Search results

  1. Naloli

    My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

    Mbele ya jamii Mh. Lusinde mbunge wa mtera anaonekana hamnazo lakini jimboni Mtera aliliangusha Tinga Tinga Malecela, kweli mzee Tingatinga namheshimu sana na nilikuwa najiuliza ilikuaje akaangukia pua, sasa nimepata jibu kama Le mutuz ni miongoni mwa team Tingatinga na pamoja na exposure...
  2. Naloli

    Car Clearing Costs

    Embu ingia ktk website hii utapata kila kitu www.gariyangu.com siku njema
  3. Naloli

    Hamad Rashid: Hakuna haja ya Serikali tatu

    Hivi ukitaka serikali 3 ni lazima uwe CDM, kama ni hivyo CDM inatuwakilisha watanganyika wengi sana tuliochoka kero,malalamiko na masimango ya Wazanzibar, tunao wabeba lkn hawabebeki.
  4. Naloli

    Slaa na Mbowe wampinga Chenge kuwa spika bunge la katiba, Je huu ni msimamo wa CHADEMA?

    Si kwamba ukiwa mwenyekiti wa bunge la katiba wewe ndie muamuzi kama refarii ktk mchezo wa soka. unaweza ukawa mwenyekiti wa bunge na ukawa muumini wa serikali 2 lakini bado katiba ambayo ikapitishwa na bunge lako ikawa ya serikali 3 maana uamuzi utakuwa unatokana na kura tena za siri sio kama...
  5. Naloli

    Yanga wamemnunua wapi Okwi?

    kama manji na Kleb wanaivuruga Yanga, RAGE anaifanya nini Simba. Mbona Okwi anawasumbua akili hivyo hadi mnapoteza busara kabisa? Hivi wewe ni mfanyakazi au kibarua? Hupo dunia gani ndugu yangu? kweli ktk dunia hii unashangaa mkataba wa kazi kuvunjwa sababu muajiriwa hajalipwa miezi sita...
  6. Naloli

    Wadau ni point tatu za kwanza yanga kupoteza, tuendelee mbele.

    Njoo Taifa jumamosi uone nini kitawafika hao wa misri. Tunachojua cc jmosi tunashinda iwe 1-0 au 7-0 hatujali cha msingi ushindi tu
  7. Naloli

    Al-ahaly waliwahi kufungwa goli tano, mechi ya marudiano wakashinda goli 6

    Ni kweli tuongee facts na uhalisia kama vile Jkt Ruvu kuifunga simba ni facts (lakini ni fact ambayo haikutarajiwa) Hivyo mpira ni dakika 90.
  8. Naloli

    Hali ni tete Arusha,zaidi ya watu 5000 hawana makazi baada ya kufukuzwa kwa nguvu na jiji

    Wewe unashabikia au unafurahia wa Tz. Wenzako kufukuzwa kinguvu ktk makazi waliyokuwa wakiishi. Yaani kosa lao ni kuchagua Cdm au? Siasa za Afrika kazi kweli kweli
  9. Naloli

    "SIMBA KUBADILISHA JINA NA KUWA "Dar es salaam United Fc"

    Sisi mtani wetu ni (Sunderland) Simba (a.k.a lunyasi) sasa mkibadili jina mtapoteza na kuwachanganya washabiki wenu wa vijijini hadi wajue mmebadili jina miaka itapita hivyo kipindi hicho kutakuwa na washabiki wa Simba ( timu ambayo haipo) na Dar United (jina lisilo na mvuto) Kifupi hiyo ni...
  10. Naloli

    Wadau ni point tatu za kwanza yanga kupoteza, tuendelee mbele.

    Sisi tumemchezesha ili tuzipoteze hizo point 3, sasa nashangaa Mtani kuwa na huruma ya cc kupoteza point tatu wakati zitakuinua kutoka kichochoroni (nafasi ya 4). Na tunamchezesha tena tukicheza na waarabu Al Alhly, hivyo waambieni ili wakate rufaa. Na tukucheza na nyie pia atacheza tena, ili...
  11. Naloli

    Kilimanjaro express na wizi wa mali za abiria

    Mimi ndio bus ninazo safiri nazo pia ni kweli usemacho,gari ikifika highway hotel kwa ajili ya abiria kupata chakula wale wadada wahudumu ktk basi ututangazia kutoacha mizigo ya thamani inayobebeka kama camera,laptop , simu nk. Labda mwenzetu hakuzingatia hiyo tahadhari iliyotolewa. Au mhudumu...
  12. Naloli

    Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Wewe kweli T2015 CCM maana unachangia bila ya kutambua maudhui ya MADA. Ungemfahamu Nyaronyo Kichere ni nani usingeandika ulichoandika
  13. Naloli

    Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

    Wewe ndoa yako hiyo inatatizo,wallah nakuambia utakuwa unasaidiwa miezi mitatu goli (kaseja) moja mkubwa fumbua macho unasaidiwa,Na wewe mwenyewe unatatizo la nguvu za kiume kwa mwanaume rijali hawezi kukaa miezi mitatu bila tendo akiwa physically fit tena ana mke ndani
  14. Naloli

    Mdahalo wa wazi kati ya Dr. Slaa Vs Dr. Kitila mkumbo

    Duuuh Nape nae wa kukimbiwa na Slaa? Tuache ushabiki, huu ushabiki wa Uccm na Uchadema ndio unaoliporomosha hili jukwaa
  15. Naloli

    Nimekuta girlfriend wangu kajipiga picha za utupu

    Nitumie ili nimthaminishe kama kiwango au msindikizaji
  16. Naloli

    FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

    Acha hasira mlisema OKwi hatocheza Yanga idhini imetoka mnasema tumemfanya MUNGU mtu aaaaaah mtani
  17. Naloli

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Hata cc mateja na wavuta bangi tunaheshimu taratibu, kanuni na sheria tunazojiwekea gheto na maskani na akijitokeza mnafiki/msaliti adhabu atakayopata ni kali na ikiwezekana kifo kabisa
  18. Naloli

    Katiba Mpya: Nitakuwa Tayari Kupokea Maoni Yako Kuanzia Leo!

    Mheshimiwa tunahitaji Serikali 3.
  19. Naloli

    Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

    Kawatukana au kawaambia ukweli? Hivi unahitaji hadi uwe na roho mtakatifu ili ujue Lowasa anatoa hela chafu kama misaada na lengo lake ni kujijenga kisiasa ili aje kugombea urais? Cc wote ni binadamu kuwa kiongozi wa dini haina maana kuwa wewe ni malaika au mtakatifu sana kiasi uwe untouchable...
  20. Naloli

    Vurugu za kisiasa Ubagwe: CCM ndiyo walioratibu vurugu kuichafua taswira ya CHADEMA

    Mandela kanyea kwenye mtondoo miaka 27 mwisho wa siku kawa shujaa wa Dunia. Suala la mtu kumtengenezea kesi mwenzake na kumuweka ndani ili tu yeye afanikisha malengo yake ya kisiasa ni siasa uchwara na ktk dunia ya kistaarabu hazikubaliki. Haki itendeke kama mtu anaanzisha vurugu achukuliwe...
Back
Top Bottom