Mimi Nina niche ya mitiki zaidi ya elfu moja niliyoiweka kwenye viliba, Niko Ruvuma ; kwakuwa unaenda kupanda mbali nitakuuzia shilingi mia mbili kwa kila mche kutoka mia tano kwa kila mche ili fedha nyingine uitumie kama nauli 0758137067
Kipaumbele cha serikali ni viwanja vya ndege,reli,Barbara na bombadie, kama Ethiopia, sio elimu. Tutajuta kwa miaka 14 maana nasikia wanataka kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Pia hali hii imesaidia kuwafanya waalimu wengi kujitambua na kutoipenda ccm
Kipaumbele cha serikali ni viwanja vya ndege,reli,Barbara na bombadie, kama Ethiopia, sio elimu. Tutajuta kwa miaka 14 maana nasikia wanataka kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Pia hali hii imesaidia kuwafanya waalimu wengi kujitambua na kutoipenda ccm
Zitto umegundua lini kuwa adui yenu ni ccm, siku zote ulikuwa wapi? Ni muhimu upinzani kuungana ila ni mapema sana kukuamini Zitto.
Fanya kwanza vitu vitakavyo tufanya tukuamini, umeongelea uchumi lakini bado haitoshi kukuamini tatizo usaliti wako.
Mapema Mh. Rais alipoanza kazi aliwavutia watanzania wengi pamoja na mimi kwa hotuba zake zenye kuonesha ana nia ya kweli ya kuwasaidia watz wanyonge.
Kwasababu nina desturi ya kutoamini maneno ila ninaamini katika historia na matendo ya mtu, nilichelea kumsifia niliona nisubiri nione angalau...
Ameongea hayo leo juma mosi akiwa Zanzibar kwenye maazimisho ya siku ya vijana/kumbukumbu ya kifo cha mwal. J.K.Nyerere na kuuzima mwenge wa uhuru.
Ambapo ameahidi kurekebisha mishahara ya watumishi zaidi ya elfu hamsini.
Watumishi wamepata matumaini japo kuwa wengi wao wanashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.