Search results

  1. G

    Nimefiwa na BIBI

    Pole sana. Kinachotakiwa ni kumuombea dua tu.
  2. G

    Sipo comfortable na salamu za kiswahili

    Kweli zinabore sana salam, nyingi zinapoteza muda jamani tuwe wawazi
  3. G

    Nyani wavamia makazi na kubeba sufuria za chakula kilichopikwa

    Hiyo ndio mebya bana kina kitu kipo Mbeya. Mbeya Oyeeeeeeee......
  4. G

    Mapenzi ni zaidi ya uchafu

    Hivi muda wa kufungua vyuo bado eeee.
  5. G

    Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    Atapona kwani mwenyezi mungu ni mkubwa kuliko wanadam.
  6. G

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwa uwezo wake mwenyezi mungu atapona tu.
  7. G

    Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Angetuonyesha kwanza mwenzake ndio afe pumbavu zake huyu.
  8. G

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Habari hii sio nzuri kabisa. Mwenyezi mungu amsadie apone
  9. G

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mbaya hii habari jamani. Mwenyezi mungu amsaidie apone.
  10. G

    Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

    Tulikuwa pale wanapouza samaki tu ndugu. Yaan Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
  11. G

    Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

    Jamani haya magari mimi mwenyewe hili basi la LIM SAFARI lilitaka kutuunguza hapo Ruvu Darajani mwezi wa saba mwaka huu, tulikuwa tunatoka Dar kwenda Arusha, gari lilianza kuwaka moto, wakasema hivyo hivyo ni breki, watu wa nje ndio walianza kupiga kelele dereva asimamishe gari, kwani kulikuwa...
  12. G

    Mke wangu ana.....

    Mpeleke hospital ndugu.
  13. G

    Mke wangu ana.....

    :D:D:D:D:D
  14. G

    Mate na vvu

    Mhh. Ngoja madaktari waje
  15. G

    Wanawake: Mnafanya makosa wenyewe mkiachwa mnalialia

    Mhhh. Kweli kwa stail hiyo lazima utoke sugu.:p:p:p:p:p:p:p
  16. G

    TANZIA: Viongozi wa CUF wafariki kwenye ajali wakitokea Dodoma kushuhudia uapishwaji wa Wabunge

    inna lillahi wainna ilahi rajiuu. Mwenyezi Mungu awawekee mwanga ktk makaburi yao na awapunguzie adhabu ya kabri. Amiin.
  17. G

    ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

    Hakuna hata mwanadamu ambaye hili halita mtoa machozi.
  18. G

    Waziri Kairuki atoa tamko nyongeza ya mshahara

    Hayo ni matumaini tu kwa watumishi. Ngoja tusubirie tuone
Back
Top Bottom