Search results

  1. M

    INAUZWA Nauza bajaji Sinza

    Bajaji iko kwenye hali nzuri, bei ni milioni moja na laki tatu tu. Iko Sinza, Tuwasiliane kwa namba 0688066177 kwa mwenye uhitaji, Ahsanteni
  2. M

    Vibali vya tax mtandao

    Mwenye vibali vya tax mtandao tusaidiane niweke kwenye account yangu.
  3. M

    Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

    Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa namba 0688066177. Ahsanteni.
  4. M

    Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model)

    Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model), toyota duet, carina old model, vitz zile za zamani au aina yoyote ile namba A, B au C itakayokua ya bei rahisi (3-2 mil), kwa mwenye nayo na akikubali malipo kidogo kidogo tuwasiliane 0688066177
  5. M

    Nahitaji mkopo wa riba

    Habarini wakubwa kwa wadogo, nimepata dhalula ndugu zangu natafuta mkopo wa riba 100000 ntalipa kwa mwezi mmoja, dhamana ni laptop aina ya asus. Kwa mwenye kuweza kunisaidia tukutane pm tafadhari.
  6. M

    Natafuta gari ya mkataba kwajili ya uber!

    Habari wakubwa kwa wadogo. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu natafuta gari ndogo nitakayoingia mkataba na mwenye gari wa kuifanyia kazi kwa mkataba na malipo ya kila wiki. Kikubwa zaidi isiwe na cc kubwa na makubaliano ya kiasi cha kulipwa hayo tutajadili na mwenye gari...
  7. M

    Kazi ya kibarua viwandani

    Habari zenu, Ni kiwanda gani kinachopokea vibarua bila masharti magumu kwa hapa Dar es salaam? Msaada tafadhali.
  8. M

    Ushauri; Mke wangu kapata ujauzito mwingine wakato bado ana mtoto wa miezi 9 anayenyonya

    Habari zenu wataalam wa afya! Mke wangu alijifungua kwa operation mtoto ana miezi tisa sasa, sasa huwa tunashiriki tendo kwa kuangalia kalenda tu kujua siju za hatari na salama. Sasa imetokea mke wangu kapata ujauzito na mtoto ana miezi tisa na bado ananyonya, wife kapanic na anaitaji kutoa...
  9. M

    Biashara ya mitumba morogoro

    Habari wanajamvi! Ningependa kujua kama kuna wafanyabiashara wa mitumba hasa kwa morogoro mjini, vipi hali ya biashara na changamoto zake!
  10. M

    Madereva wa IT na kampuni za kutoa magari!

    Habari zenu! Kwa wale agents wa kutoa magari pamoja na madereva wanao safirisha magari, napenda kuomba nafasi kama itapatikana kusafiri na dereva kama msaidizi wake ili nipate uzoefu kwenye kazi hiyo, pia wale agents kama mna connetion na hao madereva pia mnaweza kuniunganisha nao ili nipate...
  11. M

    Ushauri wenu ndugu zangu kabla ya maamuzi!

    Habari ndugu jamaa na marafiki. Mimi ni baba wa mtoto mmoja, ninaishi na mzazi mwenzangu ambae tunafanya wote kazi ofisi moja. Kuanzia mwanzo wa mahusiano tuliishi kwa misukosuko sana maugomvi kila wiki mara tunaachana mara tunarudiana na chanzo ni yeye ila ni mwepeai sana wa kuomba msamaha...
  12. M

    Upweke umenichosha!

    Habari zenu! Natafuta rafiki wa kike aliye huru na muda wa kutosha kua kalibu na mimi awe anaishi Dar es salaam au hata mikoa jirani. Mimi najitegemea na bado sijaoa na nimuajiliwa kwenye kampuni flani apa Dar. Hakuna vigezo wala masharti magumu kwa yeyote kalibu inbox! Sent using Jamii...
  13. M

    Msaada tafadhari!

    Nimenunua simu aina ya LG, ila nikitaka kuingia kwenye menu ya tigo pesa au kujiunga na vifurushi inaandika invalid mmu code na inakata hapo hapo. Pili kwenye message inataka maneno 80 tu na zaidi ya hapo inachange from sms to mms! Msaada kwa wataalam wa hizi vitu.
  14. M

    Naomba ushauri: Nimeachana na mpenzi wangu wa siku nyingi kisa dini

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuachana na mpenzi niliyedumu nae kwa takribani miezi tisa, sababu kubwa ni kila ninapofikilia maisha ya baadae yatakuaje nakosa jibu. Huyu binti ni mzuri wa muonekano na kabila ni mrangi ila tatizo yeye ni muislamu na mimi ni mkristu. Mwanzoni alisema anaweza...
  15. M

    Kwa mwenye uwezo na akaguswa na hili.

    Mimi ni muhitimu wa stashahada ya manunuzi na ugavi mwaka 2013, tangu kumaliza sikufanikiwa kupata mtaji wala kazi yenye kipato kinachoeleweka, nimekua nikipata hela ya kula tu na kujikimu kwa mambo madogo madogo. Sasa naona kama muda unazidi kwenda na malengo niliyojiwekea yanaweza yasitimie...
  16. M

    Je, kujamiana sana kunaleta maumivu ya Magoti?

    Ni kwa miezi kalibu miwili nilikua nikisumbuliwa na maumivu kwenye magoti kila ninapopanda ngazi au nikikanyaga sehemu yenye muinuko laikini kwenye tambalale sisikii maumivu. Sasa kwasasa yapata kama mwezi mmoja sijagegeda maana niko mbali na mchumba wangu na chaajabu ni kwamba maumivu yale...
  17. M

    Uhusiano kati ya kujaamiana na maumivu ya magoti.

    Habari za wikiendi mabibi na mabwana! Nimekuja na swali nnaimani kuna madokta humu watanipa ufafanuzi. Kipindi kama cha miezi mitatu nimekua nikisikia maumivu makali kwenye magoti pindi ninapopanda ngazi au nikiwa nataka kukanyaga sehemu yoyote yenye muinuko lakini sehemu tambalale sisikii...
  18. M

    Nimetegeshewa mimba bila kujijua

    Naomba nianze kwa kuwasalimu wapendwa, Yapata miezi mitatu tangu nikutane kimwili na mchepuko wangu, bado sijaoa ila niko kwenye uchumba yapata mwaka wa pili na bibie ambae nimempa nafasi ya kuja kua mke. Katika swala la kujamiiana na ule mchepuko pamoja na mpenzi wangu uwa natumia kalenda tu...
  19. M

    Kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa!

    Kama kichwa cha kinavyosema hapo juu, kuna uitaji wa haraka sana juu ya kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa maana kimepishana herufi moja ya jina na vyeti vya masomo, Kwamfano jina la Omary kwenye cheti cha kuzaliwa ila vya masomo ni Omar. Kwa wanaojua hatua za kufuata kubadilisha iyo...
  20. M

    Ukomo wa umri nafasi za JKT

    Habari zenu! Napenda kuchukua fursa hii kuuliza kwa yeyote mwenye kujua kikomo cha umri kwenye kupata ajira pindi ajira zinapotokea ukiwa jkt. Ahsante
Back
Top Bottom