Search results

  1. mogulnoise

    Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    Ni kweli kauli mbiu ya Kazi na Bata imekuwa mwiba wa koo kwa CCM Lumumba kuna waka Moto barua za kuwaita wale Wazee zimekwama, Makamba kasema amechoka wamwite Mzee wa Kazi na Bata hashikiki huku comred akiwa anapiga jalamba msituni Hakika Bashiru na yule mnunua binadamu viti havikaliki...
  2. mogulnoise

    Ni wakati muafaka sasa Rais Magufuli atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yake

    Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako. Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo Nawasilisha
  3. mogulnoise

    Escrow, EPA na Meremeta na kushikiliwa kwa ndege yetu south

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, wale wangunishaji dot tumeshajua ile janja ya nyani Haswa panapokaribia uchaguzi lazima wanaodai serekali walipwe madeni yao Uchaguzi ule meremeta wakalipwa uchaguzi ule tena EPA wakalipwa uchaguzi ule IPTL kalipwa sasa uchaguzi huu tumlipe huyu mkulima...
  4. mogulnoise

    DSTV waliniambia niwape elfu 30,000/= ili wanipe kingine au ninunue kipya kwa 50,000/=

    Wasalamu !! Nisipoteze muda ningie direct juu ya hii kampuni ya DstV hapa nchini mbali na madudu kibao wanayotufanyia wateja wao hili sasa ni la kitapeli. Nilinunua king'amuzi chao hivi vipya nikapewa warranty ya mwaka mmoja Kabla ya mwaka kuisha kimeharibika nilipowarudishia wakaanza...
  5. mogulnoise

    Ndoto hii imenichanganya sana

    Wasalaam na poleni kwa msiba mzito wa taifa,Yes ni wa kitaifa sababu kila mtanzania mwenye siha njema ya akili huu ni msiba mzito. Nianze na kusimulia ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo kwanza nikiri kabisa lugha ninazozitambua hata kwa kiwango kidogo ni Kiswahili kwa ufasihi, Kifaransa na...
  6. mogulnoise

    Tazama ufalme wake umefitinika

    Neno lililomjia nabii Mogul enzi za mfalme jiwe. Hata ifikapo mwisho wa juma Mfalme huketi na kutafakari juu ya watenda kazi wake kama ilivyo desturi yake. Tazama hata siku ya pili yule mkuu wa watoza ushuru alipanda hadi ng'ambo ya bahari kushuhudia kama vitu vya mwanamfalme vipo na...
  7. mogulnoise

    Huyu Cartoonist wa Mwanachi Sijui kala maharage ya wapi

    Kama ambavyo picha inajieleza hapo chini Ukizingatia huu msemo Picha inajieleza mara elfu ya maneno embu tupia neno na wewe hapo
  8. mogulnoise

    Heri ya mwaka mpya Tundu Lissu 2018

    Mh Tundu A Lisu nakutakia Heri ya Mwaka Mpya 2018 Mungu amekupigania watanzania tunakuombea Hakuna mtanzania asiyejua kazi kubwa na iliyotukuka uliyofanya katika ujenzi na ustawi wa Taifa letu Naamini wapo mamilioni ya watanzania wataungana na mimi kukutakia afya njema na maisha marefu...
  9. mogulnoise

    Nataka kumjua huyu radhi ni nani

    Wadau sitaki niwachoshe nataka numjue huyu radhi coz nina hasira hasa leo baada ya kukosa nishati ya umeme nikiuliza eti Tanesco wameomba radhi huyu radhi ni nani timu ikifungwa inaomba radhi ccm wakiaribu wanamuomba uyo uyo radhi So wadau radhi ni nani usikute kuna wapumbuvu wanamsingizia...
  10. mogulnoise

    Kwa wenye taarifa ya vifo vya waandishi habari wanijuze

    Imepita miezi kadhaa sasa tangu mtumishi wa Mungu Lusekelo a.k.a mzee wa upako atamke kuwa waandishi wote wa habari waliomuandika vibaya watakufa alihakikisha lazima wafe akaenda mbali zaidi na kusema. "Kama wasipokufa atarudi kwao kuanzisha biashara ya kuuza gongo" Binafsi ni juzi nilimsikia...
  11. mogulnoise

    Ni kweli Tanzania kuna hali ngumu ya kifedha?

    Kama title inavyosomeka wadau nisipoteze muda nijikite moja kwa moja kwenye swali na ukizingatia nimerudi nchini tu hivi punde. Swali: Nasikia watu wakilalamika hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa hapa nchini je ni kweli? Natarajia majibu mujarabu haswa ukizingatia mwezi wa ramadhani huu...
  12. mogulnoise

    Ni lini Rais atawaalika jopo la maskini

    Nimekuwa nikisikia viongozi wa juu haswa Rais JPM akijipambanua kila siku yuko kwa ajili ya watu masikini na wanyonge Hili la wanyonge silisemei coz ni dhahiri huwezi kuwa mbabe then uwe mtetezi wa wanyonge Tatizo lipo kwenye masikini coz naona wafadhili wanaoalikwa wanakuja na jopo la...
  13. mogulnoise

    Mzee wa Upako adai yeye ndiye anazuia mvua Dar

    Jana katika Ibada mchungaji Antoni Lusekelo aka mzee wa upako amedai kuwa mvua Dar haitanyesha hadi ujenzi wa barabara inayojengwa kuelekea kanisani kwake ikamilike Aliongeza akitamba kwamba yeye ana Mungu japo watu wanamzushia maneno Nashauri mamlaka ya hali ya hewa imtumie huyu jamaa labda...
  14. mogulnoise

    Dakika za mtoa Roho

    Awali ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya 2017 kwa wale watakaopata neema hiyo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni aghalabu sana kusikia kesho katika vyombo vya habari kwamba katika mkesha wa mwaka mpya watu kadhaa wamepoteza maisha yao ila utasikia katika mkesha wa mwaka mpya watoto...
  15. mogulnoise

    Nini kimewapata Watanzania?

    Nimefanya utafiti mdogo kwenye mitandao miwili ya Kijamii wa kwanza ni JF na wa pili ni Instagram. Nilichokiona ni post nyingi karibu ya asilimia 85% ya post zote zinalaumu aidha direct au in derect Rais Magufuli. Kweli hali hii imenishangaza huyu Rais ambaye alipoanza post nyingi zilikuwa za...
  16. mogulnoise

    Dhambi Kubwa ni ipi?

    Nisiwachoshe wana jamvi nataka naingie direct kuelezea nini kilichomsibu Adam na Hawa kule Eden hii ni kwa majibu wa kitabu cha biblia Tunajua kuwa nyoka alichofanya ni udanganyifu na Mungu alichukizwa na uongo wa shetani pia na kitendo cha Hawa na Adam kudanganyika Kufupisha maneno zambi...
  17. mogulnoise

    Kagame mshahuri rais Magufuli aongeze muda wa kutawala

    Kwanza nimpongeze Rais JPM kwa kubainisha kuwa anashahurika na moja wa washauri wake ni Kagame Hii imezunja Ile minong'ono kuwa Rais JPM hashauriki Hivyo basi naomba Kagame umshahuri Rais JPM JUU YA KUONGEZEA MUDA WA KUTAWALA coz hii miaka 10 ya kikatiba haiwezi kuleta mabadiliko ambayo Rais...
Back
Top Bottom