Search results

  1. mkumbwa junior

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Moja kati ya Riwaya za HOVYO na Kipumbavu kuwahi kusoma ni hii...Riwaya ndefuu haina kichwa wala miguu,,mtunzi anajaza matukio mengii mradi iwe ndefu isio na tija Elfu 10 yangu nililopa bora ningenunua Malaya tu nipunguze uzito
  2. mkumbwa junior

    Sijaelewa TANAPA kuweka kikomo cha umri kwenye nafasi zao za kazi

    Inatakiwa vijan wenye nguvu maana Tanapa ni jesh ndiyo maana mwanzoni walitaka watu waliopita jkt,,,,kaz ya kukimbizan na majangiri siyo mchezo
  3. mkumbwa junior

    Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

    Niliwahi msikia kiongozi mmoja wa Dini akisema Mwenyezi Mungu anapokubariki Utajiri unakuwa kama Mti wenye matawi mengi ule mti ulipewa matawi mengi ili wakati wa jua Ndege watakuja kupumzika na watu wataketi chini yako kupata kivuli,sasa usije kukufuru Mwenyezi Mungu akaamua kukukausha au...
  4. mkumbwa junior

    Si kwamba napinga ila Nisaidieni kwa kina, Ni ipi sababu ya msingi ya mshahara wa mbunge kuwa mil 18?

    [emoji28][emoji28][emoji28] Swali hili likikolea vichwani mwa wengi nchi itakuwa ngumu kuiishi hii!! uliza maswali ya kawaida haya fikirishi yanaamsha hisia
  5. mkumbwa junior

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Huenda pia kitete cha kufiwa aliongea na mtu sio sahihi akidhani ni wewe,,unaeza msaidia kutoka hapa kwenda mbele kuliko kukomalia alipiganau hakupiga
  6. mkumbwa junior

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Una mtagg waziri hadi kwa mamba ambayo sio ya Tanzania??au ni waziri wa africa??
  7. mkumbwa junior

    Dark days 17/03/20...

    Vipi hali ya kampuni kwa sasa??
  8. mkumbwa junior

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Wakiendelea kukuzungua nenda Upareni kwa jirani zako hapo kawapasulie Chungu Waambie kabisa kama kweli mwanangu hajafa sababu ya kuadhibiwa na mwalimu mimi nakwenda kulilia mababu nitavunja chungu kama hamkuhusika basi hakitawapata ila kama mmhusika sisitaka kikao Ndo dawa
  9. mkumbwa junior

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Haya mambo haya ndo mnasikiaga huko kanda ya ziwa mtu kaua familia nzimaa kwa kucharaza mapanga Mtu anatendewa ukatili alafu mnataka pindisha kwanini?
  10. mkumbwa junior

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Hii Haiba yako unayozungumzia umenikumbusha mimi wakati nasoma haiba yangu ilikuwa ya upole mnoo ikitokea kosa nikiwemo ndani Mwalimu anaweza wasamehee wote akiamini ni bahati mbaya Ila ukweli mimi ndo nilikuwa kiongozi wa magenge yote ya kihuni shuleni,kutoroka kwenda night club,kufanya...
  11. mkumbwa junior

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Kama changamoto ya Elfu 42 unashindwa itatua au walokuzunguka kukusaidia kuitatua basi achana na kuwaza mwanasheria Amua moja kulipa au kuwarusha
  12. mkumbwa junior

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Acha Ganja vile viwanja ni Mali ya CCM sio Serikali
  13. mkumbwa junior

    Anayeijua vizuri Shooters ya Mtwara

    Ndioo Leta mrejesho
  14. mkumbwa junior

    Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

    Acha wivu Ukialika wasio na uwezo ni bora zaidi, sio mbaya ukialika wenye uwezo pia Kujaribu kuwaweka karibu wasio wa dini yetu sidhan kama ni jambo baya Watawezaje kua waislamu ikiwa hawatoujua uislam? Lakin pia mbona hoja hii inakuja tu kwenye kufturu kwenye harambee za kuchangia miskiti...
Back
Top Bottom