Search results

  1. the say

    Tukumbuke jokes za walimu lakini zilileta shida kwa wanafunzi

    Nikiwa shuleni mkoani Mara miaka michache kabla ya mwaka 2000, form three hiyo baba pindi lilikuwa ni biology topic reproduction sasa tunaandika notes na michoro ya male and female organ Ticha anapita kukagua michoro inavyoendelea na stiki mkononi anaezingua anapata stiki, kamukuta demu mmoja...
  2. the say

    Wasiwasi juu ya mazingira/mbinu za goli la mkono Oktoba 25

    Jambo wana jf wakati tukiwa ktk harakati za uchaguzi mkuu napata wasiwasi na baadhi ya mambo yanaweza kusababisha ushindi Wa goli la mkono kwa chama Fulani, wasiwasi wangu uko hapa. 1. Hivi zile kadi ambazo zinakosewa jina,umri nk kwa mpiga kura wakati Wa uandikisjaji haziharibiwi kama zile...
  3. the say

    Michuano ya Kombe la Dunia la Netball huko Sydney

    Habari wana JF. Kuna michuano ya Kombe la Dunia la Netball inayofanyika nchin Australia kuna timu za Africa zinashiriki mfano Malawi, Uganda, south Africa ambazo zimeonesha kiwango cha juu. Nauliza vipi Tanzania mchakato wetu Wa kufika final hiz tulishindwa Wapi? Inamaana hata netball ni...
  4. the say

    Ndio muda wa kuichunguza zaidi shule hii

    Ni muda sasa nikiwa nimeishi hapa sengerema shule hii ambayo ubakaji umetokea kwa binti wa kidato cha kwanza kubakwa,akiwa darasan. unaweza kusema shule hii watu hawakwenda kusoma Bali ni ngono tu, naomba uchunguz ufanyike kuna zaid ya hayo shulen hapo
  5. the say

    Napenda utongozaji wa enzi zile

    Wana jf habari zenu,? Leo naomba niwakumbushe l utongozaji na mawasiliano ya me na ke ktk suala la mapenzi. 1.nikirusha jiwe juu ya paa la nyumba yenu ujue ni Mimi 2.ukitumwa sokon jitahid tukutane mliman/chin ya mti. 3.me alikuwa anamnyang'anya ke kanga ili demu ajilete ghetto. 4.demu...
Back
Top Bottom