Search results

  1. bullbar

    Nataka kufanya biashara ya Uwakala wa Tigopesa, M-Pesa, Airtel, CRDB, NMB na Selcom Services

    jaribu kuanza kufanya survey ya eneo'mostly population'..then kama mtaji upo anza biashara
  2. bullbar

    Biashara ya mashine za kusaga

    Mi aina sizijui ila wastani kilo 400 mpaka 470 unatumia unit 14..na huo ni umeme wa 5k
  3. bullbar

    Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

    Jeshi lenu na Nani..?? Sema jeshi lako
  4. bullbar

    Msaada Freezer Nzuri ya kununua na bei yake

    Mkuu nitumie picha zake na Bei
  5. bullbar

    Utafanyia nini Banda la Chuma Imara la futi 7x7?

    Kama unaliuza niambie litanifaa sana kwa shughuli zangu Kama umeona hujui ufanyie nini.
  6. bullbar

    Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

    Hahaahaa nakumbuka nilikua nasumbua nyumbani mpaka nikawa kero kwelikweli..nlikuwa mtu nsiependa shule mtaa mzima..lkn matokeo yakija top three nlikuwa sikosi..nakumbuka nlikuwa napewa zawadi shule kila mwisho wa mwaka..mzee akawa akinipa kisago anasema najisahihishia mitihan..nakumbuka nliwahi...
  7. bullbar

    Jijini Dodoma maji dumu shilingi 1000

    Acha dawa iwaingie..
  8. bullbar

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Nikurekebishe...ni hospitali za watanzania nawe usilewe na mamlaka.
  9. bullbar

    Arusha: Mji ulioshindikana kwa watu kula 'bata' hapa Tanzania

    Hebu wamikoani acheni kelele..hamjui tunahitaji Kodi zenu huku darethalamu tujenge mi interchange na mi flyovers kama yote[emoji1787][emoji1787]
  10. bullbar

    Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

    Hivi unadhani majaliwa angekuwa na mpinzani angethubuta kuzurula..
  11. bullbar

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji1787][emoji1787]
  12. bullbar

    Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

    Wanaogopa kupewa kesi ya utakatishsji pesa Ila ukweli tar 28 oct..alaf kaa ukijua wanaojitambua utawakuta Twitter na jamiiforum tuu..huko insta na Facebook ni wasiojitambua ndio wapo
  13. bullbar

    Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli ikiuma sema..from mwenezi to msemaji..
  14. bullbar

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    ..nasoma alaf nacheka tuu maana nkikumbuka matukio yangu ...jaman acheni pombe !!
  15. bullbar

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mh nimeshtuka..
  16. bullbar

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ....naaga rasmi Epl sijui Vpl na La liga naingia zangu hukuuu!!
Back
Top Bottom