Search results

  1. Chauro

    Malezi/mapenzi ya mama kwa mwana

    Leo katika zunguka yangu nimekutana na kisa cha ajabu sana. Mama amejaliwa mtoto wa kike ana miaka mitatu ila hana furaha nae sababu ni mweusi,amekuwa kama akimnyanyapaa binti yake na hata akimfukuza popote anapomfuata. Cha kusikitisha zaidi nikasikia anasema anamtafutia dawa ili ambadilishe...
  2. Chauro

    Club za michezo kwa ajili ya watoto

    Naomba mnisaidie wapi kuna club nzuri za michezo kwa ajili ya watoto (umri miaka miwili mpaka saba) dar es salaam.
  3. Chauro

    Nawatakia jumapili njema wapenzi wa MMU

    Nasema yeye mwema .... kwetu pazuri nimeshapakumbuka,ninayo hamu ya kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu ....lalalaaaaaa
  4. Chauro

    Tunahitaji nini?

    Huwa tunahitaji nini kuwaonyesha wenzetu kuwa tunawapenda na kuwathamini? Je huwa tunahitaji kuwadanganya mara zote ili kuwapa faraja kwa yale ambayo hatuyafanyi ili kuwamiinisha na kuendelea kutuamini wakati sivyo? Je kuna ubaya wa kuwa mkweli kwa mwenzako? Nahitaji sana mawazo yenu ili...
  5. Chauro

    Kushukuru......mmenitoa mbali

    Habari zenu wandugu, Kuna jambo nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa baada ya kuona mara nyingi tumekuwa wepesi wa kulalamika na kulaumu kila wakati huku neno shukrani likiwa mbali na midomo yetu. Je ni kweli hata wale waliokukosea sana kwenye maisha yako awe mume/mke ,rafiki...
  6. Chauro

    Nahitaji ushauri please kabla ya kufanya maamuzi

    Naombeni ushauri wenu tafadhali. Nina binti wa kazi ambae nimekaa nae kwa miaka mitatu,kwakweli ni binti mzuri sana mpaka nilifikia uamuzi wa kumpeleka shule.Lakini ghafla baada ya miezi michache nikamuona amebadilika nilikuwa nikimuuliza anasema yupo sawa na kazi anafanya kama kawaida. \...
  7. Chauro

    Ivi umeshawahi kujiuliza

    ivi ni kwanini unapokuwa kwenye matatizo ndo usumbufu wa maisha huzidi 1. unapokuwa kwenye uhusiano mbovu watongozaji nao humiminika kama maji ya mvua 2.ukiwa huna hela ndo habari za matatizo hujaa kwa wingi. na matatizo mengine mengi ivi hii husababishwa na nini au unapokuwa na shida...
  8. Chauro

    have you ever_mapenzi kitendawili

    have you ever loved somebody so much it makes you cry? have u ever needed something so bad you cant sleep at night? have u ever tried to find the words but they dont come out right? have u ever,have u ever. have u ever been in love, been in love so bad? embu tukumbuke kidogo kwa wale ambao...
  9. Chauro

    Je kuna ukweli kwenye haya ?

    ndoa za aina hii 1. ndoa hii mwanamke anapewa kila kitu mpaka kiberiti,haijalishi kama mke ana pesa au la ...ukija suala la mapenzi anapewa A anajua njia zote za kucheza na akili za wanawake mtundu in short, lakini mwanaume huyu anafanya uchafu wake wa kumtosha mlevi,malaya yote mabaya lakini...
  10. Chauro

    feeling lonely but not alone

    have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
  11. Chauro

    does it worth

    naomba kuuliza je ina maana yoyote 1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect 2.ambaye una feel like he is using you 3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia 4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile...
  12. Chauro

    hongera kwa wababa wote wa JF

    leo wacha niweke yangu yaliko moyoni kwenu baba/waume zetu pamoja na story zote humu ndani najua huwa mnajifurahisha tu huku kupunguza stress tunazowapa bado mna mchango mkubwa sana kwenye familia naomba niwashukuru naamini wadada wote humu umtakubaliana na mimi hawa jamaa wanapigana kufa huko...
  13. Chauro

    msamaha kwa baba tu kwanini

    nimesoma post nyingi humu ndani zinaonyesha kama mwanamke anapokosa mfano amecheat haitaji msamaha hapo hapo nikiwasoma wanaume wanavohalalisha kuwa na mahusiano nje ya ndoa zao kwanini wamama tu ndo hawaitaji msamaha lakini wanaume kwao ni sawa wafanyayo
  14. Chauro

    tunaelekea kizazi kinachokuja kitakuwaje

    wanajamvi kuna jambo limekuwa likisumbua akili yangu muda wote hasa nikitizama watoto tuliozaa huwa nawaza mambo mengi sana.nakumbuka hapo nyuma tulipokuwa tunakua wengi watakuwa mashahidi kila mtu mzima alichukua jukumu la kulea mtoto wa mwenzake bila kuangalia ni wa nani leo hii ambapo muda...
  15. Chauro

    hivi kwanini

    huwaga mara nyingi wale tunaowapenda kwa dhati wao huwa hawatupendi ki hivo huwa tunaishia kujipa matumaini tu kwamba na wao huwa wanatupenda hata kwa wale walioa na kuolewa watakubaliana na mimi kuna wakati wanakumbuka kuna wapenzi walikuwa nao na walikuwa tayari kufanya lolote kwa ajili yao...
  16. Chauro

    maisha halisi

    jamani hivi ni kwani watu tulio wengi hatukubali au tunapenda kuishi maisha yasiyo ya kwetu ukitazama maofisini mitaani watu wanapenda kuonekana wao ni watu wakubwa wakati hamna lolote ukimuona mwenzio kavaa kitu cha thamani lazima uonyeshe na wewe unacho au unataka competition isiyo na lazima...
  17. Chauro

    upendo wa dhati

    where to dedicate our love when and how? je ni kwa watoto baada ya vurumai nyingi za maisha na mwandani au huko ndo kutaka kuwa chizi siku moja maanake kuna wakati u feel like there is something missing in your life:A S cry:
  18. Chauro

    kibamia kidogo

    weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo...
  19. Chauro

    wanandoa badilikeni

    :crying:weekend hii niliamua kuzungukia viwanja mbalimbali kwa ajili yakuona yanayojiri mjini hapa lakini katika mambo yaliyonivuta ni jinsi watu niliwaona wametoka vijana ambao hawajaoa au ambao walikuwa wametoka kama groups walinifurahisha sana sasa ukija kwa wale waliokuwa mke na mume mara...
  20. Chauro

    mapenzi kitendawili

    agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr...................... weekend ivi kuna watu huwa tunapotea njia?mapenzi ni kitu gani
Back
Top Bottom