Search results

  1. M

    Kati ya Mzumbe na CBE, Chuo gani kizuri kwa Shahada ya Uzamili katika Masoko?

    Wadau mambo vipi? Mdogo wangu anataka kusoma Shahada ya Uzamili katika Masoko (Masters in Marketing). Je, achague chuo gani kati ya hivyo viwili chenye quality education?
  2. M

    Wadau kwema humu!

    Ebana kwa anayejua...hivi siku hizi kuna intake za moja kwa moja kwenda jeshin(jwtz) bila kupitia jkt?
  3. M

    Msaada: Kuhusu mashine za Digital combo heat press

    Habari za pilika wadau wa jf!..nahitaji msaada wenu..kama kuna mtu anauzoefu na hizi machine za new digital combo heat press machine anisaidie,anaweza nicheki pm nikamweleza tatizo liko wapi then kama atakua expert kwenye hizi machine tunaweza fanya joint venture tukapiga kazi pamoja. Ni hayo tu.
  4. M

    Wadau mnajua hawa godtec (T)LTD

    Wanajamvi kwema humu ndani??.. Naulizia kama kuna mtu ambaye anawajua hawa godtec kiundani hasa anisaidie..manake nimeudhuria usaili wao ninamashaka nao sana kwa kile wanachokusudia kukitoa kwenye huduma zao.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kwema humu ndugu zangu wasaka ajira!.

    Wakuuu naulizia kuna mtu yoyote anataarifa kuhusu matokea ya interview iliofanyika tujijenge microfinance..
  6. M

    Wanajamvi naomba kwa yeyote mwenye kuelewa kuhusiana na course zinazotolewa na OSHA anieleweshe

    Wadau humu ndani kwema???. Ndugu zanguni naomba kwa yeyote mwenye kuelewa kuhusiana na course zinazotolewa na OSHA,nimesikia kwamba kuna course ya miezi mitatu ya hizi issue zao za safety hii ikoje na inatolewaje kwa vigezo vp?..Mtu aliyenipa taarifa hizi hana details za kutosha Na vp...
  7. M

    Naomba kujua nauli ya ndege kutoka Tanzania mpaka Uholanzi

    Ndugu zangu naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu nauli ya ndege kati ya Tanzania na uholanzi ni shillingi ngapi,yani namanisha kwenda tu sio nakurudi.Nimepewa assigment hiyo sasa cna wa kumuuliza imebidi nilete humu mnisaidie.
  8. M

    Wenye kujua habari hizi jamani tufahamisheni

    Wanajamvi wenzangu kwema?, nataka kujua kuhusiana na huu ufuko wa nssf hivi ni kweli hata kama mtu ukipata termination ulipoajiliwa bado unatakiwa ungoje miaka 55 Ndo upate mafao yako au taratibu zikoje?, mwenye kujua naomba msaada wenu.
  9. M

    Naomba kufahamishwa!

    Jamani siyo mbaya kujua hizi salary scale manake kuna mdau katoa clarification nzuri sana lakini kasahau kutufahamisha hii PGSS ndo inaanzia shilling ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Wandugu nisaidieni jinsi ya kufanya attachment recruitment portal

    Habari za mihangaiko ndugu zanguni!, kuna kitu naomba msaada unajua kuna vacancy zilitoka tarehe 24 zinahitaj vyeti lakini hawajaongelea kuhusu kuhusu kuvicertify kwahiyo nilituma maombi kwa kufanya attachement upya ya vyeti ambavyo havijacertified.Sasa tatizo langu ni kwamba vile vyeti...
  11. M

    Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

    Habari zenu wadau! Kuna tatizo moja naombeni mnisaidie mwenzenu kuna tangazo la kazi la utumishi la tarehe 24 ambalo limeelekeza maombi yote yafanyike kwa njia ya kielekitroniki kama kawaida ila sasa napata wakati mgumu kihusu hii angalizo lao wanalosema MUHIMU:je baada ya kutuma maombi kwa njia...
  12. M

    Kuna tetesi zozote kuhusu hili suala la utata wa vyeti?

    Ndugu zangu wana jf hivi kuna mtu anajua hili suala la utata wa vyeti litakwisha lini,tunakufa na njaa mwezi wa pili mshahara hakuna, hakuna maelezo yoyote ya msingi ukiuliza unaambiwa subiri.tupeane updates kwa anayejua.
  13. M

    Hodi! Hodi!

    Habari zenu wanajukwaa kwa mda mrefu nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali ya humu nimevutiwa naomba mnipokee wakuuu.
Back
Top Bottom