Search results

  1. IrDA

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Serikali inabidi iingilie kati aisee.Kuna dada pale Korogwe alivalia sketi ndefu hadi chini ila zile zenye mpira kiunoni.Bahati mbaya kwenye ngijangija mtu akaikanyaga,kapiga yowe wapi.Mpaka vuruga inaisha ile sketi iko chini dada wa watu kabakinna nguo ya ndani tuu.Ile fedheha tukamwacha...
  2. IrDA

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Mwendokasi ni kisanga.Kuna mama pale Kimara Korogwe alivunjwa mguu.Alisukumwa mguu mmoja ukaingia pale kwenye kiuwazi kati ya mlango na pa kupandia.Hadi leo anatembelea magongo
  3. IrDA

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwakweli Vodacom wananipa value for money
  4. IrDA

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nenda kwenye settings kablock users, mbona rahisi sana. Ukiblock wawili watatu wataacha kupeana password
  5. IrDA

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mcheck huyu jamaa 0742772122 atakupa utaratibu wote.Router wanakupa bure ukishalipia hela ya miezi miwili.
  6. IrDA

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wanakupa bure, ukishalipia watakupigia wakuletee popte ulipo. Honestly ni huduma nzuri value for money
  7. IrDA

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Aisee nimelipia Vodacom unlimited ya 120k kwa mwezi, wanakupa router ya 5G ambayo unaweza kuibeba kwenda nayo popote.Na inaconnect hadi 20+ people.Nashauri kwa anayeafford achukue hii hatojutia
  8. IrDA

    Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

    Ukisikia "Zombie sikutaji humu" au "we zombie" ujue mambo yashanoga
  9. IrDA

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop anisaidie kujua strength na weakness zake

    Nna skyworth mwaka wa 4 huu, iko poa sana. Hisense nayo ni brand nzuri, natumia washing machine yake, na kuna mdau ana TV ya hisense anaisifia sana. Achana na Allitop
  10. IrDA

    Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St. Francis ?

    MD ni MD ile ile, cha muhimu comittment yako.Nimefanya internship na MDs kutoka hivyo vyuo vyote na hamna significant diffirence mbali na ile ya attitude na uelewa wa mtu binafsi. Japo Mazingira ya KCMC ni the best kwa kujifunza ukilinganisha na hao wengine
  11. IrDA

    Ushauri: Nimekosa Kazi nahitaji kurudi shule

    Kasome physio, utanishukuru baadae. Its an emerging field
  12. IrDA

    Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

    Mgonjwa anapata athari mbaya ya dawa ambazo hazijatanabaishwa kwenye leaflet ya dawa hiyo, Ni hatua gani ungechukua kuchunguza na kusimamia hali hii ipasavyo?
  13. IrDA

    Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

    PCB ni noma.Mi nilisoma PCB nikiwa dayscholar, nilikuwa naenda shule sa 10 usiku natoka sa 6 usiku kila siku, ule mwaka wa mwisho wa form 6. Hadi watu wakaanza kuniita Dusk-Dawn[emoji28]
  14. IrDA

    Clinical Medicine / Clinical Officer.

    Fata huu ushauri, ndo sahihi kabisa Optometry, Radiology, Physiotherapy au hata Diploma ya Dental; clinical medicine currently haina deal, kwa private sehemu ambapo zamani alikuwa anaajiriwa CO sasahivi kuna MD wamejaa
  15. IrDA

    Kama Gari lilishawahi kukuaibisha, Pita hata utupe experience yako

    Mwaka 2012 nimeiba gari home nimeenda kumchukua manzi yangu sehemu.Nikadrive kwa mikogo hadi sehemu flani nje ya mji, nikapark tukawa tunapiga story kwenye gari mara tupigane vibusu-busu tushikane hapa na pale. Huku gari nimeweka switch-on nimewasha redio tunasikiliza miziki romantic hivi. Mara...
  16. IrDA

    JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

    Hakuna mashindano hapa.Hata dolby wenyewe watengenezaji nguli wa speakers wameelezea kwa kurelate channels na number of speakers ili mtu aelewe kwanza.So katika lugha rahisi aliyeEquate channels na speakers hajakosea
  17. IrDA

    JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

    Punguza ujuaji. Hakuna mashindano hapa.
  18. IrDA

    JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

    Safi sana mkuu.Umeelezea vyema hadi mimi wa Tandahimba ndanindani nikupata
Back
Top Bottom