Search results

  1. issacool

    UC browser naipenda ila kwa hili...mmh

    Heheheh kweli watu humu wamedata, sasa ndio jibu gani hili?
  2. issacool

    vodacom huu si uongo?

    Hizi ni lugha za kibiashara tuu kaka, lazima utumie maneno ambayo watu yawatavutia ili kuweza kununua
  3. issacool

    Hii website imekaaje wataalamu?

    yeah nimesoma ila msg yangu niloandika ni ya kumjibu chief. nadhani umeelewa
  4. issacool

    Mahost: Ninahitaji .info domain au .co.tz

    kaka usihangaike kununua domain nimekutumia msg chemba isome kama uko tayari tufanye mambo makubwa
  5. issacool

    Hii website imekaaje wataalamu?

    Sikia chief, namtetea don, hii site yake ilikua ni test tu ya project yake na ndio maana akawauliza mnaionaje ili kama mkimpa moyo kwamba ni nzuri au afanye marekebisho gani ndio aipandishe rasmi. hii swala la kutengeneza demo kila mtu anafanya kabla ya kuingia gharama za kununua hosting,script...
  6. issacool

    Looking for web designer

    Bro hapo hakuna kitu kilichoibiwa cha facebook, codes ni diff
  7. issacool

    Looking for web designer

    sijakuelewa unamaanisha nini
  8. issacool

    Looking for web designer

    Icheki site yangu hii kisha ukinikubali ni PM . mimi ninauwezo wa kukutengenezea website aina yoyote. http://www.rafikibuzz.com
  9. issacool

    Shiriki Kuitangaza CHADEMA kila mahali

    Kipindi kama cha miaka 3 nyuma chama pinzani kikubwa kilikua C.U.F Leo mnakipaisha chadema????? mhhhhhhhh mi naona mnajihangaisha tuuu CHADEMA hakina maendeleo yoyote kitakacholeta zaidi wakiingia ni Ulaji tuu. Ni Bora mara milioni C.C.M maana maendeleo mingi wameleta. we fikiria mpaka now...
  10. issacool

    Get bussines website kwa laki!!!!!!!!!

    kaka tuonyeshe kazi zako ulizofanya tujue kama unaweza kutengeneza site za uhakika. usije tukakupa kazi kisha ukatumia wordpress au joomla na kisha uka host kwenye free hosting
  11. issacool

    Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

    Mungu Ailaze Roho yake mahali pema peponi Amin
  12. issacool

    Natafuta htc ninunue

    Je unataka Htc aina gani? mimi niko uk kama unahitaji taja aina ya htc unayotaka na hela ulokua nayo kisha nitainunua na kukutumia kisha nitakwambia ikishafika ukaichukue wapi na ulipie. kwa mfano kuna htc wildfire, htc desire, htc desire hd, htc sensation , htc hd2, htc hd7 itakua vizuri...
Back
Top Bottom