Search results

  1. mkumbwa junior

    Ushauri wa bure kwa Wizara ya Afya na NHIF

    Hii huduma ya toto afya NHIF wamefeli kwenye Promotion sasa wanaamua kuwafanyia ukatili watoto mfano leo hii makampuni makubwa tunaona Kila siku matangazo yao wakijitangaza tuchukulie Mfano Kama makampuni ya Simu ukiwasha radio/Tv haipiti dk 30 hujaona tangazo la Eidha voda tigo au Airtel,leo...
  2. mkumbwa junior

    TANZIA Karatu: Padri Pamphilius Nada auawa na mtu anayedhaniwa kuwa na changamoto ya afya ya akili

    Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical. Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa ---- Padri Pamphilius Nada wa Parokia...
  3. mkumbwa junior

    Naombeni ushauri wenu

    Jamani njoeni hapa mnitie moyo, hii ni kawaida au vipi? Mwenzenu nimehamia nyumba hapa Mwanza nina wiki 2. Shida yanguu sijawahi kuona wapangaji wenzangu ingawa wao wana kazi wanarudi jioni kwa maelezo ya mwenye nyumba, nyumba hii inatenganisha sisi wapangaji na mwenye nyumba kwa ukuta tuu...
  4. mkumbwa junior

    Hii ni sawa?

    kuna hili tangazo linatembea sana vipi ndugu zangu Waislam na mnaojua vizuri imani hii ipo sawa?
  5. mkumbwa junior

    Nigeria: Ajikata nyeti akiwa anaota anachinja mbuzi ndotoni

    #FAHAMU Mwanaume mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzikata sehemu zake za siri na kisu ndotoni, baada ya kuota anachinja mbuzi kwa ajili ya kumsaidia mke wake kuandaa chakula cha jioni. #EastAfricaRadio
  6. mkumbwa junior

    A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

    Wewe ni mwenyeji wa Arusha? Wewe ni mkongwe wa Arusha?Unazijua “mbanga” za Arusha? Unawajua hawa? Kyusa, Zungu, Kababuu, Pengo, Mojaa, Juma Kipisi, Jumanne Mjusi, Sadiki Mkindi na Wengineneo?Kwa mkongwe wa Arusha, nina hakika kabisa majina haya yamekusisimua sana. That is a list of daring...
  7. mkumbwa junior

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani...
  8. mkumbwa junior

    Wakongwe wa Madisko

    Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye...
  9. mkumbwa junior

    Disko lipi lilikuwa kali mtaani kwenu

    Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye...
  10. mkumbwa junior

    Kwa wataalam wa Afya: Mwenzi mmoja kukutwa na UKIMWI na mwingine kutokuwa nao naomba ufafanuzi

    Kuna Rafiki yangu amegombana hadi kafikia kumpa talaka mkewe kisa tu ana maambukizi ya VVU. Ilivokuwa: Rafiki yangu ananisimulia kuwa mke wake wakati ana Mimba aligundulika ana VVU mimba ilipokuwa na miezi saba ila yeye alipimwa hana, walirudia kupima sehemu tofauti na ile majibu yakaja vile...
  11. mkumbwa junior

    Wakuu naomba kujuzwa: Mke kakutwa na Ukimwi wakati mume hana naomba ufafanuzi

    Kuna Rafiki yangu amegombana hadi kafikia kumpa talaka mkewe kisa tu ana maambukizi ya VVU... Ilivokuwa Rafiki yangu ananisimulia kuwa mke wake wakati ana Mimba aligundulika ana VVU mimba ilipokuwa na miezi saba ila yeye alipimwa hana, walirudia kupima sehemu tofauti na ile majibu yakaja vile...
  12. mkumbwa junior

    Naombeni ushauri kuhusu aina hii ya mwanamke

    Mwezi wa nne nikiwa safarini kutoa Arusha-Dar nilibahatika kukaa siti moja na Binti mrembo kweli kweli,,na alikuwa mchangamfu sana,tulioeana kwa muda mfupi tukapiga story nyingi sanaa sanaa,,tulivofika korogwe(hotelini) akaniomba simu yangu apige picha kadhaa sababu hakuwa ba smartphone kwa...
  13. mkumbwa junior

    Uzembe wa TBC

    Huu Upuuzi Wa TBC mamlaka husika zichukue na kutoa adhabu stahiki
  14. mkumbwa junior

    MTANZANIA JAMII YA KIMAASAI AFARIKI ZAMBIA

    Hi guys.... Huyu apa ni MTANZANIA mwezetu. Tunaombeni Msada kwa yeyote anae mjua huyu jamaa... Au anaye mjua ndugu Yake yeyote. Kwan amefariki Dunia Jana tr 22/08/2018 nchin ZAMBIA na bado tunatafuta ndugu jamaa na marafiki popote walipo katika mkoa wa Arusha TANZANIA ...pls kwa anaye mfahamu...
  15. mkumbwa junior

    Darasa huru kwa vijana

    MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA AMBAYE HUJAOA... Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako". Na Mimi nasema ujana Ndio maisha yenyewe ambayo mtu...
  16. mkumbwa junior

    Ewe mwanamke jaribu kuitafuta raha ya sex

    Habari wana jukwaa, Hili ni miongoni mwa vitu ambavyo wanawake wengi huwa wana vimiss katika mahusiano yao ni swala la kufika kileleni. Ofcourse inahudhunisha kwa mwanamke kufanye sex bila kufika huko lakini asilimia kubwa hawawezi kukwambia mwanaume ila wanaishia kuumia moyoni na kuanza...
  17. mkumbwa junior

    NIMEREJEA TENA JF..

    kwa mara nyingi nimerejea JF baada ya kupata changamoto mwaka 2015 iliyofanya nishindwe kuendelea kuwa active JF.. Nashukuru Mola leo baada ya miaka mitatu nimerejea nikiwa na Nguvu za kutosha... Wakongwe naombeni mnijuze kama bado kuna uhuru wa kutoa mawazo kama zamani zile au mambo...
  18. mkumbwa junior

    MITANDAO YA SIMU KWA HILI MNATUUIBIA

    Na Bollen Ngetti KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Limited, hiki mnachokifanya ni wizi na unyang'anyi kama ulivyo ukabaji, kuvunja nyumba ya mtu na kumuibia au kumpora Mali yake kwa nguvu na hata kumjeruhi au kumuua. Kinachotia hasira na hasara zaidi ni kuona TCRA wanajua wizi na utapeli huu lakini...
  19. mkumbwa junior

    Mpigie kura Mo Dewji

    Mkurugenzi Mtendaji wa MeTL Group, Mohammed Dewji ametajwa na Jarida la African Leadership kuwa mmoja wa watu ambao watawania Tuzo ya AFRICAN LEADERSHIP AWARD 2016. Njia pekee ya kumwezesha kuwa mshindi na kuleta tuzo nyumbani Tanzania ni kumpigia kura kupitia: VOTE FOR THE ALM PERSON OF THE...
  20. mkumbwa junior

    Simba SC Tanzania: Taarifa kwa vyombo vya habari

    SIMBA SPORTS CLUB D'SALAAM, TANZANIA 14/12/2016 *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*. Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Joseph Omog. kwenye maboresho hayo klabu imewapandisha...
Back
Top Bottom