Search results

  1. C

    Hii ni Mogadishu, Somalia

    natamani kufika somaliland, na nipate mke wa kisomaliland
  2. C

    Kikwete anapousifu ukoloni

    umwinyi, utwana na ubwana ni homa ya watu wa pwani, ( sasa namkubali Mugabe)
  3. C

    Wanawake kuuza magazeti

    ni huyu apa
  4. C

    Wanawake kuuza magazeti

    Mara nyingi tumezoea kuona kuna baadhi ya kazi huwa zinafanywa na wanaume pekee, kama vile umachinga, kupiga debe, kubeba zege, kuwa kondakta au hata ufundi magari, lakini siku hizi si kitu cha ajabu tena kukuta wanawake wakifanya kazi hizi kama vile mimi nilivyokutana na dada huyu akitembeza...
  5. C

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    jamani mfikishieni mh pinda hii taarifa ili akaifute ile kauli yake ya ( wapigwe tu ) yeye ndio chanzo cha mauaji ya maaskari wetu dhidi ya kauli ile ilyotengeneza uadui kati ya raia na askari, (RIP askari)
  6. C

    Leo nimebaguliwa na Wahindi

    baadhi ya wahindi huwa wana mafua yasiyoisha, labda walishika pua ili kizua wasiwaambukize nyie,
  7. C

    Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    ndiyo ni kweli yeye sio mungu mtu lkn wabongo pia hawana umoja, hapa isue ilikuwa ni ndogo sana ni kumtumia ujumbe kuwa ikifika tarehe fulani km hatoachana na manyanyaso, basi kwa pamoja munaweka funguo chini. muone kama yeye angeweza kubeba wageni wote mwenyewe na awapeleke porini, tatizo kubwa...
  8. C

    Jinsi ya kumzunguka Dalali

    mchango wako nimeukubali lkn kiukweli kwa upande wangu mi siwapendi kbs hawa madalali ata kama wana mchango mkubwa ktk maendeleo na shughuli za kla cku za binadamu (kama ulivyonena) lkn kumbuka pia kuwa sometime wao ndio waangamizaji wa maendeleo ya mtu mungine, kwa mfano mdogo tu, umeuziwa...
  9. C

    Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

    ivi kuna shule bado azijafunguliwa?
  10. C

    Anapenda kunyonya nimeweka plasta analia akiiona

    naona mapenzi ya mama kwa mtoto yanahama au yanarudi tena kwa baba
  11. C

    Swali kwa Watanzania

    napi pia ckumpgia huyu jamaa, nilimpigia yule aliekuwa chaguo la wengi ila akachakachuliwa kura. so zambi za urushi ndio zinamtesa huyu mt-mbezi wa nchi za nje
  12. C

    Tanzania haitopata rais kama Kikwete

    mimi nilichomkubali JK ni kwamba yeye ameridhia na kuelewa kwamba ata wapinzani wanaweza kuiongoza inchi na maisha yakaendelea km kawa, tofauti na mawaziri wake wenye mawazo mtindi ambao wanadhani kuwa wao ndio walizaliwa kuwa viongozi tu, ( shame on U ssm )
  13. C

    Nini kifuatacho kesho jijini Arusha

    ebwana mkono uliteleza kidogo sikuwa na maana ya kulitamka hilo neno (Im sorry)
  14. C

    Nini kifuatacho kesho jijini Arusha

    Kufuatia mgomo wa daladala hapa jijini Arusha nahisi mambo kadhaa yanaweza kujitokeza iwapo madereva na wamiliki wa magari haya wataendelea na msimamo wao hadi kufika kesho, inawezekana ikatokea fujo kati ya wagomaji kwenda kwa yale magari mengine ambayo yalijitolea kutoa huduma hiyo kwa vile...
  15. C

    CHADEMA Sombetini Arusha washiriki mazishi ya Edward Mgogo

    pamoja na wema muliouonyesha ktk safari ya mwisho ya mzee Edward mgogo, lakini enzi za uhai wake jamii iliyomzunguka mlimtenga mzee huyu hadi kufikia kuwa anakula jalalani na kwenye mapipa ya takataka. ( r i p mzee mgogo)
  16. C

    Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

    habari za mke wa mtu we zinakusu nini?
  17. C

    Mabango ya kuzima simu kwenye nyumba za Ibada

    kama uwezi kuzima simu ibadani bac mwachie simu kijakazi wako nje ya ibada akuwakilushe ila mimi sidhani kuwa hiyo smartphone yako ina thamani kuliko neno la mungu, ndugu yangu vitu vingine wala haviitaji shule kustaarabika, na yale mabango yanawakumbusha watu wastaarabu ambao wamejisahau...
Back
Top Bottom