Search results

  1. M

    Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Rais akitaka kuvunja baraza la mawaziri anaitisha mkutano? 😂😂😂😂😂😂😂
  2. M

    Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Hawezi kuvunja baraza
  3. M

    Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Nipo London wiki ya pili sasa, nitumie address yako tuonane
  4. M

    Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

    Tusubiri majibu ya uchunguzi
  5. M

    Tumejiandaaje na majanga ya dharura?

    Ni aibu sana kwa Taifa letu
  6. M

    Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Leo imepata ajali 😭😭😭😭😭😭
  7. M

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Kama Taifa tuendelee kujifunza kuandaa mazingira bora ya kukabiliana na majanga. Hii ajali kwa mataifa yaliyoendelea wangeokolewa abiria wote ila kwetu, Mungu asimamie.
  8. M

    Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Una certify copy au original
  9. M

    Maswali yangu kwa "wanautamu!"

    Hahahahaà papuchi tamu weweeeee
  10. M

    Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

    Serikali ni chombo chenye mamlaka nyingi inakuwa Kazi kujibu ndio au hapana.
  11. M

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Wadau bwana 😂 eti amekata moto,, mwacheni avute pumzi aje kuchafua kusini na kaskazini kisha amalize pwani
  12. M

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Haya mliyemhitaji amefika, sijui mtamfanya nini maana hata hana mvuto, watanzana walio wengi hawana habari nae
  13. M

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Leo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu. Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa...
  14. M

    Shikamoo Polisi, kwa hiyo siku anayokuja Tundu Lissu tusiende kupokea wageni wetu?

    Hatutaki mikusanyiko isiyo rasmi. Hatutaki maandamano, tutawanyoosha
  15. M

    Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Yawezekana na yeye ni mdau maana how can someone support something doesn't do/like?
  16. M

    Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Kumbe hata huko hana wafuasi wengi, ndo maana Mbowe amenchinjia baharini
Back
Top Bottom