Nimeamini ndugu ni zigo la misumari. Kuna ndugu yangu kila akija kwangu anapenda kujifanya Kama kwake vile. Kila kitu ni kukosoa, kuanzia chakula mpaka vyombo vya ndani. Yaani sijawahi kuona watu wajuaji Kama huyu duh!! Akifika eti anapanga chakula Kama kwake; Leo nimemuamualia nimemwambia wife...
Hivi nimekaa nimejiuliza,
Hawa watoto wanaosoma shule za wenye hela/Kulipia. Kila siku wanapewa home work na hata ukiwauliza wengi wanategemea msaada wa wazazi katika kufanya hizo home work.
Sasa nataka kufahamu hizo Ada wazazi wanazolipa na wao mnawalipa mshahara? Maana ndiyo wanafanya kazi...
Wadau naomba tushee experience ya mapokezi ya simu ya kuitwa kazini baada ya kufanya interview. Wewe huwa unaiopokea kwa maneno gani au kwa vitendo gani?
Naamini wanaJF wrote mko salama na kwa wale wagonjwa mungu awaponye upesi. Swali langu kwa wale waliokwisha jenga, ninataka kuezeka nyumba yangu lakini nipo njia panda. Je kuezeka kwa bati ya Simba dumu Geji 28 au kuezeka kwa bati ya Alaf ya rangi Geji 30 kipi Bora? Je ni rangi au ubora wa bati?
Hivi kwa nini unapokuwa na mazungumzo ya kazi/kijamii na Mwanamama au mwanadada aliyeolewa na kuvaa Pete, Mara nyingi mkiwa mnaongea utakuta anashikashika Pete yake. Hii huwa ina maana Gani? Kwa sababu Mimi huwa nakasirika sana.
Katika nchi nyingine Duniani, Matajiri na Wasomi mfn.Maprofesa wamekuwa wakisaidia wanafunzi fees katika masomo yao hasa Higher learning (Bachelor, Masters mpaka PHD) lakini hapa kwetu hata kama wapo ni wachache sana. Je, tatizo ni Selfishness au kutoelewa umuhimu wa elimu?
SEHEMU YA KWANZA
Wakati Angel anakimbilia kuwahi ndege, ghafla alijikwaa katika shimo dogo lililokuwa kwenye geti la kuingia uwanja wa ndege na hivyo kusababisha kuumia kifundo cha mguu wa kulia. Nusu saa kabla ya kuingia uwanjani aliwasiliana na hawala yake raia wa Ufilipino, Mr. John ambaye...
Nauza Banda la Kisasa la kufanyia biashara aina yoyote(Mabati ya Grill) na kuezekwa vizuri kwa bati bado jipya. Ukubwa Mita 8 kwa 7, pia linahamishika. Liko vizuri, kwa anayehitaji pia kuna kabati za vioo 2, meza, viti 2, Simu kadhaa, accessories kadhaa, na Line ya Mpesa.
Sababu ya kuuza...
Aisee huwa sipendi kukaa kwenye daladala na mdada au mmama akiwa mabega wazi. Unakuta anakugusa kwenye bega au shati huku anatoka jasho kwapani kama chemchem. Badilikeni
Msichana mwenye uwezo wa kuongea kiingereza fasaha anahitajika; awe kidato cha 4 au 6 au fresh Graduate katika Mass Communications au social science, awe na interest ya kuwa presenter, awe mrefu kuanzia futi 5, awe presentable pia awe na moyo wa kujitolea. Location: awe anaishi Mwanza mjini, pm...
Napenda kusalimia GT wote ndani ya jukwaa hili, ambapo tunapata fursa kujadili masuala mbalimbali. Katika kipindi cha Miezi 6 iliyopita, kuanzia July-December 2016. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wa makuzi ya mtoto wangu ili niweze kugundua hatua za ukuaji wake na mabadiliko ya tabia.
Nitaeleza...
Habari vijana wenzangu, wazee shikamooni? Mwaka ndiyo huoooo unakatika. Sijajua kwa kila mmoja Wetu Mwaka 2016 ulimuendeaje. Tuachane nao kwa sababu umeshapita ila tutakuwa tuna makovu na mafanikio pia. Sasa agenda Yangu kuu hapa sisi kama vijana tupeane mawazo wewe unadhani 2017 umepanga...
Unanunua bidhaa ukiangalia maandishi mengine yanavutia kweli lakini sasa kwenye expiring date duh[emoji85] kichekesho, inafinyangwa finyangwa ili usione vizuri. Acheni ubabaishaji mtatulisha sumu!!
Habari za Jpili JF, Nina wazo la kuanzisha Duka la kisasa la Dawa za mifugo, naishi eneo la wafugaji hivyo sina wasiwasi na wateja. Issue ni dondoo za biashara hii, mfn.Dawa za jumla zinanunuliwa wapi, utaratibu wa kusajili, nk. Naomba ushauri wenye Tija
Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:
a) Voting for it
b) Commenting and Giving...
Hakuna kipindi kigumu kwa mtoto mchanga anapozaliwa kama siku 7 za mwanzo. Wazazi wengi huwa makini kuchunga kitovu mchana, usiku kucha kuchunga kitovu; kitovu hiki kinahusishwa na imani nyingi ikiwemo; endapo kitadondoka kwenye Uume/uke wa mtoto basi mtoto Huyo atakuwa tasa au hanithi; je kuna...
Habari zenu na poleni kwa uchovu wa majukumu. Hivi ni kweli kwamba watoto wachanga huwa wana mawasiliano na malaika?
Na je ni kweli watoto wachanga huwa wanajua tarehe yao ya kufa na mtoto mwenyewe ndy huchagua tarehe yake ya kufa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.