Search results

  1. F

    Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    Washabiki wa JK na muambata wake Balali ooh sorry Bilali ni lazima mtoke kwenye utumwa wa kimawazo na kiakili, miaka mitano tumeishuhudia wote jinsi watu walivyopigika na mafisadi walivyo shine. Leo kama matahaira mnaambiwa mtaletewa maendeleo kwa hari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi...
  2. F

    Elections 2010 JK anaumwa ahadism?

    Tatizo sio mgombea kutoa ahadi, kuzitoa ni wajibu wake lakini anauwezo wa kuzitekeleza? au ndio mambo ya PROF J katika "Ndio mzee"
  3. F

    Elections 2010 CCM wameshashinda uchaguzi huu

    Hivi awa TAKUKURU hawajaweka pingamizi kwa wagombea viti maalum CCM DC machangu na Mama 6 WALIOGOMBEA NAO TABORA NA kmanjaro
  4. F

    Elections 2010 CCM wameshashinda uchaguzi huu

    unamaanisha kuwa CCM itwashinda wapinzani kwa zaidi ya 38% au?
  5. F

    Hodi

    Salaam wana JF tupo pamoja
Back
Top Bottom