Search results

  1. H

    Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

    Hiyo ni misuse ya kipaji ambacho wamepewa na Mungu ili kumtumikia sasa kama wao wanaitumikia CCM kwa nyimbo na mapambio,hiyo sio njia ya kushiriki katika siasa.Labda kuna mungu kawafunulia katika maono wamfanyie hiyo kazi...,lakini sidhani kwani kuna maono mengi waliofunuliwa na hawakutenda...
  2. H

    Moto aliodai kuuwasha Reginald Mengi dhidi ya mafisadi ulizima au ulizimwa?

    Mengi alivamia vita bila kujua anapaswa kuwa upande gani....hvyo bahati mbaya akaingia upande wa maadui,lakini alipogundua haraka sana akarudi upande wake kabla upande wa maadui haujaangamizwa-ndio maana zile mbwembwe hazipo tena,kasharudi mulemule hivyo hawezi kuangamiza wenzake
  3. H

    Mmepoteza Ubunge kwanini bado ninyi mawaziri?

    Kama mpk sasa wanadhan wana madaraka hayo,kuna uwezekano hata baada ya uchaguz wakaondoka na hayo ma'V8.Yaan washafny madaraka kama kijiwen-muda wa kukaa ukiisha kila mtu anachkua kiti alichokalia anaenda nacho nyumbani kwao
  4. H

    Elections 2010 Tamko rasmi la CCM kuhusu kuanguka kwa rais Kikwete

    Ndio hvyo.... yaan tusipokua makini watakuwa wanadiskasi mambo ya chama bungeni kama wamefkia hatua ya kutamka kuhusu afya ya rais.Yaan wanashindwa kutofautsha kati ya CCm na serikali
  5. H

    Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

    Huyu mtu amesha'panic aachie ngazi tu,mi nahisi akiendelea na hiyo kazi ngumu anayoifanyia mzaa ataendelea kuanguka sana kwan mengi atayasoma yatakayomchoma maadam anaendelea kuvurunda madarakani.Kwan akiacha huo urais nchi itafungwa?
  6. H

    Kuajiriwa ama kujiajiri

    Ni vizuri umesema katika mazingiora yetu ya Tanzania, kwani majibu yatakua ya uhakika kidogo. Kwa yule mtoto wa mkulima anayetoka kule Mpwapwa ambako hata mvua za mikataba, ukimwambia kujiajiri utampa mtihani utakaomuua kwa BP[blood pressure] lakini ni test rahisi sana kwa mtoto wa kishua...
Back
Top Bottom