Search results

  1. Uni mwanitu

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Sasa si ushukuru umeachiwa mrembo Bure kabisa 🤔
  2. Uni mwanitu

    Msaada: Biashara ya mbaao ngumu (mninga na mkongo)

    Nenda ofisin za halmashauri uliza watu Tfs ongea nao watakupa maelekezo mazuri Sana wala usjar.
  3. Uni mwanitu

    Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

    Jesus si ni wapelelezi tu wengine wamechukuliwa kutoka greenguard tu, wengine scouts, wengine vyuoni, wengine waajiriwa selikari za mitaa, wengine serikali kuu, wengine ktk vyombo ya ulinzi na wengine sasa ndo makomandoo. Hata mm na ww twaweza kua majasus ni mafunzo tu na sheria. Ila mm na ww...
  4. Uni mwanitu

    Nataka kumaliza mkopo kwa mkupuo

    Hao dawa yao ndogo ukitaka kuacha kazi unawafuata Wakigoma tengeneza ushahid baadae wanavo kuja kukutafta Unawaambia tu wakati nipo na mlikataa na sasa Sina pesa basi
  5. Uni mwanitu

    Naacha kazi serikalini

    Nimeipenda Sana hii. Ngoja nisome comment maana kama tulikua wote vile. Nataka kuukimbia utumwa.
  6. Uni mwanitu

    Dawa nzuri ya kumaliza viroboto kwa mbwa.

    Ivomec. Jina la dawa hilo
  7. Uni mwanitu

    Mtaji wa biashara

    Habari wadau mie nina biashara ya pembejeo za kilimo sasa changamoto ni mtaji mdogo kuliko mahitaji ya Wateja wangu. Naweza pata mtu au taasisi wa kuniinua kwa mtaji wa fedha au bidhaa za dukani au anae weza kua mdau tufanye biashara pamoja (partner) ili kukidhi soko.? Msaada alie tayari...
  8. Uni mwanitu

    Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

    Sjui kwa nn mambo yao hua wanayaweka Siri Sana. Hata bidhaa zao ukiuliza bei longo longo kibao mara tuonane kwanza mara nn hadi ujue bei labda umbane Kweli. Pesa rahisi sijawahi kuzifikiria.
  9. Uni mwanitu

    Ushauri: Biashara ya duka la pembejeo za kilimo

    Uwe na Tin namba , vibari na mafunzo maalum toka TPRI, TFRA, TOSC kama unaweka na vya mifugo upate na mafunzo toka VET. Mafunzo ni Ghalama Sana. Vibali TFRA na Tosc ni bure, TPRI na Vet ni pesa unalipa .baada ya hapo Unaenda TRA upate tax clearance ili ukapate Resen ya biashara halmashauri uliyopo.
  10. Uni mwanitu

    Ushauri: Biashara ya duka la pembejeo za kilimo

    Na Ndio yanayo fanyika huko taaluma inadhalilishwa tuu
  11. Uni mwanitu

    Ushauri: Biashara ya duka la pembejeo za kilimo

    Habar Kuna jambo la TPRI, linanichanganya kidogo Hasa kwa watu walio hitimu vyuo vya kilimo na mifugo. Mtu kakaa darasani 2, 3 or 5yrs alafu akitaka kufungua duka la pembejeo eti had akapate mafunzo maalum ya siku tatu kwa malipo ya tshs 320000 TPRI, 450000 vet, 300000 mamlaka ya Mbolea 300000+...
  12. Uni mwanitu

    Kanuni Mpya: Ukiachishwa kazi, utalipwa fao la kutokuwa na ajira asilimia 33.3 ya mshahara uliokuwa unapokea

    Ngoja nifikishe miezi 180 nipotee zangu nipewe kiinua mgongon nifanye mengine ninapo ngoja 55yrs
  13. Uni mwanitu

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Mi pia lengo langu ni January 2019 Kama mzima nataka niingie mtaani. Nikiwa na ekari 50 [emoji609] tractor 1 na mashine ya kusaga nafaka Basi najichimbia kwetu Mbozi naachana na kazi ya uafisa kilimo ili niwe mkulima na niwe huru zaid
  14. Uni mwanitu

    Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

    Tayari japo mwaka wa 6 huu na zaid Hakuna kupanda vyeo duu.
  15. Uni mwanitu

    Wajuzi bei za matrekta ya kilimo

    Mbeya mmefika au bado.
  16. Uni mwanitu

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Mtu anaweza akawa na Mimba na akapata hedhi.? Hasa kwa Hawa ambao siku zao zinabadilika kila mara.?
Back
Top Bottom