Search results

  1. mishe bwoy

    Swali kuhusu makampuni yanayotoa viwanja

    Habari wakuu!! Naomba kuuliza haya makampuni yaliokithiri kila kona siku za karibuni Yanatoa viwanja na mashamba kwa kulipa kidogo kidogo,,yan ukweli ndani yake??kuna mtu alishajaribu,,maana hadi saba saba walikuwepo na mabanda yao ila bado roho inasita ila wamenitamanisha,eb funguken wakuu...
  2. mishe bwoy

    Why TZ android Developers should target more countires ???

    Hiki kitu nilikuwa sijakifahamu, Baada ya juzi kati natengeneza campaigns kwe admobs za app zangu nakuta total reach ya wa TZ wenye uwezo wa kudownload app ni only 1.3M,,,!! hapo sijatoa wale hawajui hata playstore ni nini, kaz zao ni kupiha na kupokea simu na kuchat whatsapp,cjaweka wale simu...
  3. mishe bwoy

    Uliyefanikiwa kupitia blog/website, naomba ushauri

    Ujanja hapo ni kuwa na app ya io blog,Nloggers wote wakubwa bongo now wanatemea apps kuearn pesa za gugo lwe blog zao,,Ndio maaana za blog wengi wakubwa ukienda kwe site zao hukut matangazo ya kueleweka!! so endele kupiga kazi,Tengeneza app kwa ajili ya blog then itangaze app yako kupitia io...
  4. mishe bwoy

    Online Radio App

    Playstore Pubilsher>user accusation>create campaign, baada ya hapo ukiweka payment option sehemu ya kujaza Bid size ndio watu wanafeligi apo,,,Kuna mtu ana budjet ya 5$ a day anaweka bid size ya 1$, utajikuta kwa siku budjet yako inazidi hadi kufikia dola 50 wakati wewe hukuset ivo!!!, au...
  5. mishe bwoy

    Bloggers Kuna hii hapa inakuhusu

    1.Kwa anayhitaji adsense Ac anicheki ,ni Mpya kwa Sh elf 50 tu Moja -mbinu za kukuza RPM pamoja na mapato utapewa -na namna ya kuepuka kufungiwa hovyo 2.Anayehitaji group la facebook Lina members elf 60, kwa shilling elf 50! Tu link hii hapa BOFYA HAPA 3.Bloggers tatizo la Google kufuta...
  6. mishe bwoy

    Bloggers Kuna ujumbe wako hapa

    poa poa kamanda
  7. mishe bwoy

    Bloggers Kuna ujumbe wako hapa

    Naona kuna thread mingi humu zinaelezea Bloging so na mm nikianza tena elezea inakuwa kama Duplicate mKuu,that y nikaweka number yangu mtu mwenye kunihitaje anitafute mkuu wangu
  8. mishe bwoy

    Bloggers Kuna ujumbe wako hapa

    Outdated
  9. mishe bwoy

    Mwenye Youtube channel anaeuza nahitaji

    Kama una youtube ac ina suscribers kuanzia 2000 njoo DM tuongee biznezz
  10. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    Duu so ukiwa blogger wa zamani huruhusiwi Kutafuta Adsense acount ya haraka ambayo imeshapokea barua(Pin veryfied) ili ufanye kazi zako kwa ufanisi, Watu wanaenda na acount 2 mpaka 3 mzeee kwa mwezi,Fuatilia threads angu ndo utaelewa nina experience ya mwez mmoja au lah! Hii topic iishie hapa...
  11. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    Duuu kujitesa kote uko kwa nn!!!! Basi wazeee sio mbaya ni Idea yangu tu nimewakwaza samahanini,ina mapungufu pia,siwez mridhisha kila mtu kama hujawa interested basi tu no way!!!!!
  12. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    mwisho wa siku unataka nikuenyeshe inner details waje ku hack sio!!!! Bas kama huamini tuachie hapo mzeee!!
  13. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    Naona wengi wajuaji,Nimepost kwenye wrong place, sio lazima huu uzi hebu uishie hapa Anayetaka channel url hajui sheria za google na ni moja ya vitu nimeongelea ndani ya kitabu . Sio vizuri kuweka workplace yako public iwe channel au blogger sio kila mtu anapenda wakikufungulia bots ni dk 1 huna...
  14. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    By default wewe ni nguli wa youtube au blogger kwa nini hutaki wenzako wajue ????? roho ya kwa nini!! et zipo internet, Ila sawa skujui hunijui yaishie hapa bro
  15. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    shida sio kufungua mkuu,kuna methods za kukuza suscrubers,kutarget audiance ili upate imoresion zenye quality nzuri ili kuwa na rpm na cpc kubwa kidogo!!!! nk..sasa kama ni utapeli sijalazimisha mtu anunuee:cool:
  16. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    sawa mzeee wa kitonga usijali kaa hapo watakuja kutoa ufafanuzi
Back
Top Bottom