Search results

  1. SHERRIF ARPAIO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Poa mtani. Tumepitia hayo maumivu for 30 years na tunayajua. Cha msingi mumvumilie tu OGS, sooner or later ataleta neema hapo OT
  2. SHERRIF ARPAIO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hukuwepo 2006 enzi hizoooooooooo
  3. SHERRIF ARPAIO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata Liverpool baada ya 1990 alianza hivyo hivyo mzaha mzaha hadi miaka 30 ikapita. Poleni sana watani
  4. SHERRIF ARPAIO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kutesa kwa zamu. Zamu yenu imeshapita Subirini miaka 30 Nadhani wewe ni mgeni JF. Tumekuwa humu toka 2006 enzi wakati JF inaitwa Tanzatl.org
  5. SHERRIF ARPAIO

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Ndio matatizo ya millenials hao. Walistaafu akina Pele, Maradona, Zico, Socrates, Falcao, Platini, Donadoni, Van Basten, Gullit, Papin, Figo, Zidane, Okocha etc. na soka inaendelea
  6. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    jamaa ni finisher. harembi
  7. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    still wako vizuri sana
  8. SHERRIF ARPAIO

    Nimeacha kuishabikia Arsenal

    poleni sana
  9. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Blackburn Rovers
  10. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Timu inayonipa pressure EPL ni wale watoto wa Sheffield na Wolves. Hizi timu hazina majina lakini wanatandaza soka la kuaminika na wako vizuri mnooo
  11. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wachana na wazee wa magarasa hao David Luiz, Willian, na kuna tetesi wanamtaka Bakayoko na Kepa Wanataka kutuaminisha mabua ni matamu kuliko miwa
  12. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa kuwa FA ilibadilishwa jina, Liverpool hajabeba Emirates cup Liverpool hajabeba Carabao cup Aston Villa hajabeba UCL Nottingham Forest hajabeba UCL Uruguay hajabeba World Cup Real Madrid sio mshindi wa UCL mara 12
  13. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Arsenal = Utopolo ya London
  14. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wasubiri FA na Ngao
  15. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Uko sahihi kabisa Walitakiwa wapigwe dozi ya 5
  16. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kelele zenu ni kwenye makombe ya mbuzi tu Utopolo ya London Need we say more?
  17. SHERRIF ARPAIO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Utopolo ya ulaya kafa Anfield
  18. SHERRIF ARPAIO

    Nimeacha kuishabikia Arsenal

    Hongereni mabigwa wa Charity shield
  19. SHERRIF ARPAIO

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naona utabiri wako umetimia Jogoo keshachinjwa
Back
Top Bottom