Search results

  1. Clearing

    Wadada/binti/mama

    wababa ruksa jamani kuchangia, wala msijali hata maoni yenu ni muhimu
  2. Clearing

    Msaada kwa mwanamke huyu? Kaz au mwanaume

    Mwambie aone analoona yeye sawa maana vitu vingine hata sio vya kumshauri mtu, kwani yeye anaona kipi bora, kazi au bwana? atakachoona bora afuate hicho hicho
  3. Clearing

    Sitasahau!!!

    susy stori yako inatia huzuni sana binadamu sisi ni wabaya sana nashindwa hata cha kuongeza.
  4. Clearing

    Naomba ushauri

    Tena ana roho ya ajabu mimi asingepata nafasi ya kuzungumza na mimi tungekutana huko huko mahakamani natamani kama iyo kesi ingekua yangu yaani dada umewatunza watoto muda wote peke yako na bado unao uwezo unaanza kutishwa na hiyo CRAP ngoja niishie hapa
  5. Clearing

    Naomba ushauri

    Chukua ushauri huo wa riwa dada, ni kweli mahakama inaangalia kipindi chote hicho alikua anawatunza? sasa kama alishindwa kuwatunza kipindi hicho sasa ndio ataweza? na lazima atoe sababu za msingi zilizomfanya asitunze watoto wake kwa kipindi chote hicho. Na pia ongea na wanao tena uwafundishe...
  6. Clearing

    Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

    Pole yako we unataka mke unataka uzuri utajashangaa ndoa sio lelemama ati, shauri yako
  7. Clearing

    Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

    Wazazi tuna kazi ya ziada, mungu aingilie kati tu
  8. Clearing

    Wanaume sio ATM!!!

    Vipi nije na marafiki zangu wawili jmosi ee
  9. Clearing

    Wanaume sio ATM!!!

    Dearest uko hai lol nilisahau kumbe hauko kule yalipolipuka mwe! MZIMA LAKINI
  10. Clearing

    Wanaume sio ATM!!!

    Hahahahaaaaaaa mwe jamani lol! we avanti umenichekesha mbele ya mkoloni kha nashukuru kwa kunianzishia siku vyema
  11. Clearing

    Wanaume sio ATM!!!

    Dah usninyo hii kali jamani, mbaba bila hata aibu lol, dunia yaelekea ukingoni sasa
  12. Clearing

    Kagoma kutoa mtoto aliyekubali kuzalishwa....

    Huoni huyo dada anamtumia mtoto kumkomoa huyo baba kitu ambacho si kizuri?
  13. Clearing

    Dear Babu Asprin...

    umeona eeeeeeeeeeee babu, halafu leo unatakiwa unywe kwa staili hii MJ1 usisahau kuja na pampas mtoto hatakiwi kunyanyuka kabisa leo . Ni mwendo wa kitoto toto tu sasa babu ole wako uamke kucheza kiduku
  14. Clearing

    Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

    Watu huwa hawalazimishi kubeba mimba mwingine mnaoana kwa ndoa then mnaachana kwa hiyo mama apo anakua mbwa?
  15. Clearing

    Dear Babu Asprin...

    Hebu niambieni venue niko hapa naandaa ndafu ya hii kitu tugeza wizi walokole na answali sun mtanisamehe ni leo tu sintorudia tena
  16. Clearing

    Kagoma kutoa mtoto aliyekubali kuzalishwa....

    Pole yake muathirika, huyo baba alikua anawaza nini kumwambia huyo dada kwamba tuzae mtoto halafu utupe tumlee mimi na mke wangu? kwanza kitendo cha huyo mdada kumkubalia tu ilikuwa inamaanisha kuna kitu anataka kutoka kwao so aliwawekea mtego maridhawa. Na huyo baba inaonyesha alikurupuka tu...
  17. Clearing

    Matamanio ya mwili

    Hujaelewa sio binti? ok hii ni sangwende vs tukunyema upo hapo
  18. Clearing

    Kuachwa na your/my first love -vs- umri

    Acheni kuchakachua thread ya watu jamani, mtoa mada njoo uwafabricate hawa wananikosesha amani tu mie
  19. Clearing

    Kuachwa na your/my first love -vs- umri

    aiiiiiiiiiiiii sa kwani nimemtukana mtu? mbona mna upendeleo humu? wengine ndio aturuhusiwi kuchangia
Back
Top Bottom