Search results

  1. A

    Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  2. A

    Maelezo Juu ya Google Adsence kwa wanaojiunga

    Salamu wakubwa habari za majukumu. Swala hili limekua likiongelewa sana hapa jukwaani ila mpaka saivi kwangu sijapata suruhisho lililo sahihi kwa kujua je? ni sehemu gani sahihi kwa mdau anayetaka nunua account hizi za adsene (yaani hosted na non hosted).. Maswali kwa upande wangu 1. Vigezo...
  3. A

    Internet satellite dish msaada

    Habari za majukumu!!! Msaada juu ya upatikanaji wa satellite internet dish kwa matumizi ya internet kwa Tanzania hii ni sehemu gan naweza nunua. Na gharama yakr je? Msaada kama kuna mtu anayejua anipe mwongozo kuanzia gharama
  4. A

    Vodacom m-pesa kuna nini

    Habari wana jukwaa nimefungua Uzi huu kwa sababu imeniuma sana mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa tatizo *********†**************† Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe 4/8/2017 zaidi ya siku NNE haijamfikia mlengwa husika kutoka Tanzania to Kenya Leo tarehe7/8/2017...
  5. A

    Jinsi ya kuuza Account yako ya Instagramu/ Facebook hadi Tsh 140,000!! (Laki moja na Elfu arobaini)

    Habari za kazi wakuu wa Jukwaa na Wanafamilia wa Jamiiforums. Poleni na Majukumu ya siku. Karibuni tushare jambo hili la muhimu Jinsi ya kuuza Account yako ya Instagramu/ Facebook hadi Tsh 140,000!! (Laki moja na Elfu arobaini). Tuanze maada yetu, Je? umewahi kujiuliza ni kwanini wengi wetu...
  6. A

    Jinsi ya kuuza Account yako ya Instagramu/ Facebook hadi Tsh 140,000!! (Laki moja na Elfu arobaini)

    Habari za kazi wakuu wa Jukwaa na Wanafamilia wa Jamiiforums. Poleni na Majukumu ya siku. Karibuni tushare jambo hili la muhimu Jinsi ya kuuza Account yako ya Instagramu/ Facebook hadi Tsh 140,000!! (Laki moja na Elfu arobaini). Tuanze maada yetu, Je? umewahi kujiuliza ni kwanini wengi wetu...
  7. A

    Msaada: Games za playstation

    habari ndugu wana jamii!" naomba msaada juu ya kupata games ambazo zinakuwa converted mfumo wa ELF kwa ajili ya Ps (za kuweka kwenye flash) !NB : kama mnaweza kunipa linki (ambayo nitaweza kuzipata)au njia mbadala ya kupata hizi game online
  8. A

    Nataka kufanya biashara na wakazi wa Mbeya, Iringa, Dodoma, Njombe na Songea

    Kama kichwa kinavyosema, Napenda kufanya biashara katika mikoa tajwa hapo juu! Je, ninaweza kupata fremu ya biashara ambayo kidogo itakuwa ipo jiran na movement ya watu target population. Lengo ni kufungua biashara itayohusisha kuuza vifaa vya simu & computer pamoja na computer maintanance and...
  9. A

    Computer accesories and phone accesories

    Msaada kwenu wakubwa kama mnaweza kunipa uelewa kidogo juu ya biashara hii ya computer accessories pamoja na phone accessories. Ntashukuru kama mtanisaidia sana wakubwa!
  10. A

    Software kwa ajili ya kuprotect CD/DVD

    msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu
  11. A

    Vifaa au tools za kutumia unavyotengeza computer yako

    Msaada wakubwa kwa ambao mnatumia acessories (tools) kwa ajili ya kutengenezea computer yako kama utanisaidia kuzilist ili niweze kushare nanyi maana kuna kabiashara nakafanya kwa ajili ya ku-repare computer! naanza na AIRBLOWER! ntashukuru kama tutashare hapa
Back
Top Bottom