Search results

  1. V

    Kwa nini baadhi ya magazeti yanatumika kupotosha wananchi????????????

    Nimekuwa msomaji wa magazeti mbalimbali nhini hasa yale yanayoandika habari za makala. nilichokuja kubaini ni kwamba baadhi ya magazeti hayo yaliibuka mwaka jana na yamekuwa yakipambwa na vichwa vya habari ambavyo vimekuwa vikiwashambulia wabunge flani wa CCM walioluwa wakipiga kelele bungeni...
  2. V

    Hi, am a new member!

    ni sisi wa kuipa siasa ya tz mwelekeo ndg yangu. :glasses-nerdy:
  3. V

    Hi, am a new member!

    i even thought that the hotel was demolished, so it was the fence. anyway the fence of the hotel is part of the hotel, so the hotel was demolished coz the fence gave the hotel its scenery. i agree with u that we should use this blog constructively.
  4. V

    Hi, am a new member!

    ni kweli twendeni tukapige kura ili tulete mabadiriko nchini. lakini bado nina wasiwasi kwani tunakwenda kupiga kura huku tukiwa hatuna tume huru ya uchaguzi. hawa mabosi wa tume ya uchaguzi wameteuliwa na mkuu wa nchi ambaye chama chake pia kiko kwenye kinyang'anyiro. je yale ya akina Kivuitu...
  5. V

    Hi, am a new member!

    karibu sana katika uwanja huu. tumia hekima yako ili ulijenge taifa lako la tanzania. nami ndo kwanza kinda katika busati hili ambalo limekuwa mstari wa mbele kupambanua issue kadhaa za kijamii, kisiasa n.k
  6. V

    Hi, am a new member!

    taaluma ni kigezo kikubwa sana katika kuatumikia wananchi kama mbunge lakin wapo wabunge wengi sana ambao wana taluma nzuri tu tena katika masuala ya kijamii likini wameshindwa kuwaletea maendeleo wananchi wao. pamoja na nia yako njema katika kuwatumikia wananchi wa Kinondoni ni vema pia...
  7. V

    Hi, am a new member!

    nimekwama kutuma ujumbe wangu kwenye jamii forum. nipigeni tafu
Back
Top Bottom