Search results

  1. M

    Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

    Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi...
  2. M

    Elections 2010 Tubadilike vijana...

    vijana waliokuwa nje wanachukulia kuwa CCM kwa sasa ni chama cha wazee hasa kwa wale vijana walioko nje, tufanyeje ili tuweze kujua hali halisi ya kila mahali kwa kuweza kufanya mikakati ambayo itafanyika ili kupata hali halisi ya huko mtaani? Dr slaa nakuuliza swali kama uliweza kutunza...
  3. M

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    kuanguka kwa kikwete hakuna na mahusiano na imani.
  4. M

    JK ameanza kufunga baada ya kuukwaa urais?

    asante sana kwa mada ya leo? kwa upande wangu mie naona hakuna huusiano kati ya swala la imani na siasa, imani ni itikadi ya mtu na siasa ni mtizamo na maono ya mtu ivyo basi kama watu wenye hekima na busara unaweza kukaa chini na kutafakari juu ya jambo ili na swala la kuatangaza kama...
  5. M

    Elections 2010 Sababu 10 za kutomchagua Kikwete 2010

    ashakum si matusi ila kujichamba kwingi mwisho utoka na mavi ivyo basi kaa jiuliae umetoka wapi na ulikuwa nani unaenda wapi na unachoitajini ni nini? mind u that kikwete is ur destiny nothing else we dont like to loose u by any means njoo tujipange ndugu yangu kwan safari hii ni yetu sote. 4...
  6. M

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    hapana hana kifafa ni amepimwa ana afya njema sema uchovu na kisukari.
  7. M

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    watanzania wote tunampa pole mungu ampe afya njema.
  8. M

    Hi, am a new member!

    nawapenda wote na nawakumbusha kwenda kujitokeza kupiga kura since itz our right inaanza kwako na inakwenda kwa mwenzio mpoki alisema ardhi haukomoi kwa kuikanyaga hivyo basi maendeleo ya kweli yanaletwa na siye ok.
  9. M

    Hi, am a new member!

    hay guys, i would like to make hi to those active members in the jamiiforums by saiying i luv u all, hv a gud deal n tchaoooooooooo.+
Back
Top Bottom