Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Habari wakuu
Wananchi wa Tanzania wameguswana sana na kifo cha Sultan Qaboos bin Al Said,Pia viongozi wametoa pole katika mitandao ya kijamii na wakati akiumwa wananchi wengi walimuombea apone . Hata leo wengi bado wameweka status zakumkumbuka
Ukizingatia uhusiano mzuri na historia pana...
"I'm happy with a draw because I'm both a Ugandan and a Tanzanian, all my countries won."
Rais Museveni alisema katika mechi iliyopita bora draw kwani yeye ni raia wa nchi zote. Tunashukuru leo kutusupport tumeweza kwenda AFCON
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba.
Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu.
Sasa tunaomba uchukue hatua suala kubeti kwani nalo linaathiri sana vijana pesa chache wanazozalisha...
Wakati suala la mheshimiwa Makonda likishika kasi kwenye vyombo vya habari inabidi tujiulize nani alishindwa kuona udhaifu wake aliyemlea au aliyemleta kwenye siasa au aliyemdumisha kwenye siasa.
Mheshimiwa Sitta aliona kipaji gani kwake mpaka wanasema alimpenda sana na akamuingiza kwenye...
Kulikuwa na habari kuwa january 2017 itakuwa mwisho wa utumiaji wa mifuko ya plastiki ila mpaka hii machi kimya. Ingawa mifuko ya plastiki tunaihitaji sana ila bado jitahada za kupunguza matumizi yake lazima ziwepo
Kwa maoni yangu naona pawepo na jitihada za kupunguza utumiaji wa plastiki kwa...
Habari wakuu
Kuna matangazo mengi ya vitu ambavyo mtoto chini ya miaka 18 haruhusiwi kutumia lakini tangazo linakuwa kuubwa mwishoni ndio unakuta hilo onyo
Kwa mzazi yoyote atakubali kuwa haya matangazo jamii ya kwanza kuathirika ni watoto kwa kuwa wao ndio wanatumia muda mwingi kwenye TV na...
Habari waungwana
Tushauriane busara gani itumike kukomesha mauaji ya watumishi wa serikali maeneo haya?
Kuna haja busara itumike kutafuta mzizi wa tatizo hili na suluhisho la kudumu kwani katika kanda hiyo kumekuwa na matukio ya vurugu kwa miaka karibia mitano iliyopita na mara nyingi...
Jeshi la Marekani limeruhusu rasmi uvaaji wa Hijabu na vilemba kama unifrom marekani
The hijab is now an official part of army uniform in America
Female soldiers in the US Army will now be allowed to wear the hijab — just as long as it is made from flame-resistant material.
New regulations...
Katika hali ya kawaida ya binadamu muda wowote mtu waweza pata ajali au kupatwa na ugonjwa wa ghafla ukiwa mwenyewe mtaani au barabarani
Je kwa nchi kama yetu ambapo hakuna kitengo vya dharura ambavyo vinawafuata wagonjwa sehem walipo nini kwa kawaida kinafanyika?
Je ni sawa kuendelea...
Habar wakuu
Nina dogo anataka kujiajiri kwa kuwa fundi sim wapi anaweza kujifunza namna ya kuflash sim na kufanya matengenezo madogo madogo ya sim.
natanguliza shukran
video link Vertical Forest in Milan on Vimeo
kwa habari zaidi link See The Forest That's Growing Within A Concrete Block In Milan
two large building blocks in the middle of Milan covered in a rich, green forest? Why yes, yes it is.
In the Porta Nuova district of Milan, Italy, there is a...
Habari waungwana,
Nina ofisi yangu ya biashara huku mikoani nataka nijiunge na moja ya kampuni hizo Max-Malipo au Selcom paypoint.
Naomba mnijuze ipi ina faida zaidi kwenye vocha, LUKU na huduma nyinginezo
ipi yenye customer care nzuri na yenye future ya kuenea zaidi kwani kampuni za bongo...
Taarifa ya habari ya sa 2 ya ITV wameonesha viongozi wa TANA wakisema kuwa madaktari hawajafanya vizuri kugoma hivyo wao wamejipanga vizuri kuwafariji na kuokoa maisha.
Katika tafsiri ambazo naona kila mmoja anaongea lake ni maana ya itern doctors
baadhi wanasema madaktari waliokuwa kwenye mazoezi ya vitendo ingawa tafsiri ndio naona kama imefanywa rasmi ila naona ina upungufu
Madakatari hawa wameanza kufanya mazoezi.ya vitendo toka mwaka wa tatu au wanne...
What doctors do when they dont know the answer
1. Revert to novice thinking. Which, in fact, is completely appropriate. Were taught in medical school that approximately 90% of all diagnoses are made from the history, so if we cant figure out whats wrong, were supposed to go back to the...
Habari waungwanaNaomba msaada wa hili swala kwa wazee wa fikra pevu, kuna rafiki yangu alizaliwa nje ya nchi baadae familia ikarudi tz, akasoma primary mpaka college hapa nchini, juzi alienda kuomba passport akakutana na waungwana wakamtisha wakamwambia yeye sio raia je process ya kuomba...
A survey shows that doctors are the most admired and most trusted marriage partners. By contrast, actors and musicians, along with journalists and advertisers, were among professionals that people trusted the least, and were also least likely to choose a partner from, according to a survey by...
leo nilikuwa nasikiliza redio moja wakawa wanasema babu kachangia sana maendeleo ya kijiji cha semumge ikiwa na pamoja kuwekewa minara ya sim za mkononi, na kujengewa barabara,
wakauliza je hiki kingekuwa kipindi cha
uchaguzi. babu akatangaza ameambiwa na mungu agombee urais matokeo yangekuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.