Search results

  1. K

    Je Serikali Ilifanya Makosa Kuwapa Uraia Wa Tanzania watu Wenye Asili Ya Rwanda na Burundi?

    Hivi kila leo huwa najiuliza Serikali yetu ilikurupuka kuwapa uraia hawa ambao hivi sasa waitwa Watanzania ambao wana asili katika nchi za majirani zetu? Je uamuzi ule ulichuliwa zaidi kutokana na ushawishi uliofanywa na Jumuiya ya kimataifa na bila ya kuangalia National security ya nchi...
  2. K

    Tanzania among top 10 Places to Invest in Africa 2018

    By Juergen T Steinmetz September 18, 2017 One of the most important findings of Rand Merchant Bank’s (RMB) seventh edition of Where to Invest in Africa is that the African continent could find itself hovering on the brink of disaster if it continues to depend on its current economic...
  3. K

    Ziara za viongozi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania

    ZIARA ZA VIONGOZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI TANZANIA NI SEHEMU YA KUMAKINISHA UNYONYAJI WA MABEPARI KWA MATAIFA MACHANGA Mnamo tarehe 19/03/2017 Raisi wa Benki ya Dunia (world Bank Group), Dr Jim Yang Kim alizuru Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu mpaka 21/03/2017. Ziara...
  4. K

    Four more journalists get felony charges after covering inauguration unrest

    Kwa waandishi wa habari Tanzania ambao kila siku wanajiona wako untouchable na wanawategemea wamarekani wawatee kwa uzembe wao na kulia lia kila siku kwa kujiona professional yao iko noble na wanahitaji special treatment. someni hii habari na tafakarini.. PS lakini najihangaisha bure wengi wenu...
  5. K

    Tuache Unafiki na Mihemko; Hongera Rais

    Unajua mimi nawashangaa sana watu walivyokuwa na memories za samaki na unafiki ulivyowajaa. Tangu kwisha kwa uchaguzi Zanzibar hivi nani aliyekuwa anatowa matamko ya kuchochea ubaguzi na utengano katika Jamii. Siyo Seif aliyesema watu wasishirikiane na mwanachama yeyote wa CCM, siye Seif...
  6. K

    Serikali: Taarifa za Wahisani kujitoa kusaidia Bajeti ya 2016/2017 si za kweli

    Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Tamko hilo limetolewa na katibu mkuu wizara ya fedha na mipango Dr Servacius Likwelile kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa hivi karibuni Dar Taarifa hiyo imefafanua kuwa washirika wa Maendeleo bado wanaendelea na kuisaidia serikali katika bajeti...
  7. K

    Unafiki wa siasa za Zanzibar

    Siungani kabisa na kilichofanywa na wafusi wa CCM kuhusu bango lao na nahisi ya kuwa limevupa mipaka na la kibaguzi na walioandika ni wajinga wa kutokujua demographic makeup ya Zanzibar.Na nimefurahi sana kuona ya kuwa limekemewa na watu wa pande zote. Juu ya yote hayo la kusikitisha Zaidi watu...
  8. K

    Misamaha ya kodi Bakwata na Taasisi nyingine

    Hivo Hatuna haja ya Kubisha na kusema kwamba Serikali ya CCM au Serikali ya Muungano Haina Dini.. Ushahidi Mdogo ambao ulikuwa Unajulikna kutokana na Unawiri wa Kundi la Dini Fulani na Unyonyaji au UDhoofishaji wa Kundi la Dini Nyengine ni Huu hapa. Hapa tunaweza kuona Tofauti kubwa ya...
  9. K

    The Zanzibar Riots, the Union, & Religious Tolerance

    By Prof: Shariff NOBODY in his right mindwould condone the torching of churches and shops in Zanzibar last weekend. But it is a great shame that so many, including some of the top leaders in the country have made these symptoms of a socio-political malaise in the country the central issue for...
  10. K

    Kashfa ya marekebisho ya mishahara zanzibar

    Hivi karibuni tu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kama ilivyoahidi chini ya serikali ya umoja kwa kitaifa,ilifanya marekebisho ya mishahara ya wafanyakazi wake likiwa lengo kuu ni kurekebisha mishahara ya wafanyakazi wa afya ili kuwavutia Madaktari(MDs) na wataalamu wengine wa kizanizbari...
  11. K

    Elections 2010 ZNZ ikitafakari juu ya ajenda ya utaifa wake, Ajenda 5 ilizotunga Tanganyika kuimaliza Zanzibar

    Na Laila Abdulla, Katika kipindi hiki cha mpito kuelekea katiba mpya,wazanzibari wanajikuta katika JAHAZI ya safari ya mwisho kutoka Dar-es-salaam kurudi Unguj.Wakiikosa safari hii, basi ,wataula na chua kwa uvivu wa kuchagua.Tanzania-bara au Tanganyika, katika kipindi hiki cha mpito hadi...
  12. K

    Nyerere's legacy of poverty and repression in Zanzibar

    Hii habari ni ya siku nyingi sana lakini inaweza kukupa clue juu ya Nyerere(Aka:Failure) By Ann Talbot - 15 November 2000 Opposition parties boycotted the rerun election in the East African archipelago of Zanzibar, after the previous attempt to hold elections on October 31 ended in chaos. The...
  13. K

    Revealed: How `Men of God` traffic drugs

    Kumbe JK alikuwa anajua nini anakiongea. na Maaskofu kumbe walikuja juu baada ya kuona source yao kubwa sana ya hela inapotea, bila ya kujali ya kuwa wanaliangamiza Taifa.. By Rodgers Luhwago 19th June 2011 They are well dressed, casting the demons, denouncing the devil and claiming to heal...
  14. K

    Kadhia ya kiwanja cha Mbweni Karume ajibu mapigo

    RAIS Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amtetea Mwanawe Fatma Karume kuwa ndio mmiliki halali wa kiwanja kilichopo Mbweni eneo la Mfuuni ambacho kimeingia katika mgogoro kati ya Kanisa la Angalikan na mwanawe huyo. Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake jana, Mbweni, Karume...
  15. K

    Ingelikuwaje Nyerere angelikuwa Mzanzibari?

    Makala hii ilichapwa kwa mara ya kwanza kwenye gazeti huru la Dira Zanzibar, Na. 45, la Oktoba 10-16, 2003. Nimeamua kuileta tena hapa ukumbini baada ya kuiona hii video ilowekwa jana kuhusiana na mafuta ya Zanzibar. TANZANIA tuliyonayo sasa ni kati ya ishara ioneshayo kuwa Mwalimu Julius...
Back
Top Bottom