Mtoa mada kama kweli umejiridhisha mumeo anatoka nje ya ndoa jaribu kuchunguza anafuata nini huko nje, maana kama kukupenda anakupenda ndio maana we uko ndani jichunguze mapungufu yako.
Hehehehe bibie mswalie mtume na umuombe Mungu mumeo asijekamatika huko nje, kuna mapya binti watu wajuzi wa mambo yakhe tatizo sio kuwa na mchele changamoto ni jinsi gani utaupika huo wali uweze kulika
Kunenepa ni kujiendekeza wadada, niwape tu mfano hai
Nilipojifungua nilikua na msichana wa kazi, wasichana wawili watoto wa dada zangu, mama yangu mzazi, (wasaidizi wangapi hao lol) basi nikajiachia mmama uvivu ukanijaa mtoto akilia najua kanyonya kashiba naita we mwafulani nachagua tu wako...
Inategemea na makubaliano ya mume na mke. Ila nafikiri haijakaa vizuri, hao watoto si ni wakubwa badala ya hao baba zao kuja kuwatembelea kwa mama yao watoto ndio wangekua wanaenda kutembea kwa baba zao wamalizane huko huko
Usiwe na wasi babu DC anahakikisha hakiaharibiki kitu hapa. Si umeona mwenyewe wabishi wote kina sie Nyamayao, King'asti n.k wote wapooooole sasa ndio nimeamini utu uzima dawa asee
Babu huyu Mbu lazima alienda kutambika mahala kabla hajaanzisha huu uzi, maaanaa yaani hivi hiviviiiiii (in pembes voice) hili tonge la moto ila kila nikitaka kulitema linankaba linarudi ndani lol
Hahaha kumbe bora niendelee :tape2::tape2::tape2::tape2::tape::tape::tape: nisije pewa red card bure. Ila babu hapa unatumia ubabe bana lol. Mbu ana bahati umetuwahi angekomaaaaje sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.