Search results

  1. Daby

    Historia yangu ya Mapenzi imefanya nikatulia sana ukubwani

    Nilipokuwa kijana mdogo nimecheza saana. Nimedanganya, cheat, kugonga na kukimbia, kuumiza na kushauri matumizi ya P2 nilipoambiwa umenitia mimba. Hili sio la kujivunia hata kidogo. Nikiwaga free nikaanza kuwazia kila mwanamke niliyewahi kumuumiza huwa natamani nyakati zirudi nimtreat tofauti...
  2. Daby

    Moneygram ipo wapi hapa mjini wakuu?

    Jibu la swali....kama kuna njia nyingine cheaper, safer and fast pia nijulishe.
  3. Daby

    Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

    2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana. Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu. Binafsi nikiwa offline nawamiss watu kibao. Ila zaidi huwa nammiss @bbade Wewe huwa unammiss nani zaidi?
  4. Daby

    William Ruto anapitia kipindi kigumu sana

    Nadhani anaenda kuwa rais wa Kenya aliyepitia kipindi kigumu saana. Kwanza amechukua nchi kipindi ambacho Dunia nzima inapitia changamoto ya mfumuko wa bei. Lingine, Raila alishajua anaenda kushinda...Mara vuuupu akaukosa urais. Hasira aliyonayo haielezeki. Deni nalo linamwandama. Inabidi...
  5. Daby

    Je, Watanzania wenzetu wanaoteuliwa nafasi za juu za nchi wamejiandaa?

    Binafsi sina wivu wa aina yoyote na kwa yeyote. Swali kubwa nijiulizalo baada ya kuona au kuskia teuzi za hapa na pale...Ni je, tunaowateua wamejiandaa kushika hizi nyadhifa? Ubamteua mtu kuwa waziri, sio tatizo kabisa na hakuna tatizo lolote. Shida kubwa ni huyu mtu ulishafanya tathmini...
  6. Daby

    Wanaume tuliooa, nini tufanye maana hii kasi ya usaliti inatia shaka?

    Msururu wa Wanaume wenzetu waliokwisha gongewa si haba. Kibaya zaidi kugongewa ilikuwa Siri ya ndani ila siku hizi hii mitandao inatuexpose saana. Nini tufanye? Hakuna Mwanaume atakeyesimama hapa na kujitapa mke wake hamsaliti. Moyo wa mkeo ni kichaka. Na wanaochapiwa wengi tunaona...
  7. Daby

    Nilishawahi kuwa na Mwanamke anayetishia kujiua. Waogope sana

    Hawa wanawake suicidal ni wale warembo kukitokea ugomvi wowote tu anatishia kujiua. Binafsi nilipitia hii changamoto kwa muda mrefu na ilinitesa saana. Kimoja ni insecurities na kuwa suicidal. Akihisi ninaongea na mwanamke mwingine basi siku hiyo kila vidonge natakiwa nivikusanye na kuvificha...
  8. Daby

    Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

    Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza. Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine. Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
  9. Daby

    Wanaume kwa wanawake tutake responsibility kwenye kufanya mapenzi.

    Katika moja ya mambo yaliyoyabadilisha maisha ya watu wengi basi ni haka kamchezo ka kitandani. Wewe mwenyewe fikiria jinsi kitendo cha dakika 30 kilivyoyabadilisha maisha yako yote. Ieleweke maisha yanaweza kubadilika positively or negatively. Wengi wameishia kuoa/kuolewa na wenza...
  10. Daby

    Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa.

    Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa. Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi...
  11. Daby

    Tupia Bongo Fleva ambayo iliwahi kuwa hit song

    Hakuna ubish, Bongo Fleva ni Moja ya muziki pendwa Afrika mashariki na kati. Huu uwe kumbukumbu ya nyimbo zote za Bongo Fleva ambazo zilishawahi kuwa hit song.
  12. Daby

    Wataalamu naomba mnipe faida na hasara za Nissan Elgrand za kiufundi.

    Sina mengi ya kuandika .. hicho ndicho nikitakacho tu.
  13. Daby

    Tanzania Vs Superstar

    Kwa wanaofuatilia Amapiano watakuwa wamesimkia Uncle Waffles....He is a South African Amapiano artist.... Ana track yake inaitwa Tanzania....Tanzania ni club iliyopo Jozi. Sababu za kuiita track Tanzania ni kutokana na kufungulia hadi kipindi cha COVID kama ilivyokuwa Tanzania. Juzi kati Mondi...
  14. Daby

    Hivi ni lazima watu wanaojihusisha na mapenzi tofauti na yaliyozoeleka kujitanganza kwa umma?

    Hili ni jambo linalonishangaza sana. Kumekuwa na desturi ya binadamu wanaojihusisha na mapenzi ya namna nyingine kujitangaza hadharani kwamba wanaojihusisha na aina hiyo ya mapenzi. Kwani hawawezi kuendelea kufanya bila kututangazia? Kipi huwa kinawachokonoa? Nadhani mapenzi iwe siri ya...
  15. Daby

    Kenya 2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

    Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi. Sasa, Shida ni nini? Ni kweli mtandao...
  16. Daby

    Wanaume: Tuwe na Huruma

    Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator! Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa wanawake. Je , emotiona support kwa watoto na kwako kipindi unapokuwa chini! Suala la kuwa mtoa...
  17. Daby

    Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  18. Daby

    Wakulima, trekta gani utanishauri ninunue?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ndugu wataalamu. Nataka kuaianza hii biashara ya kilimo na pia nikikodishwa nitaenda kumlimia mtu. Bado nafanya utafiti wa tractor gani ninunue Jembe na Harrow yake. Naamini humu mpo wenye uzoefu kuanzia bei, aina, wapi pa kununua, changamoto zake n...
  19. Daby

    Bbade, Babe I wanna be with you but you dey no time enough for me

    cc bbade Show me your jigga let me see (Let me see) And let me see the woman that is with (That is with) I put a couple thousand Dollars on your wrist (Put on your wrist right now) Omo omo they can’t touch you I never see this kind babe Wey dey do some kind things Make me feel some kind way...
  20. Daby

    Tofauti ya Nyama ya Ng'ombe na Punda?

    Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha. Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najisikia siku hizi baada ya kula hii nyama niliyonunua. Mimi napenda nyama sana. Siku tatu hazipiti sijala nyama...athari siziogopi maana...
Back
Top Bottom