Search results

  1. Mlalahoi

    Zanzibar: kukithiri kwa ufisadi chini ya urais wa Dkt Mwinyi

    Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025. Kampuni ya Pennyroyal Ltd imefungua kesi dhidi ya Zanzibar katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya...
  2. Mlalahoi

    CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Acha ubwege. Kwani umelazimishwa kusikia ushauri wa Chadema? Get a job
  3. Mlalahoi

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    We bwege, Magufuli hana hospitali. Hospitali ni za walipakodi wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Mdude. Tatizo lenu waganganjaa mnajitoa ufahamu
  4. Mlalahoi

    Chapa Chapa: Katibu Mkuu Kiongozi yuko wapi?

    Tatizo lako ni kwamba tangu ujiunge na MATAGA umejiondoa ufahamu. Kwani Katibu Mkuu ndio alimteua huyo Naibu Waziri aliyechapa watu viboko, au yule DC au yule DAS? Unakwepa kuuliza "Magufuli yuko wapi" kwa sababu nafsi inakusuta kuunga mkono utawala huu kandamizi usiothamini haki za binadamu...
  5. Mlalahoi

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Ushasahau huyu huyu Magufuli ndiye anayemfadhili Musiba aliyekashifu urijali wako? Kweli njaa ikienda kichwani inakuwa hatari sana
  6. Mlalahoi

    Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

    Tumekusikia Halima Mdee aka Mama Amon 😁
  7. Mlalahoi

    Pendekezo: Ingeundwa Wizara ya Dini ambayo ingesimamia mahusiano ya dini na siasa

    J Haya ndio madhara ya kushinda kutwa nzima JF to an extent unaishiwa cha kuandika, na kuishia kuongea pumba kama hizi. Get a life, young man.
  8. Mlalahoi

    Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

    Kwani nawe zombi walipwa na nani kuwatetea MATAGA?
  9. Mlalahoi

    Malisa GJ: Kuhusu muswada wa Novatus Igosha

    Pamoja na changamoto lukuki tulizonazo, tuna muda wa kujadili manuscript?
  10. Mlalahoi

    Ujumbe huu unawahusu CHADEMA: Wekeni akiba ya Maneno, msiwahukumu Wazanzibar wala ACT-Wazalendo

    Siasa za Zanzibar ni za kisultani. Kwa CCM ni kurithishana madaraka kati ya familia za Karume na Mwinyi, kwa upinzani ni usultani wa Maalim Seif.
  11. Mlalahoi

    Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

    Sasa wewe MATAGA utajuaje kama alichosema Lissu hakikuwa msimamo wa chama/Kamati Kuu?
  12. Mlalahoi

    Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Ushasahau alivyoongopa kuhusu kifo cha Jiwe? Vipi kuhusu "tallying centre" wakati wa uchaguzi? Sema tu mnapenda umbeya na mnadanganyika kirahisi
  13. Mlalahoi

    Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

    Hilda hayupo Tz... kwa taarifa yako. Hizo ndo faida za uanaharakati wa kujitambulisha hadharani kuliko akina "Salary Slip" au "Erythrocyte" mnaojificha kwenye fake name 😊
  14. Mlalahoi

    Uchaguzi 2020 Tusemezane: Uhalisia wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Hivi huo unazi wenu unawatoa kabisa utu? Yaani katika ubinadamu wako hujaguswa kabisa na uhuni mkubwa uliofanyika jana na leo katika hicho unachoita uchaguzi, sijui ushindi, na upuuzi kama huo? Sasa ni hivi, ndio mshindi atatangaza lakini dunia imeshuhudia uhuni wa kihistoria uliofanywa na...
  15. Mlalahoi

    Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

    We mtu acha kujitoa ufahamu. Tangu uanze kumuunga mkono Magufuli umekuwa kama zombie. Leo hii wewe Mwanakijiji wa kuuliza "kura feki zinapigwaje"?
  16. Mlalahoi

    JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Bwana Pascal wewe na huyu Mwanakijiji nyote ni waganga njaa flani, mmeshachuja umuhimu wenu
Back
Top Bottom