoa mifano ya viongozi kama Mzee Kawawa.unaweza kucheki Video zao za jana au wasiliana nao upate mkanda wa video wa jana.sasa hata kama mgombea mwenza wenu...
  16. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Mheshimiwa nimebahatika kuhudhuria mikutano ya vyama vya CUF,CCM na Chadema vyama viwili vya mwanzo vinaeleza Dira na sera zao kwa wananchi kuwa mkituamini tutafanya hiki na kile karibuni kwenye kila eneo.Chadema aliingia Marando akasema watashughulikia Mafisadi,Mbowe akazungumzia Mafisadi na...
  17. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Katika uzinduzi wa kampeni za chadema jana nilishangazwa na tukio la mgombea urais wa chadema kusahau kuzungumzia uchumi wa taifa. Ambapo ndio kitu muhimu sana. Yeye alijikita na habari za ruge na house of talent, badala ya kujadili issue za kitaifa. Wao ugomvi wa watu wawili wameufanya ndio...
  18. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Dada regina Elimu haina mbadala.Tizama Video ya Mkutano wa jana.Jangwani kukiri kwa Slaa na Mbowe kuwa elimu haina maana yeyote ni kuonesha kuwa Chadema hawako serious kwenye elimu.karne hii Graduate wako wengi sana kule Zanzibar kuna Digrii Nyingi tu.jiulize Dr.Bilal Gharib amefanya kazi...
  19. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    Chadema wamesema kuwa wao ni chama makini wanafanya tafiti.Dr Shein ana Phd lazima alifanya utafiti kwenye PhD yake. Mgombea wako kakiri kuwa hana elimu wala uzoefu.
  20. Padri

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    wamekiri kuwa mgombea wao hana elimu wala uzoefu wa kazi.Excuse walioitoa kuwa ni Hata Abdulwakili naye alikuwa hana elimu.lakini wameshindwa kusema uzoefu wa hao wazee.
Back
Top Bottom