Tuliambiwa lini kwamba Mapuri amejitoa uwanachama wa CCM. Kama alikua katibu wa CCM ni sahihi kasa kusema huyu ni mwanachama wa chama hicho.
Kimsingi uchaguzi Tanzania ni kama maigizo. Rasi watanzania anamalaka kubwa sana.
Sijui kwanini Nyerere alituachia katiba kama hii ambayo ifaa kipindi...
Mimi naona mama yuko sahihi kwa hili swala la umeme. tufike mahali tuache sera za kijaamaa ambazo hazina maana. Wananchi wahimizwe kufanyakazi ili waweze kulipia huduma. baadala ya kuwapa ruzuku kila wakati. Swala a ruzuku lifanyiwe tadthmini na wapewe wananchi wale ambao uwezo wao ni mdogo...
Watanzania tumekua watu wa ajabu sana. watu wanapewa degree za heshima wanaona kitu kikubwa sana. Haya mambo huwezi kuyasikia nchi nyingine duniani. Ukitaka degree ya maana si uende ukasome.
Naona kuna mapungufu mengi sana kwenye mfumo wetu wa Kimikoa. Siungi mkono moja kwa moja mfumo wa majimbo, lakini nadhani tungepitia upya mfumo huu uliokuwepo na kuuboresha. Na pia niseme si wajibu wa chama cha siasa kubadili mfumo wa kiutawala. Swala hili linatakiwa liwe kwenye katiba. Sio...
Wenye Masi waruhusiwe kichukua abiria kutoka sehemu mbalbili za Jiji. Wajiwekee vituo vyao, kama ilivyokuwa kwa baathi ya kampuni kama Dar express Kilimanjaro nk. Masi yaruhusiwe kufikisha abiria kati kati ya jiji ili kuwaondolea usumbufu maana baada ya flyover kujengwa pamoja na mwendo kasi...
Uraisi wa kuangukia sio?! Lakini wazo langu ni kumlinda Rais dhidi ya fitna na hila. Makamu angekuwa Rais wa mpito tukingoja uchaguzi mwingine na ikiwezekana na yeye ashiriki.
Nimeona mfano huko Kenya, kwenye kiti cha Gavana, mgombea mwenza antafuta njia ya kumuondoa Gavana ili yeye awe gavana. Naimetokea si mara moja. Lakini kwa kiti cha Rais walikua wajanja hawakuweka hicho kifungu.
kusema kweli Wagobea wenza wengi wana sifa lakini hziwezi kufikia za wagombea wenyewe. halafu kwa upande mwingine makamu anaweza kupata tamaa. Pia ingeondoa kugombania nafasi hiyo kama ilivyo sasa ndani ya CCM
Huu ni mwanya. unaweza tumika vibaya. Zaidi ya hapo wanchi hawapati nafasi ya kumchagua. Pia, wakati mwingine Nafasi ya makamu wa Rais anapewa tu mtu ili kujaz nafasi, bila kuwaz kwanba anaweza kuwa raisi siku moja.
Nimeona kifungu hiki kitatuletea shida huko mbele. sinshida na mama samia kuwa Rais, lakini hata yeye anaweza athirika.
Pia tutawapa wanachi nafasi ya kuchagua mtu wanayempenda.
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais...
Utaratibu wa uhmiaji ni wa zamani sna. nadhani sasa kuna haja ungaliwe upya na kufanyiwa marekebisho. Tutumie wabunge wetu wapeleke hoja Bungni ili kuboresha Idara /Jeshi la uhamiji.
kweli bado tuko nyuma sana kwenye mambo mengi ikiwa pamoja na hili la passport. nchi nyingi hata majirani zetu kenya wanazalisha watalaam wa nyanja mbalimbali na kutokana na uhaba wa ajira nyumbani watu wao wapo karibu kila mahali duniani wakitumia taluma zao nakutuma pesa nyumbani. kwao ili...
Watanzania tunashida, Huyu mama anashindwa kuwaeleza watu wake waliomchagua na kumuamini kwamba Rais wao ana hali gani. Badala yake anaeleza kwa mafumbo kweli? Eti tushikane. Halafu sisi tunamshangilia.
Huko nyuma Rais hata akipiga simu au akisalimiana na mtu utaona tarifa kwa Umma. Vyombo vya habari lazima vioneshe habari kumhusu Magu kila siku, sasa iweje leo kimya?
Maona wachangiaji wengi wanamshutumu mtoa mada bila bila sababu za msingi. Kama nchi naona kwenye swala la mipango miji tumekwama. Sio kwa Dar pekee bali miji karibu yote. Kama kitu rahisi kama kupanga mji kunatushinda mengine tutayaweza?
Umeongea vizuri sana. Ki ukweli utadhani viongozi wetu na wataalamu wetu hawajawahi kusafiri nje ya Tanzania. na hata kama hawajawahi sehemu zilizojengwa na kupangwa na wakoloni kwenye miji yetu ndio nzuri hadi leo hii.
Hakika miji ya tanania inasikitisha sana. Hata hizo highway tunazoambiwa...
Eneo la Makongo juu wilayani Kinondoni, limekuwa na shida ya barabara kwa miaka mingi sana. licha ya eneo hili kuwa maa muhimu na maarufu., na kukaliwa na watu mashuhuri, limekosa barabara kwa muda mrefu sana. Makongo juu inapakana na kambi za Jeshi za Lugalo, Makongo na changanyikeni, pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.